tezi dume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. stakehigh

    Video hii inaonyesha jinsi saratani ya tezi dume huanza mpaka kukumaliza

    https://youtu.be/j9tJbO66lng
  2. Tunguja

    Sina tatizo la tezi dume wala sukari,Ila nakojoa sana siku,nikila mboga aina fulani tatizo linaisha

    Miaka kadhaa liyopita nilikuwa nikiishi na mwanamke ambaye alikuwa na tatizo la kukojoa mara kwa mara usiku na mchana,nilidumu naye kwenye mahusiano miaka minne tu tukaachana. Miaka mitatu baada ya kuachana (2023 ) na mimi nikajikuta nina tatizo lile lile lake, tofauti yetu ni moja tu mimi...
  3. Bawabu wa pili

    Aliyechomwa sindano kutibu tezi dume kisha kupooza, afariki dunia

    📍DODOMA - Yohana Mathias, Mkazi wa Nzuguni B, amefariki dunia asubuhi ya leo baada ya kuugua kwa muda mrefu tatizo la tezi dume lililoambatana na kupooza kwa sehemu kubwa ya mwili wake. Kifo cha Mathias kinatokea siku chache baada ya Jambo TV kuchapisha habari akiomba msaada wa matibabu, akiwa...
  4. N

    Hii mada ni kwa Wanaume miaka 50 na kuendelea: Uhusiano kati ya Kuongezeka kwa Tezi Dume na Ukosefu wa Nguvu za Kiume kwa wenye umri zaidi ya 50

    Ombi: Hii mada inafaa kujadiliwa na makundi matatu yafuatayo:- i. Wanaume wenye umri kuanzia miaka 50 au zaidi; ii. Akinamama wenye wenza (mume au mchepuko) wenye umri wa miaka 50 au zaidi; na iii. Wenye wazazi ambao wanasumbuliwa na Matatizo ya Tezi Dume. Utangulizi: Nilihamasika kuanzisha...
  5. Just Pray

    Aliyekuwa Rais wa Marekani Joe Biden akutwa na saratani ya Tezi dume

    Rais Biden akutwa na saratani ya tezi dume, imesambaa kwenye mifupa Rais wa zamani wa Marekani, Joe Biden (82) amegundulika kuwa na ugonjwa wa saratani ya tezi dume ambayo imesambaa hadi kwenye mifupa yake. Saratani ni ugonjwa ambao hutokea pindi ukuaji wa seli mwilini unapotokea katika namna...
  6. benybeny

    Je ni kweli kahawa inaongeza hatari kwa mwanaume kupata tatizo la tezi dume kuvimba

    Habari wakuu Ivi ni kweli kahawa hua inaongeza hatari kwa mwanaume kupata tatizo la tezi dume kuvimba . Hii ni kutokana na experience niliyoiona kwa sehemu ambazo zinazalisha zao la kahawa wanaume wengi ambao wana umri wa miaka zaidi ya 45 kua na tazizo hili. Kwenu wakuu
  7. SankaraBoukaka

    Kama Mungu ni mkamilifu, kwanini aliipitisha urethra (mrija wa mkojo) katikati ya tezi dume?

    Wakati tunaamini kuwa Mungu ni mkamilifu, bado tunakutana na mambo magumu kuhusu baadhi ya maumbile ya mwili wa binadamu. Mojawapo ya maswali hayo ni muundo wa tezi dume na jinsi urethra inavyopita katikati yake. Hii inaleta changamoto zifuatazo: 1. KUKOSEWA KATIKA MUUNDO? Kutegemea Umri...
  8. U

    News alert Pamoja na kutakiwa kupumzika na madaktari baada ya upasuaji tezi dume Netanyau atahudhuria uapisho wa trump 20/1/2025 Washington DC

    Wadau hamjamboni nyote? Mwamba amedai Oktoba 20 atakuwepo Washington DC kushuhudia mwamba mwenzake Donald Trump akila kiapo kuongoza taifa kubwa zaidi duniani Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: January 1, 2025 Netanyahu still planning to attend Trump’s inauguration, despite surgery By...
  9. U

    Waziri Mkuu wa Israel agundulika na Kansa ya tezi dume stage 3 baada ya kufanyiwa uchunguzi

    Wadau hamjamboni nyote? Tumuombee mwamba Mungu amfanyie wepesi alone arudi kuongoza mapambano dhidi ya magaidi Mungu ibariki nyumba ya Yakobo PM to be hospitalized for several days for prostate surgery, Prime Minister Benjamin Netanyahu addresses the Knesset, December 23, 2024. (Chaim...
  10. Mstahiki Mea

    Dawa ya tezi dume yagunduliwa yaadimika Dodoma

    Siku tano baada ya dawa ya Uriphytol inayoelezwa kukinga na kutibu tatizo la kutanuka kwa tezi dume kuanza kuuzwa rasmi, dawa hiyo imeadimika katika maduka ya dawa mkoani Dodoma ilikoanza kuuzwa. Dawa hiyo imegunduliwa na wataalamu wa Kitanzania, licha ya Serikali bado haijatoa tamko rasmi...
  11. ERTUGRUL BEY

    Wanaume na tezi dume

    Tezi dume si ugonjwa bali ni kiungo miongoni mwa viungo katika mfumo wa uzazi wa mwanaume,ipo chini ya kibufo cha mkojo Ni wakati gani tezi hii huwa ni tatizo? Ni pale ambapo tezi dume inakuwa au inaongezeka kutokana na umri kitaalamu inaitwa benign prostatic hyperplasia,kadri mwanaume...
  12. stephenga

    Wapi nitapata mtaalam wa tiba ya tezi dume?

    Naomba kufahamu ni hospital gani au Dr gani anaweza saidia tiba ya tezi dume. Mzee wangu ameonekana na tezi dume kwa vipimo vya awali. Mgonjwa yupo Morogoro.
Back
Top Bottom