tatizo la maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Tatizo la Ukosefu wa Maji Kibaha kwa Mfipa; Mtaa wa Simbani

    Tatizo la maji kwa sisi wakazi wa Kibaha – Mfipa, mtaa wa Simbani limekuwa kubwa sana. Maji yanatoka mara moja au mbili tu kwa wiki tena usiku wa manane wakati tumelala , na wakati mwingine hayatoki kabisa. Hii inaleta usumbufu mkubwa kwa wananchi. Maji ni hitaji la msingi kwa maisha ya kila...
  2. Aweso amwaga chozi kisa kuulizwa “Kwanini licha ya miaka 64 ya uhuru bado maji ni changamoto?”

    Aweso kuna siri anaijuwa vizuri kuhusu hii ishu ya maji, kulia kwake kunaaishiria jambo fulani lipo nyuma yake! 𝐊𝐰𝐚𝐧𝐢𝐧𝐢 𝐥𝐢𝐜𝐡𝐚 𝐲𝐚 𝐦𝐢𝐚𝐤𝐚 64 𝐲𝐚 𝐮𝐡𝐮𝐫𝐮 𝐛𝐚𝐝𝐨 𝐦𝐚𝐣𝐢 𝐧𝐢 𝐜𝐡𝐚𝐧𝐠𝐚𝐦𝐨𝐭𝐨?,𝐖𝐚𝐳𝐢𝐫𝐢 𝐰𝐚 𝐌𝐚𝐣𝐢 𝐀𝐰𝐞𝐬𝐨 𝐀𝐦𝐰𝐚𝐠𝐚 𝐦𝐚𝐜𝐡𝐨𝐳𝐢 𝐦𝐛𝐞𝐥𝐞 𝐲𝐚 𝐒𝐚𝐥𝐢𝐦 𝐊𝐢𝐤𝐞𝐤𝐞
  3. Hii imekaaje kuanza ndani ya siku 100 maji yamekuwa tatizo sugu na umeme nao taratibu unaenda kuwa tatizo

    Je, hii ni dalili ya failed state? Kuanza na kuanza ndani ya siku 100 maji yameanza kuwa tatizo, nauli za mwendokasi zimeanza kupanda, umeme nao soon utakuwa changamoto. Dalili ya mvua mawingu, tutarajie makubwa zaidi ya haya.
  4. Kauli za viongozi mbalimbali kuhusu kumaliza tatizo la maji nchini na kubaki historia

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amesema iko siku tatizo la Maji litakuwa historia nchini kutokana na ongezeko la bajeti. Akizungumza jana Desemba 17, kuhusu hali ya upatikanaji wa maji, Aweso amesema miradi ya maji imekuwa ikikabiliwa na changamoto ya uhaba wa fedha, hali iliyosababisha Serikali...
  5. T

    KERO Mwauwasa imewaangusha wakazi wa Mwanza tatizo la maji limegeuka fedheha ya kudumu

    Kile kinachoendelea Mwanza si hitilafu ya kawaida, bali ni aibu ya wazi, uzembe wa makusudi na kutowajibika kwa kiwango cha juu kabisa kutoka MWAUWASA. Mwezi mzima uliopita Nyegezi haikuwa na tone la maji. Hakuna taarifa, hakuna maelezo, hakuna uwajibikaji—mpaka wananchi walipopiga kelele ndipo...
  6. M

    TZS520bn zimepelekwa Arusha kumalizana kabisa na tatizo la maji Arusha mjini ni lita 200milioni kila siku,Hiii ni miaka 4 tu sijui ikiwa 10 itakuwaje?

    "Kwa mujibu wa utafiti ulioongozwa na Benki ya Dunia ulikadiria kuwa kuwekeza dola 1 katika maji safi hutengeneza faida ya dola 4 ya kiuchumi kutokana na kupunguzwa magonjwa ya matumbo (diarrhea) na kupoteza uzalishaji kazi ", Huu Ni mfano mzuri wa jinsi huduma rahisi kama maji safi inavyoweza...
  7. A

    KERO Dodoma Mjini hakuna maji ya uhakika, yanatoka kwa saa nne tu

    Hii ni kero kubwa sana , mwezi wa pili sasa Dodoma tunaishi bila ya maji. Makao makuu ya Chama na Serikali inakuwaje maji yanasumbua kiasi hiki. Yanatoka kuanzia saa 7 asubuhi saa tano tu yamekatika. DUWASA hili mliangalie.
  8. DOKEZO Kinyerezi mitaa ya Kanga, mashineni, mageti, Mtanzania yabainika kuna wananchi wanatumia mota mashine kuvuta maji

    Kinyerezi mitaa ya Kanga, mashineni,mageti, mtanzania yabainika kuna wananchi wanatumia mota mashine kuvuta maji. Mameneja wa Kanda ya kinyerezi wamekuwa katika wakati mgumu muda wote wa utendaji wao. Wananchi waliokuwa wakilia maji hakuna tatizo limeanza kuonekana kuna baadhi ya wananchi...
  9. Tatizo la maji safi na salama Marekani!

