technews tech explore page

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania ๐—ฌ๐—ผ๐˜‚๐—ง๐˜‚๐—ฏ๐—ฒ ๐˜€๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ฝ๐˜„๐—ฎ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ธ๐˜‚๐—ฎ ๐—ก๐—ด๐˜‚๐—บ๐˜‚ ๐—น๐—ฎ๐˜‡๐—ถ๐—บ๐—ฎ ๐˜‚๐—ท๐—ถ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ฒ ๐—ต๐—ฎ๐˜€๐˜„๐—ฎ

    Wanasema pesa ngumu ๐Ÿ˜ƒ hakuna Kuonga Aiseeh!!! YouTube imeongeza kiwango cha watch hours kutoka 4,000 hadi 8,000 kwa creators wapya wanaotaka kufuzu na Kuanza kulipwa kupitia mapato ya matangazo. ๐Ÿ“ˆ Na kwa wale wanaotegemea Shorts Video, kiwango chao pia kimepanda kutoka 10M hadi 20M views...
  2. JamiiForums Tanzania ๐—”๐—ฃ๐—ฃ๐—Ÿ๐—˜ ๐—ž๐—จ๐—ง๐—›๐—œ๐—•๐—œ๐—ง๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐—ž๐—”๐— ๐—” ๐—ฃ๐—œ๐—–๐—›๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ž๐—ข ๐—œ๐— ๐—˜๐—ฃ๐—œ๐—š๐—ช๐—” ๐—ก๐—” ๐—œ๐—ฃ๐—›๐—ข๐—ก๐—˜ ๐—”๐—จ ๐—”๐—œ ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

    Apple inaonekana kutengeneza mfumo mpya unaoitwa โ€œApple Reference Imageโ€ ambao unaweza kusaidia kuthibitisha kwamba picha fulani ilipigwa moja kwa moja na kamera ya iPhone. ๐Ÿคฏ Katika dunia ambayo AI inaweza kutengeneza picha zinazofanana kabisa na uhalisia, Apple inataka kuweka uthibitisho wa...
  3. JamiiForums Tanzania ๐Ÿ”“๐Ÿ”ฅ ๐— ๐—ช๐—œ๐—ฆ๐—›๐—ข ๐—ช๐—” ๐—จ๐—Ÿ๐—œ๐—ก๐—ญ๐—œ? ๐—ถ๐—ข๐—ฆ ๐Ÿฎ๐Ÿฒ ๐—ฆ๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐—œ๐—ป๐—ฎ ๐—๐—ฎ๐—ถ๐—น๐—ฏ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ๐—ธ!

    ๐ŸŽ Apple alisema โ€œiOS 26 ni salama kabisaโ€ฆโ€ ๐Ÿ˜ haitaweza kuwa na jailbreak ๐Ÿ‘€ ๐Ÿ˜ˆJailbreak community: โ€œHold my iPhone!โ€ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ Hatimaye developer maarufu ulimwenguni Lars Froder anayejulikana kama opa334 ametoa Mfumo ambao unaweza kuondoa vizuizi kwa watumiaji wa iphone. Dopamine 3.0 imeleta jailbreak...
  4. JamiiForums Tanzania ๐Ÿšจ๐Ÿ˜ฑ ๐—ช๐—”๐—œ๐—งโ€ฆ ๐—ช๐—›๐—”๐—ง?! ๐—ฅ๐—˜๐——๐— ๐—œ ๐—”๐— ๐—˜๐—™๐—”๐—ก๐—ฌ๐—” ๐—›๐—œ๐—ฉ๐—œ?!๐Ÿ‘‡

    Kwa hii Redmi hapa Wamepitiliza Aiseeh ๐Ÿ‘‹ Kuna simu mpya ya Redmi inakuja lakini uwezo wake sasa ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ, inaweza kuifanya iwe moja ya simu zenye battery kubwa zaidi kwenye flagship za mwaka huu. Redmi K100 Pro Max 9,070mAh ๐Ÿ”‹ + 185Hz โšก kwenye simu moja?! ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ“ฑ inakuja ikiwa na battery kubwa sana...
  5. JamiiForums Tanzania Update mpya ya WhatsApp kiboko aiseeh, umejaribu lakini?

