tauhida gallos

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Tauhida Gallos na Ujenzi wa Nyumba za Makatibu UWT Mkoa wa Magharibi na Wilaya (Dimani na Mfenesini)

    MBUNGE TAUHIDA GALLOS NA UJENZI WA NYUMBA ZA MAKATIBU UWT MKOA WA MAGHARIBI NA WILAYA ZAKE Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi kichama, Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo tarehe 11 Mei, 2025 alipokuwa akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Mbunge amekabidhi fedha kwa ajili ya...
  2. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Mbunge Tauhida Gallos na Miaka Mitano (2020 - 2025) ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Kichama, Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo tarehe 11 Mei, 2025 amewasilisha ripoti ya Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Mbunge kwa kipindi cha miaka mitano (2021 - 2025) katikap ukumbi wa Uwanja wa Ndege SACCOS uliopo Wilaya ya Magharibi B. Mhe...
  3. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Mbunge Tauhida Gallos atoa rai kwa Wananchi kushirikiana na Viongozi ili kuongeza ufanisi

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi kichama Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo tarehe 24 Machi, 2025 akiwa katika Wilaya ya Magharibi B amewataka Wananchi kushirikiana na Viongozi wao ili waweze kufanya kazi kwa Ufanisi. Akizungumza katika ziara ya kuangalia Waasisi na Wagonjwa na kukabidhi Iftar...
  4. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Tauhida Gallos atoa mkono wa Faraja kwa mjane wa watoto watano (5)

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi kichama, Mhe. Tauhida Cassian Gallos ametoa wito kwa viongozi wenzake kuutumia mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kusaidia wanachama wao hasa wanapopata matatizo. Mbunge Tauhida Gallos Ameyasema hayo tarehe 24 Machi, 2024 katika Wilaya ya Magharibi A wakati...
  5. Stephano Mgendanyi

    Tauhida Gallos Awataka Wanawake Nchini Kujitathimini Ili Kuwa Bora Zaidi Kiutendaji

    TAUHIDA GALLOS AWATAKA WANAWAKE NCHINI KUJITATHIMINI ILI KUWA BORA ZAIDI KIUTENDAJI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Mhe. Tauhid Gallos Nyimbo amewataka Wanawake nchini kujitathimini kutokana na nafasi walizonazo ili waweze kujua hatua walizofikia kwa lengo la kuwa bora zaidi kiutendaji...
  6. Stephano Mgendanyi

    Tauhida Gallos: Vijana Tumieni Vizuri Mitandao ya Kijamii Kujiingizia Kipato

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo akiwa Wilaya ya Magharibi A tarehe 06 Machi, 2025 amewataka Wazazi na Walezi kuwashajihisha Vijana wao kutumia vizuri mitandao ya kijamii ili kujipatia kipato. Mbunge Tauhida Gallos Ameyasema hayo mara baada ya kukabidhi...
  7. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Tauhida Gallos Nyimbo ateta na Viongozi, asisitiza kujiandikisha kwenye saftari

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo (MNEC) ambaye pia Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi tarehe 25 Februari, 2025 amekutana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Majimbo ya Mkoa wa Magharibi ili kuhamasisha Wananchi kujitokeza...
  8. W

    PreGE2025 Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos amesema kuwa hakuna kiongozi atakayeihama CCM na kuifanya itetereke hata awe anapendwa vipi

    Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos ameeleza kuwa hata aondoke nani bado chama cha mapinduzi kitaendelea kuwa imara. "Hakuna kiongozi anayeweza kukiteteresha hiki chama hata uone anapendwa vipi" Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
  9. W

    PreGE2025 Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos amesema kuwa dunia inapaswa kuangalia uongozi wa CCM kama mfano

    Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos ameeleza kuwa dunia inapaswa kuangalia mfumo wa chama cha mapinduzi kama mfano katika uongozi kwani chama hicho kina sifa za kipekee Sasa kwa la ajabu gani lilifanywa na CCM hadi watizamwe kama mfano? Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea...
  10. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Mbunge Tauhida Gallos Atoa Msisitizo UWT Kujiandikisha Daftari la Kudumu la Wapiga Kura

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi Kichama, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo amewataka Wanachama wa UWT kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari la kudumu la wapiga kura linaloendelea. Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo ameyasema hayo wakati alipofanya ziara ya kukagua zoezi la Uandikishaji wa...
  11. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Tauhida Gallos Atoa Wito kwa Wajasiriamali Kushirikiana na Kubuni Mbinu

    MBUNGE TAUHIDA GALLOS: WAJASIRIAMALI SHIRIKIANENI NA KUBUNI MBINU Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi Mhe.Tauhida Gallos amewataka wajasiriamali kushirikiana na kubuni mbinu mbalimbali zitakayoweza kuwaletea maendeleo katika familia zao. Mhe. Tauhida ameyasema hayo huko Mazizini mara...
  12. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Tauhida Gallos: Madaktari Fanyeni Kazi kwa Bidii, Upendo na Huruma

    MADAKTARI FANYENI KAZI KWA BIDII, UPENDO NA HURUMA: MBUNGE TAUHIDA Madaktari wa Kituo cha Afya KVZ Mtoni wametakiwa kufanya kazi kwa bidii, upendo na huruma ili kujenga Imani na wateja wao. Mbunge wa viti Maalum Mhe. Tauhida Galls amesisitiza hayo katika Hospitali ya KVZ Mtoni Mara baada ya...
Back
Top Bottom