Siku moja baada ya Timu ya taifa ya Tanzania kufungwa goli 1-0 dhidi ya Uganda, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza kumuondoa Kocha wa Tanzania, Kim Poulsen kwenye benchi la Ufundi pamoja na Wasaidizi wake.
TFF imesema hatua hiyo imefikiswa baada ya makubaliano baina ya pande zote...