tarime

  1. JamiiForums Tanzania Makaburi saba yakutwa ndani ya Kanisa Huko Tarime

    Ni jambo la Kustaajabisha na ni halisi kabisa limetokea Huko Mkoani Mra wilaya ya Tarime ambapo inadaiwa makaburi saba yamekutwa Kanisani Humo Hadi sasa Hijafahamika wazi ni nani aliyachimba na yalitumika Vipi Taarifa kamili hii hapa https://youtu.be/tKE8-hIRyBk?si=W57s4O3HXa2DRc83
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Msaidizi wa mbunge mstaafu akamatwa na TAKUKURU Tarime

    Elisha Samo ambaye ni Katibu wa Mbunge mstaafu wa Jimbo la Tarime Mjini, Mhe. Michael Mwita Kembaki, anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Tarime kwa tuhuma za kuendesha mikutano ya kisiasa kinyume na taratibu za Chama Cha Mapinduzi @ccmtanzania Inadaiwa...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Esther Matiko atinga mbele za wajumbe kuwashawishi wampitishe kuwa mgombea wa ubunge Tarime mjini

    Mtiania wa ubunge wa Tarime Mjini, Mkoa wa Mara, Esther Matiko akijitambulisha kwa wajumbe wa Chama cha Mapinduzi (CCM) jana Ijumaa, Agosti 1, 2025 kabla ya kura za maoni. Matiko amewahi kuwa mbunge wa Viti Maalumu na mbunge wa Tarime Mjini kupitia Chadema. Kwa sasa anawania breathe hiyo mdani...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi, nipo Tarime

    Naitwa Vivian, nahitaji kazi yoyote, umri miaka 27, elimu kidato cha sita, nipo Tarime.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mwita Waitara aitwa kamati ya maadili CCM Tarime

    Siku ya leo Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mheshimiwa Mwita Mwikwabe Waitara ameitwa kwenye kamati ya madili ya Chama wilaya kuhojiwa juu ya tuhuma zinazomkabili. Miongoni mwa tuhuma hizo ni; 1. Kuandaa na kulipa genge la vijana kumzomea Mwenyekiti wa CCM Wilaya akiwa katika majukumu ya...
  6. JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia kutokana na mwingiliano wa Kenya na Tanzania mkoani Mara wilaya ya Tarime

    Habari wanaJamii Forums. Leo katika nimekumbuka visa kadhaa na matukio ambayo niliwahi kuyashuhudia miaka kadhaa iliyopita huko mkoani Mara wilaya ya Tarime. Terminator nimezaliwa miaka 37 iliyopita huko mkoani mara Wilaya ya Tarime kabila ni Mkurya.. Wa Tarime katika kijiji cha Kubiterere...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde Azindua Mradi wa Kihistoria wa Vijana Nyamongo - Tarime

    WAZIRI MAVUNDE AZINDUA MRADI WA KIHISTORIA WA VIJANA NYAMONGO-TARIME ▪️Agawa Leseni za madini awamu ya kwanza kwa Vijana 2000 ▪️Ni utekelezaji wa Maagizo ya Mh. Rais Dkt. Samia ▪️Aupongeza mgodi wa Barrick North Mara kwa kutoa Leseni kwa Vijana wa Vijiji 13 ▪️Benki ya Dunia(WB) na Baraza la...
  8. JamiiForums Tanzania Heche aamua kujilipua Tarime na No reform No election

    https://youtu.be/jRUxerN3pq8?si=Ee2_5SrEbZWuZxhW John Heche akiwa kwao Tarime aongea kwa uchungu sana kuhusu mabadiliko ndani ya Tanzania. Msikilize hadi mwisho. Ni zaidi ya Mpigania Uhuru enzi za Wakolone.
  9. B

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 John Heche hataki No reforms No election na ametangaza kugombea Tarime vijijini

    Wakuu JamiiCheck, nmekutana na Taarifa inayoeleza kuwa Jihn Heche hataki ajenda ya No reform na ametangaza kugombea ubunge jimbo la Tarime vijijini?
  10. H

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna vita ya kikoo kwa sasa inaendelea Tarime kimya kimya, baina ya koo ya Wanchari na Wakira

