technews

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Walichoshindwa Apple kutoka kwenye simu za Android

    Kama umeshawahi kutumia simu ya iphone ukifungua apps nyingi wakati unatumia simu yako, ukizitaka kuzifunga kwa pamoja haiwezekani kabisa ? Unajua kwanini 🙂. Mtumiaji wa simu ya iphone hawezi kuzifunga apps zote alizozifungia kwa wakati mmoja kutokana na Mfumo wa iOS ulioundwa kuweza kudhibiti...
  2. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Google imeleta feature mpya inaitwa Simu ya dharura kwa watumiaji wa Android

    Kama unatumia simu ya android Kuna feature mpya inakuja upande wa phone ambapo Google wametambulisha kinaitwa "Urgent calling" kwenye Simu za Android. Kupitia skrini ya kupiga simu utaweza kuona feature mpya ya Call Reason - Mark as Urgent inakupa nafasi ya kumjulisha / kumwambia Mtu...
  3. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Vita ya Android na iPhone imefikia tamati sasa

    Hatimaye ile vita ya utata iliyopo kati ya Android na iphone imefikia tamati baada ya Google kutambulisha mfumo rahisi wa kuweza kurushiana vitu Toka Kwenye android kwenda kwenye iphone. Kupitia blogu ya Google, Android waliweza kutambulisha njia mpya Rahisi ya kuweza kutumia QuickShare Kwa...
  4. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Kama unatumia samsung hauko salama tena

    Inawezekana umeshangaa au kushtuka lakini Kuna habari inasambaa mtandaoni kuhusu app ya Siri ambayo imewekwa kwenye Simu za Samsung haiwezekani kufutika ikiwa unataka kuiondoa. App hiyo inaitwa Appcloud, ni app ambayo Kwa miaka mingi, inajihusisha na masuala ya kibiashara ikikupa uwezo wa...
  5. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗙𝗮𝗵𝗮𝗺𝘂 𝗸𝘂𝗵𝘂𝘀𝘂 𝘀𝗶𝗹𝗮𝗵𝗮 𝗶𝗻𝗮𝘆𝗼𝘁𝘂𝗺𝗶𝘄𝗮 𝘀𝗮𝗻𝗮 𝗻𝗮 𝘄𝗮𝗹𝗶𝗻𝘇𝗶 𝘄𝗮 𝗠𝗮𝗿𝗮𝗶𝘀 𝗔𝗳𝗿𝗶𝗸𝗮

    Ulinzi kwenye maisha ni kitu muhimu sana ndo maana hata kwenye masuala ya Imani tunaambiwa tusome nyiradi Mbalimbali ili kuweka ulinzi kwenye nyumba na mwili wako maana mambo ya kutisha na kuogopesha kwenye huu ulimwengu ni vitu ambavyo reality. Sasa leo nakuletea silaha ambayo inatumiwa...
  6. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗩𝗶𝘂𝗺𝗯𝗲 𝗮𝗶𝗻𝗮 𝘆𝗮 𝗔𝗹𝗶𝗲𝗻𝘀 𝘃𝗶𝗻𝗮𝗸𝘂𝗷𝗮 𝗸𝘂𝗶𝘃𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗗𝘂𝗻𝗶𝗮 𝗺𝘄𝗮𝗸𝗮 𝗵𝘂𝘂

    Inawezekana umeshtuka kidogo 👋, Naam wanasayansi wanasema viumbe aina ya Aliens vinakuja kuivamia Dunia mwezi novemba mwaka huu 2025. Kupitia ripoti iliyotolewa na Cbs news , wanasayansi kutoka Harvard wanasema Kuna viumbe aina ya Aliens vinakuja kwenye huu ulimwengu wa Dunia mwaka huu 2025...
  7. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Unapotumia simu jihadhari na mambo yafuatayo ili kuwa salama mtandaoni

    Intaneti ni moja wapo ya chombo muhimu sana katika ulimwengu wa Leo , imefanikiwa kuunganisha mabilioni ya watu ulimwenguni kote. Hata hivyo pamoja na manufaa yake huja na vitu ambavyo ni hatarishi upelekea usalama wako kuwa mdogo pamoja na faragha kwa ujumla. Hakikisha unazingatia mambo...
Back
Top Bottom