Tunaishi katika kizazi kilicho na:
Simu zenye akili kuliko watumiaji wake.
Mitandao ya kijamii yenye ushawishi kuliko wazazi, walimu, au viongozi wa dini.
Maarifa mengi, lakini hekima haba.
Je, maendeleo haya yanatupeleka kwenye nuru au tunazidi kuzama kwenye kivuli cha giza lisiloonekana...