tegeta a

Tegeta Thermal Power Station is a Tanzania Electric Supply Company owned power plant. The project began in 2006 half funded by the Tanzanian Government and the other half by The Government of the Kingdom of the Netherlands under ORET/MILIEV program.
The power-plant is located in Tegeta, Dar es Salaam and has an installed capacity of 45 megawatts (60,000 hp) using Natural Gas as fuel. The power plant obtains Natural gas from the existing dar-es-salaam gas pipeline.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya kutoka Njia Panda ya Tegeta A kwenda kwa Bedui hadi Posoposoa ni mbovu sana na kero kwa wananchi wanayoitumia

    Kuna barabara ya kutoka hapa Njia Panda ya Tegeta A hadi posoposoa ni kero sana tena kipindi hichi cha mvua Yani barabara hii ilianza ujenzi wa awali tu miezi miwili nyuma, na tangu hapo hakuna kinachoendelea, waliichonga na kumwaga vifusi kisha wakasawazisha lakini toka hapo hakuna...
  2. upupu255

    JamiiForums Tanzania DAWASA harakisheni Tegeta A, Kwa matope maji yanapotea bomba linavuja

    Katika harakati zangu za kutembelea ndugu jamaa na marafiki leo Mwaka mpya nimekutana na hii chamber ya maji ya Dawasa inavujisha maji kama mto maji mengi yanapotea hapa. Nilipouliza wenyeji wakaniambia eneo ni Tegeta A, Kwa matope
  3. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Goba tegeta A plot for sale

    *Kiwanja goba tegeta A Kiwanja kizuri kikubwa bei kitonga .. Kiwanja kipo goba tegeta A kwa madawa karibu na kanisa katoliki Ukubwa ni sqm 1196 Unaweza kujenga nyumba ya ndoto yako hapa au apartments Au ukagawa ukafanya vyote Millllions 28 tu .. Wasiliana na sisi zaidi...
  4. Vien

    JamiiForums Tanzania KERO Maji hayatoki zaidi ya wiki maeneo yote ya Goba

    Habari wakuu, Kumekuwa na changamoto ya maji takriban week sasa Goba mtaa wa Tegeta A njia ya kuelekea kwa Bedui, na maeneo mengine yote ya Goba maji yamekuwa hayatoki na hata mtaani wanaouza hawapatikani kwa hali hii wananchi wa huku tunateseka sana, mwenye kujua chanzo cha hii kero atufungue.
  5. Kiwondi

    JamiiForums Tanzania Nauza Kiwanja Goba Njia Panda Tegeta A meta 130 toka Skymark Supermarket

    Wakuu nauza kiwanja changu mwenyewe hakina Dalali. Bei mil 200 Ukubwa 1405M² Barabara zinapitika muda wote, kipo kabla ya kanisa la Methodist Barabara ya lami ya Goba Mbezi Luis ipo 130M toka kilipo kiwanja Kina Hati ya miaka 99 imeshaisha 4 tu Maji na umeme vipo jirani Serious buyer PM only
  6. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Kimewaka wananchi Tegeta A wamvamia mwenyekiti kisa ubovu wa barabara, wasema wamechoka

    Wananchi wa Mtaa wa Tegeta A katika Kata ya Goba wilaya ya Ubungo jijini Dar es salaam, wameandamana mpaka ofisi za Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Tegeta A, wakitaka ufafanuzi juu ya sababu zinazopelekewa Barabara ya Tegeta A- Goba Mpakani kubaki kuwa mbovu, licha ya ahadi walizoahiriwa mara...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa kwa Bedui (Tegeta A) Goba karibu na kanisa la Wasabato

    Kiwanja kinauzwa goba tegeta "A" kwa bedui Dakika 5 tukutoka kwa bedui center Dakika 7 tuu mpaka goba centre Dakika 10 tuu mpaka madale mwisho Kiwanja kina sqm 722 (Upana wastani wa 19m and urefu ni mita 38) Kuna barabara unafika na gari bila tatizo Eneo limejengeka vizuri sana. Kiwanja...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Nauza plot Tegeta A kwa bedui -Goba.

    Kiwanja kipo karibu na kanisa la Sabato dakika 5 kutoka barabara inayoelekea Goba mpakani. Kiwanja kina mapana yafuatayo. Upande unapakana na barabara ni mita 16 na marefu yake ni mita 38. Upande wake wa nyuma ni mita 22. Bei yake kuanzia TZS26 milioni. Maongezi yapo tuwasiliane
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Tegeta A

    Kiwanja kina ukubwa wa 20 kwa 20 (400 sqm) kuna vyumba viwili ambavyo vimekamilika na mwenyewe anaishi hapo . Unapanda bajaji za kwenda kwa madawa (kituo cha kushukia ni kwa madawa) sio mbali kutoka hapo na kiwanja kilipo. Bei ya kiwanja ni shilingi milioni 13 . Mawasiliano 0716694624/0685084315
  10. Ochoa Real Estate

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Goba Tegeta "A" Kwa Bedui

    Kiwanja kinauzwa goba tegeta "A" kwa bedui Dakika 3 tuu kutoka kwa bedui center Dakika 7 tuu mpaka goba centre Dakika 10 tuu mpaka madale mwisho Kiwanja kina sqm 700 Ni corner plot Kina njia kubwa pande mbili Eneo limejengeka vizuri sana Kiwanja kinauzwa milioni 40 tuu.... ☎️ +255 699...
Back
Top Bottom