tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kuna mkasa ulitokea nikaamini Tanzania hii bado Kuna watu waaminifu

    Huu mkasa ulitokea kama miaka miwili imepita, dogo wangu alivyomaliza chuo akapata kazi shirika Moja binafsi, akafanya huko kama miaka minne akaanza mazoea ya kunipiga vizinga Tabia ambayo alikua Hana, nikapigwa vizinga weeee mpaka nikachoka, mawazo yakanijia huyu dogo kaajiriwa na Kuna kipindi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania mpya bila usugu wa vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa za antibiotiki (Antibacterial Resistance)

    TANZANIA MPYA BILA USUGU WA VIMELEA VYA MAGONJWA DHIDI YA DAWA ZA ANTIBIOTIKI (ANTIBACTERIAL RESISTANCE) UTANGULIZI; usugu wa vimelea ni hali na uwezo wa kimelea kuzidi kukua na kuongezeka dhidi ya dawa kwa kutumia dozi sahihi na muda sahihi wa dawa hiyo kwa kuzuia utendaji kazi wa dawa kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania hatutaendelea milele kwa kulea na kukumbatia Chawa, wadudu, Covid 19 na makundi mengine ya aina hiyo

    Ni uwendawazimu wa kiwango cha juu mnoo kwa taifa la Tanzania lenye umri wa zaidi ya miaka 60, watu zaidi ya milioni 60, wasomi wa chuo kikuu karibu au zaidi ya milioni moja kuendelea kukumbatia, kushabikia, kufurahia magenge ya wahuni, wavivu, wajinga, malaya, wavuta bangi, walevi...
  4. JamiiForums Tanzania Air Tanzania yadai uhaba wa Injini umesababisha Ndege kukaa muda mrefu Karakana Malaysia

  5. JamiiForums Tanzania Safari ya Che Guevara Tanzania 1965

    Maktaba leo imetembelewa na Mwalimu wa Historia Dr. Francis Daud. Kilichomleta ni yeye kutaka kusikia kutoka kwangu kipi nikijuacho kuhusu mwanamapinduzi huyu. Sikiliza mazungumzo yetu: https://youtu.be/Ooi9Ut4zU94?si=blcV4RnIr8-RODHT
  6. X

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mitandao ya Kijamii Tanzania imulikwe, itumike kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii, irasimishwe

    UTANGULIZI Tanzania mitandao ya kijamii bado inatumika kama sehemu ya watu kutoa mawazo(stress), kupata habari nyepesi na udaku. Bado mitandao haijawa mahali salama sana kwa kizazi cha sasa na cha baadae kama hatutatengeneza mazingira salama kwa ajili ya wakati ujao. Bado haiaminiki, ina kundi...
  7. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Bahari ya maarifa: Safari ya Prince kuelekea Tanzania tuitakayo katika maendeleo ya tasnia ya habari na mawasiliano

    Katika pembe ya kusini mwa Tanzania, katika kijiji kidogo kilichofichwa na milima na misitu, kulikuwa na kijana mmoja aitwaye Prince. Prince alikuwa na ndoto kubwa ya kuleta mageuzi katika tasnia ya habari na mawasiliano nchini Tanzania. Aliamini kuwa kupitia nguvu ya habari na mawasiliano...
  8. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania yenye mabadiliko na maendeleo

    Tanzania tuitakayo yenye wakazi wenye maisha na maendeleo makubwa ni Tanzania yenye mambo yafuatayo tena yakiwa katika ubora wake. 1. Mfumo bora wa uchaguzi na wenye kuzingatia haki na maendeleo katika jamii ya watu husika, kuwe na mfumo utakaohakikisha kiongozi anatimiza yale aliyoahidi wakati...
  9. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Sura mpya ya Tanzania: Manufaa kwa kizazi cha sasa na kinachokuja

    Imezoeleka katika chambuzi nyingi, watu husifia. Lakini ni vigumu sana kufanya uchambuzi kwa kuonesha makosa au udhaifu katika nyanja mbalimbali hususani katika jambo unalolifanyia kazi. Bila ya kukinzana na matakwa ya jukwaa hili zifuatazo ni hoja zinazoonyesha Matarajio au shauku ni kivipi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kweli nimeamini elimu tuliorithi kutoka kwa wakoloni ni chanzo cha umasikini mkubwa sana Tanzania na Afrika kwa ujumla wake

    Jana jioni kabla ya usingizi nilikuwa natafari kwa kujilaumu na kulalama... Nakuona kuwa maisha ni magumu sana, niliumia zaidi kuona watoto na mke wananitegemea, wazazi pia tena zaidi wanaamini kijana wetu msomi... Daaaah! Nikapiga hesabu muda niliotumia shule... Miaka 7 msingi + miaka 4...
  11. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uuzwaji holela wa vileo unaangamiza nguvu kazi ya taifa kwa kasi, na hii sio Tanzania tuitakayo

