Ilikuwa ni miaka ya 90 kuelekea 2000. Pale Liberia kulikuwa na Rais mmoja mbabe sana, anaitwa Charles Taylor. Huyu jamaa alikuwa haambiliki, alikuwa anafadhili vita vya Sierra Leone wapigane wenyewe kwa wenyewe..
CIA walikuwa wanamtamani sana, lakini walikosa njia ya kuingia Ikulu kwake...