tetema

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Nimepata ushawishi wa kwenda kuangalia na kucheza huu wimbo remix ya tetema

    Niaje wadau Nimepata ushawishi wa kwenda kuangalia na kucheza huu wimbo remix ya tetema yes 🙂OH MAMA TETEMA by rayvanny,Nora fatehi and Shreya Kutoka kwenye COMMENTS ZA watu mbalimbali pale mjini FESIBUKU MY VIEW,,,,,, HII NGOMA nimeona ni kali sana yani jamaa alitulia sana kipindi icho...
  2. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Rayvanny kushika namba Moja Dunia nzima kaheshimisha muziki wa bongo fleva

    Rayvanny ameshare furaha yake kubwa baada ya wimbo wake wa Tetema kushika namba moja trending dunia nzima, Chui ameshare hayo katika ukurasa wake wa Instagram. Soma pia: RAYVANNY KASHUKA NA KUISHIWA MBINU KIMUZIKI Kwasasa ngoma hiyo ipo nafasi ya nne kwenye trending videos duniani ikiwa...
  3. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Rayvanny "Tetema" waondolewa YouTube

    Wimbo wa msanii wa WCB Wasafi ambaye afanyi vizuri kwa sasa Rayvanny umeondolewa YouTube na producer wa wimbo huo S2kizzy. NB: wasanii watambue muziki ni biashara waache kukosa shukrani pale inapofikia zamu yao nao kutoa kipato kwa muwekezaji. Utetezi wa kusema mimi ni mtoto nimekuwa nataka...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sallam SK: Tetema ya Rayvanny imeingiza Dola milioni 230

    Katika mahojiano ya leo Meneja wa Diamond amedai Tetema ya Rayvanny imeingiza Dola bilioni 230 za Kimarekani, na kwamba Rayvanny ni tajiri na anaongoza. Pesa hizo alizotaja Meneja SK ni nusu ya pesa za makenikia, ni pesa nyingi sana, sasa sijui ni kweli au kiki msikilize.
Back
Top Bottom