teknolojia na habari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania ๐— ๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐˜๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐—ป๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐˜ƒ๐—ฎ๐—ฎ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—บ๐˜ƒ๐˜‚๐—ฎ ๐—บ๐˜๐˜‚ ๐—ป๐—ด๐˜‚๐—ผ ๐Ÿ˜‰

    kampuni ya Meta inakaribiwa na mashtaka juu ya kutengeneza Miwani yenye kuondoa nguo zako zote na kubaki mtupu. Miwani ya Meta Ray ban glasses ๐Ÿ•ถ๏ธ ambayo Ina Teknolojia ya Ai imekumbwa na kashfa kubwa imekua ikirekodi mambo mengi ya Siri kwa kuwaondoa watu nguo zao na kubaki uchi (naked)...
  2. JamiiForums Tanzania Google kiboko: Imeleta feature inayokupa msaada bila kumwambia chochote

    Hivi utajisikiaje pale ambapo simu yako inakupa msaada bila kuiomba ikusaidie wakati unatafuta cha kufanya. Google imeleta feature mpya kwa watumiaji wa simu za Android inaitwa Proactive Assistance , hii ni Teknolojia inayotumia Ai yenye kutoa msaada kwenye simu yako bila wewe muhusika kuomba...
  3. JamiiForums Tanzania ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐˜€๐˜๐—ฎ๐˜๐˜‚๐˜€ ๐˜‡๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ฎ ๐—ท๐˜‚๐˜‚ ๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐˜๐—ถ

    Ni rasmi sasa feature mpya ya Whatsapp kuonyesha Status upande wa juu kabisa kwenye chati imeanza kutoka. Mwanzoni tuliposti kuwapa taarifa kuwa iko kwenye Development stages, lakini Sasa imeachiwa kwa watumiaji wa simu za Android wanatumia beta version lakini kwa watu kadhaa sio wote...
  4. JamiiForums Tanzania Whatsapp kuacha kufanya kazi kwenye simu za zamani

    Whatsapp itaacha kabisa kufanya kazi kwenye simu zenye matoleo ya Zamani jiandae ๐Ÿ‘‹. Watumiaji wa mtandao wa Whatsapp wanapaswa kujua kuwa Meta imesema itaweza kuzuia Whatsapp kufanya kazi kwenye matoleo ya simu ya kizamani. Ambapo kuanzia Mtumiaji wa Android version 6.0 hiyo simu haitaweza ku...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri wa Teknolojia na Habari, huu wizi wa Vodacom utadumu mpaka lini?

    'You have received Tsh 3000 from Nipige Tafu. Total loan is Tsh 3600 inclusive of fees. Dial *149*01*99# now to borrow more!' Nimekuwa muhanga wa kulazimishwa kukopeshwa salio na Kampuni ya Vodacom kila mara. Hali hii imenitelea kero kubwa sana maana nalazimishwa kulipa deni ambalo kimsingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