    Kuna vita ya kikoo kwa sasa inaendelea Tarime kimya kimya, baina ya koo ya Wanchari na Wakira. Kinachogombaniwa hapa ni mashamba mipakani mwa vijiji vyao. mgogoro huu unasababishwa na tajiri mmoja ambaye anakodisha mashamba ya koo nyingine kwa nguvu huku akidhamini vijana kutoka sehemu...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Dkt. Slaa akifia Gerezani, Rais Samia atawaambia nini Wananchi? Uonevu ni kitu kibaya

    Hapo jana Februari 12, akiwa kwenye mkutano wake wa hadhara Sirari, jimbo la Tarime vijijini, Makamu Mwenyekiti Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amehoji juu ya kukamatwa na kunyimwa dhamana kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Dkt. Wilbroad Slaa na pia...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chacha Heche: CHADEMA hakuna vibaka wala sio kweli chama hicho kilikuwa kinachukua vijana kutoka Tarime na kwenda kuwatumia kufanya fujo

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara Chacha Heche amesema katika chama hicho hakuna vibaka wala sio kweli chama hicho kilikuwa kinachukua vijana kutoka Tarime na kwenda kuwatumia kufanya fujo kama mamluki (Mercenaries). Soma Pia: Wasira: CHADEMA wakitaka...
  13. JamiiForums Tanzania No Reforms, No Election 2025: Balaa la John Heche Sirari - Tarime. Maelfu wampokea. Amfyatua polisi anayeonea na kunyanyasa watu

    https://youtu.be/NRRV25wKN9U?si=Z82mG6EFcURTQFPr ➡Hii combination ya Tundu Lissu na John Heche sio mchezo. Ni wote wanajua kujenga hoja ➡Maelfu ya umati huu Sirari - Tarime leo wakimsikiliza huyu mwamba. ➡Ni ukweli usiopingika kuwa, IF THERE WILL BE NO REFORMS, THEN THERE WILL BE NO ELECTION...
  14. JamiiForums Tanzania Wana Tarime waja na Operatio Tokomeza Waitara Tarime (TOWATA)

    Mbunge wa Tarime, Mh. Waitara ni miongoni mwa wanadamu wanaopitia magumu sana jimboni kwake. Waitara hakubaliki sio na wana CCM wala Wapinzani. Na sasa wameanzisha mpango kazi wa kumuondo ndani ya chama chake asigombee tena ubunge. kwa ushauri huyu pamoja na Gambo watafute kazi nyingine za...
  15. JamiiForums Tanzania John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA anatema cheche muda huu mjini Tarime

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, John Heche leo Jumatano Februari 12, 2025, anazungumza na wananchi wa Tarime Fuatilia hapa kinachoendelea kutoka mjini Tarime https://www.youtube.com/live/3vCV_A7LVeI John Heche anasema "Hapa ndio Tarime, leo nimesimama...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Tarime azomewa na Wananchi

    Huyu ni MwenyeKiti wa Wilaya ya Tarime. Anaitwa Marwa Ngicho, hapa alikuwa msibani anawaambia Wananchi wana maisha mazuri kupitia CCM. Wananchi walimzoea msibani bila kuogopa. Soma Pia: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Hizi sio dalili nzuri kwa Chama...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: CHADEMA wakitaka kufanya fujo wanachukua vijana kutoka Tarime

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema ni marufuku kwa vyama upinzani kuwatumia vijana kutoka mkoani Mara kama nguvu kazi ya kufanya vurugu katika maeneo mbalimbali. Soma: Wasira: Watanzania hawana sababu ya kuichagua CHADEMA Amesema CCM inamipango...
  18. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzee Wasira anadai Mwita Waitara alikuwa akiwatumia vijana wa Tarime kufanya fujo

    Wakuu huyu mzee wenu bila kuitaja CHADEMA hasikii raha kabisa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ameishutumu CHADEMA kwa kile alichodai kuwa chama hicho kimekuwa kikiwatumia vijana wa Tarime kama majeshi ya kukodi kwa ajili ya vurugu katika maeneo...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji router itakayonifaa nimehamia Tarime kikazi

    Habari ndugu zangu nahitaji router nipo Tarime ni ipi itakayonifaa kuendana na mazingira ya huku??
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Nimetoka mbali na Lissu, nilikuwa namlipia tiketi za ndege kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji madini

    Wanaukumbi. Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa. --- “Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…