    Baada ya kusubiria kwa muda mrefu hatimaye Whatsapp imeanza kuachia feature ya Username kwa watumiaji wake ulimwenguni. ๐Ÿ“ข Sasa utaweza kuchati na watu mbalimbali kupitia Whatsapp kwa kutumia Username badala ya namba ya simu. Hii ni hatua kubwa katika kuongeza Usalama na faragha kwa watumiaji...
  6. JamiiForums Tanzania Google yawapa nguvu content creators wasiojulikana!

    Google imeamua kuwapa Nguvu waandaji maudhui wa mitandaoni ๐Ÿ˜ฒ. Kama ulikua unasoma tu profile za watu maarufu ulimwenguni kupitia Wikipedia Sasa ni zamu ya Content creator bhana ๐Ÿ‘‹. ๐Ÿ” Google imezindua rasmi Mfumo mpya unaitwa Creator Search Profiles!, ambapo watengeneza maudhui (Creators)...
  7. JamiiForums Tanzania ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐—ฐ๐—น๐—ผ๐˜‚๐—ฑ ๐˜€๐˜๐—ผ๐—ฟ๐—ฎ๐—ด๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ต๐—ถ๐—ณ๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ถ ๐—ฑ๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐˜‡๐—ถ๐˜€๐—ถ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ผ๐˜๐—ฒ๐—ฎ

    Wengi tumezoea ukitaka kuhifadhi data zako zilizopo kwenye Whatsapp lazima uwe na Google Drive au icloud sio ๐Ÿซข. Jambo linalopelekea ukipoteza email ndo basi Tena huwezi kuzipata data zako kirahisi, Sasa jambo ilo linakwenda kufa. Kwani watumiaji wengi wa Android wanatumia Google drive kuweza...
  8. JamiiForums Tanzania Achana na Blackberry kuna hii simu mpya ni balaa 2026

    Tunaweza sema Blackberry imerudi tena Kwa mwaka 2026 ๐Ÿซฃ lakini Kwa namna nyingine unajua kwanini?? Kampuni kubwa ya kutengeneza simu zenye muundo wa batani Kwa ajili ya smartphone kama ilivyo Blackberry inaitwa Click Technology imezindua simu mpya inaitwa Communicator ๐Ÿ‘€. ๐Ÿ”บ Simu hii inatumia...
  9. JamiiForums Tanzania ๐—ฌ๐—ผ๐˜‚๐—ง๐˜‚๐—ฏ๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐˜‚๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐˜‚ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐— ๐—ฒ๐˜€๐—ฒ๐—ท๐—ถ ๐—ฃ๐—ฟ๐—ถ๐˜ƒ๐—ฎ๐˜๐—ฒ

    YouTube inafanya majaribio ya feature mpya inaitwa "Direct Message" Kwa watumiaji wake kupitia channel zao ambazo wana share video Kwa wengine kuweza kuchati nao Private. Feature hiyo itawapa watu uwezo wa kuweza kuchati kupitia app ya YouTube mobile Kwa kuweza kutumiana Meseji ndani ya hiyo...
  10. JamiiForums Tanzania Vita ya Android na iPhone imefikia tamati sasa

    Hatimaye ile vita ya utata iliyopo kati ya Android na iphone imefikia tamati baada ya Google kutambulisha mfumo rahisi wa kuweza kurushiana vitu Toka Kwenye android kwenda kwenye iphone. Kupitia blogu ya Google, Android waliweza kutambulisha njia mpya Rahisi ya kuweza kutumia QuickShare Kwa...
  11. JamiiForums Tanzania ๐—•๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ฑ๐—ฎ๐—บ๐˜‚ ๐—ฏ๐—ฎ๐˜€๐—ถ ๐—ง๐—ฒ๐—ป๐—ฎ ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ฒ๐—ธ๐˜„๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ฎ๐—ถ๐˜€๐—ฒ๐—ฒ๐—ต!!

    Walichokifanya China hii ni zaidi ya Mapinduzi ya Teknolojia kwenye huu Ulimwengu wa Dunia, Kampuni ya kutengeneza Maroboti Toka China XPENG Robotics imeunda roboti mwenye vinasaba vya binadamu. Angalia video yake sio poa ๐Ÿ‘‡
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