    Ili taifa letu la Tanzania lipate maendeleo kwenye nyanja zote lazima likuwe kiuchumi hadi ngazi ya uchumi wa juu.Bidhaa za vileo ni moja ya bidhaa zinazoongoza kwa kukuza pato la taifa kupitia kodi na leseni za biashara na taifa letu linajivunia kwasababu inachangia uchumi wa taifa, lakini kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Wizi unaofanywa na makampuni ya kusafirisha watu kwa ajili ya kazi nje ya Tanzania

    Habari wana JF, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, sasa hivi kutokana na uhaba wa ajira ndani ya nchi yetu ya Tanzania, kuna makampuni ambayo yanatangaza yanatoa ajira nje ya nchi, hasa nchi za uarabuni. Makampuni hayo yameanzisha mchezo wa kutangaza kuwa kuna kazi fulani, lakini...
  13. JamiiForums Tanzania PICHA: TLS yawakutanisha Wana-AZAKI nchini Tanzania Bara na Visiwani, ili kujadili na kubainisha changamoto za kisera na kisheria zinazowakabili

    Chama cha Wanasheria Tanganyika(TLS) kimewaleta Pamoja Mkoani Morogoro leo Tarehe 10 Mei 29024 Wana-AZAKI nchini Tanzania Bara na Visiwani kujadili na kubainisha changamoto za kisera na kisheria zinazohitaji maboresho na mikakati madhubuti ya kiutatuzi ili kuboresha ufanisi wao wa wakiutendaji...
  14. JamiiForums Tanzania Huyu Mwalimu anaishi kwa mbinu Gani nchi Tanzania?

    Kwa hali hii, huyu mwalimu anaweza kupata akili ya kufundisha watoto darasani waweze kufaulu? Huwa anaishije?
  15. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ijayo ili iwe bora lazima lazima ifanyiwe mabadiliko katika sekta hizi

    Andiko linausu Tanzania tuitakayo Tanzania tuitakayo iwe bora katika mambo yafuatayo ni lazima tuifanyie mabadiliko katika sehemu zifuatazo ambazo ni. Afya: Tanzania kma nchi ni lazima tufanye mabadiliko katika sekta hii ya afya hili tumpunguze adui mkubwa wa umasikini ambaye ni magonjwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Athari zilizotokana na mvua, nini kifanyike kuhakikisha madhara hayo hayatokei tena ili kusaidia kuijenga tanzania tuitakayo

    UTANGULIZI Mnamo mwezi agosti mwaka 2023 mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) ilitoa tahadhari kuhusu mvua za El nino zitakazo anza kipindi cha vuli kuanzia wiki ya pili ya mwezi october mpaka wiki za mwanzo ya mwezi January 2024 na miezi mingine ya mwaka huo. Mamlaka hiyo ilitoa tahadhari...
  17. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Building a Better Tomorrow for Tanzania: An Economic Blueprint

    Tanzania, like many developing nations, stands at a crucial juncture in its economic development journey. The concept of "building a better tomorrow" encapsulates a strategic approach to sustainable growth, encompassing various facets such as infrastructure development, human capital investment...
  18. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mitigating the Impact of Climate Change in Tanzania: Strategies for Sustainable Development

    Climate change poses a significant threat to Tanzania's socio-economic development, biodiversity, and overall environmental stability. The country experiences a range of climate-related challenges, including erratic rainfall patterns, prolonged droughts, flooding, and rising temperatures. To...
  19. JamiiForums Tanzania Amani ya DRC na kesho ya usalama wa Tanzania

    Mungu ibariki Afrika na watu wake..Mungu wabariki Viongozi wetu Vita na mauaji vinaendelea Kivu ya Kaskazini,Maelfu ya raia wanauwa kila leo. Biashara na shughuli kuu zote zimedorora. Janga la kibinadamu siku si nyingi yamkini kukawa na mauaji ya haraiki. Waasi wenye nguvu wanapambana kuteka...
  20. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Ubora wa Viwanja ndio Ubora wa Soka Letu

    Tanzania inajivunia utamaduni mzuri wa soka, huku timu zetu pendwa za Simba, Azam na Yanga zikizidi kuwasha shauku kubwa katika anga za kitaifa na kimataifa. Hata hivyo, hali ya sasa ya viwanja vya soka kote hapa nyumbani inashindwa kuendana na shauku hii. Hebu fikiria nyasi chakavu, vifaa duni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…