    Katika pitapita zangu za kisomi nimejikuta natambua kuwa pamoja na uzee wa Taifa la Marekani bado kuna maeneo mengi hayana maji safi na salama
  10. PreGE2025 Rais Samia Amwaga Bilioni 45 Kutatua Tatizo la Maji Jijini la Dodoma

    ▪️Mradi wa visima 10 Nzuguni A kuzalisha lita 20m kwa siku ▪️Visima zaidi kuchimbwa maeneo ya pembezoni ya Jiji kupunguza Mgao ▪️Waziri Aweso aweka kambi Dodoma kushughulikia suala la Maji ▪️Mbunge Mavunde apongeza jitahada za serikali kutatua kero ya maji Waziri wa Maji Mh. Jumaa Aweso...
  11. A

    KERO Tatizo la Maji Machafu Dodoma - Area D, Mtaa wa Mganga/Mtawa

    Yahusu: Tatizo la Maji Machafu Dodoma - Area D, Mtaa wa Mganga/Mtawa Habari, Tunapenda kuwasilisha malalamiko kuhusu hali mbaya ya maji machafu yaliyotapakaa barabarani katika eneo la Dodoma - Area D, hasa mtaa wa Mganga/Mtawa karibu na zilipokuwa ofisi za Pembejeo. Kwa sasa, kinyesi kimeenea...
  12. Waziri wa Maji kusafiri kidogo tu DAWASA mnakata maji Jumapili

    Mlisha ambiwa na Bwana Aweso msikate maji weekend. Mmevizia kaenda kuwatafutia fund Korea mnakata maji. Ila Dawasa mna makusudi sana mradi mharibu mipango ya waziri tu.
  13. Wananchi Mabogini Moshi wapaza sauti tatizo la Maji safi na salama

    Wananchi wa Kata ya Mabogini wilaya ya Moshi Vijijini wamepaza sauti na kuitaka Mamlaka ya maji safi na uondoshaji majitaka Moshi mjini (MUWSA),kulitafutia ufumbuzi wa haraka tatizo hilo. Wananchi hawa wanapaza sauti kupitia group la WthsApp la Maendeleo Mabogini . Hapa chini ni moja ya...
  14. KERO Responded Tatizo la Maji kwa Mji wa Geita kuwa Historia kufikia Oktoba 2025

    Hali ya upatikanaji wa Maji kwa sasa kwa Mji wa Geita ni asilimia 75 kwa Wakazi wasiopungua 360,000. Mji wa Geita ni moja ya miji ambayo inakuwa kwa kasi hasa kwa shughuli za kiuchumi na Wananchi wengi wanajenga Milimani ukilinganisha na usawa wa miundombinu ya Maji ya inayohudumia na hivyo...
  15. K

    KERO Responded Rais Samia alivyokuja Geita tulipata maji, tangu kaondoka shida imerudi palepale

    Mimi Mkazi wa Geita kwa muda mrefu sasa mkoa wetu umekuwa na changamoto ya mgao wa maji. Maji yamekuwa yakitoka mara moja kwa wiki. Hii ni kwa Mtaa wetu na maeneo mengine mengine. Kila tukiuliza shida ni nini viongozi wetu wamekuwa wakitoa visingizio. Kila mara wamekuwa wakisema kuwa wapo...
  16. Ujenzi wa Vituo vya Kuvuna Maji ya Bahari ya Hindi na Ziwa Victoria Kama Njia ya Kutatua Tatizo la Maji Tanzania

    Na N'yadikwa - Safarini Rwanda Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji safi, hususan katika miji na maeneo yenye uhaba wa vyanzo vya maji vya kudumu. Tatizo hili linahitaji mbinu bunifu na za kisasa ili kulitatua kwa ufanisi. Mojawapo ya mbinu zinazoweza kusaidia ni...
  17. P

    LGE2024 Tatizo la maji kwa nchi iliyobarikiwa vyanzo vingi kama Tanzania, linatatiza sana moyoni mwangu

    Maji ni muhimu sana kwa maisha ya viumbe hai. Sasa inapotokea huduma hii haipatikana tena kwa nchi iliyobarikiwa vyanzo vingi vya maji kama Tanzania, natatizika sana moyoni mwangu. Wenzangu watanzania weusi mliopewa dhamana ya kuzisimamia rasilimali za nchi hii basi niwaombe tu kuwa mtimize...
  18. Majadala: Toa mawazo yako tufanyeje ili kutatua tatizo la maji Dar es Salaam milele

    KARIBU KWENYE MJADALA HUU NDUGU YANGU MTANZANIA Mawazo yako ni muhimu sana katika hii Mada. Mada: TUFANYEJE KUTATUA TATIZO LA MAJI DAR ES SALAAM MILELE Toa mawazo yako ili tupate ufumbuzi juu ya tatizo hili Mchango uwe wa kiufundi zaidi na sio kisiasa Karibuni Pia soma: SoC03 - Mwarobaini...
  19. KERO Ukosefu wa maji zaidi ya mwezi mmoja Tabata

    Kwenu Wahusika, Naandika kutoa malalamiko yangu na kuhusu kukosekana kwa maji kutoka DAWASA katika maeneo mengi ya Tabata, kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa ambayo pia inatufanya kuingia gharama kubwa kupata maji hayo. Bill yetu ya hivi karibuni inaonyesha matumizi ya maji kuwa sifuri, ikionyesha...
  20. Waziri Aweso: Bilioni 195 kumaliza tatizo la maji Morogoro. MORUWASA Mkizingua tunazinguana

    Waziri Aweso aunguruma Morogoro Salam za Wizara ya Maji zikitolewa na Waziri wa Maji Jumaa Aweso kwa wananchi wa Manispaa ya Morogoro waliokusanyika katika uwanja wa Jamhuri katika Mkutano wa hadhara wa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika ziara inayoendelea mkoani Morogoro leo terehe 06...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…