tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya waridhishwa na hatua za Tanzania kukuza uchumi wa kidigitali

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Masuala ya Afrika kutoka Umoja wa Ulaya, Hans Christian Stausboll, ambaye wamejadili naye masuala ya ushirikiano katika uchumi wa kidijitali nchini. Mazungumzo hayo yamefanyika...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania opposition laments its ‘naivety’ over president as repression intensifies

    09 December 2024 Maadhimisho ya uhuru wa Tanzania makala maalum Makala ya Kimataifa by Carlos Mureithi wa: Gazeti tajwa kimataifa la The Guardian Tanzania opposition laments its ‘naivety’ over president as repression intensifies Recent killings and arrests of government critics suggest end...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi Nchi za Mashariki ya kati zinatofauti gani na wananchi wa Tanzania?

    Wamebakia wanasiasa kubwatuka katiba mpya katiba mpya,wengine fulani katekwa,wengine njaaa,wengine kitukana mitandaoni. Upande mwengine umoja wa mataifa na waatabu kwa ujumla wameipa mamlaka nchi ya Israel kuvamia eneo lolote kwa mabavu huku wakibakia kuangalia na wengine kukemea/kubweka kama...
  4. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Utatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi hiyo kwa njia ya mtandao katika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 11 Desemba, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Utatu wa Wakuu wa Nchi na...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ndie kiongozi pekee wa kisiasa Tanzania ambae ni kielelezo cha uzalendo na nembo ya umoja wa kitaifa na kimatafa

    Nia na dhamira yake njema ni ya wazi na yenye lengo la kuhakikisha umoja, amani na utangamano miongoni wananchi na Tanzania kwa ujumla, ni imara licha ya utofauti wa mirengo ya kisiasa au kidini, lakini kama Taifa tunabaki kua ndugu, jamaa na marafiki kwa maslahi mapana ya Taifa. Dr.Samia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sarafu ya Tanzania yaimarika

    Kwa siku za karibuni, sarafu ya Tanzania imepanda thamani kwa kasi dhidi ya dola ya Marekani. Kutoka 2800 hadi 2300 Kwa hili twakushukuru Rais Samia 1USD= 2375 TSH
  7. JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mtu mzima anakosa pesa Tanzania hii?

    Huwa najiuliza masikini tena lenye umri mkubwa linalialia kukosa pesa aisee nashindwaga kuelewa aisee yaani kama Mimi mtoto mdogo mwenye pesa nyingi natamba nyie mijitu mizima mnakosaje pesa hivi hao wake zenu wana akili timamu kuolewa na masikini kama nyie acheni ujinga tafuteni hela nyie...
  8. JamiiForums Tanzania Dira ya Maendeleo 2050: Tanzania Kuelekea Taifa Jumuishi, lenye Ustawi na Kujitegemea

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Prof. Kitila Mkumbo amesema pamoja na mambo mengine, dira mpya ya maendeleo ya Taifa ya mwaka 2050 utaijenga Tanzania kuwa Taifa jumuishi lenye ustawi, haki na linalojitegemea. Katika kufikia huko, Waziri Kitila wakati wakati wa Uzinduzi...
  9. JamiiForums Tanzania Mechi ya kiporo ya Simba dhidi ya JKT Tanzania kuchezwa Disemba 24, KMC Complex

    Mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya JKT Tanzania ambao awali ulihairishwa baada ya mpinzani wetu kupata ajali sasa umepangwa kuchezwa Disemba 24, 2024 saa 10:00 jioni katika Uwanja wa KMC Complex. Mchezo huu awali haukuchezwa kutokana na JKT Tanzania kupata ajali ya gari na baadhi ya wachezaji wao...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Isingekuwa CCM, Ghana na Tanzania walipaswa kuwa mababa wa siasa za kistaarabu Afrika

    Niliposikia pongezi toka kwa mgombea wa chama tawala aliyeshindwa uchaguzi mkuu wa kule Ghana akimpongeza mpinzani aliyeshinda ikanifanya nikumbuke kwamba Ghana iliwahi kuongozwa na kiongozi mashuhuri sana wa siasa za Afrika na ndio maana ya ustaarabu tunaoushushudia Ndipo zikanijia kumbukumbu...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania ni kiongozi gani anaweza kushtakiwa kama anavyoshitakiwa Waziri Mkuu wa Israel?

    Mwendesha mashtaka wa Tanzania anaruhusiwa kushtikaviongozi gani wa Tanzania mahakamani? Tumeona huko Israel Waziri Mkuu wake Benjamini Netanyauh akishitakiwa mahakamani Kwa ufisadi. Hapa kwetu nani anaweza kushtakiwa kama hivyo?
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama: Tanzania Inakuja na Mifumo Imara ya Bima ya Afya kwa Wote Nchini

    Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagamana na ujumbe wake akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bw. Ismail Rumatila, Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu pamoja na wataalam wengine Desemba 09, 2024 wamefanya ziara ya mafunzo ya jinsi mfumo wa uendeshaji wa masuala ya afya unavyofanya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja kupewa vyeo viwili ina maana Tanzania hamna wasomi au?

  14. JamiiForums Tanzania Siku ya Haki za Binadamu: Je, Tanzania inaheshimu na kuzilinda?

    Siku ya Haki za Binadamu huadhimishwa kila mwaka duniani kote tarehe 10 Desemba. Siku hii inaadhimisha kumbukumbu ya moja ya ahadi muhimu zaidi duniani: Tamko la Ulimwengu la Haki za Binadamu (UDHR) la mwaka 1948. Hati hii ya kihistoria inathibitisha haki za asili ambazo kila mtu anastahili...
  15. JamiiForums Tanzania Nimejaribu ku-google "Is Tanzania Safe?" niliyoyakuta nimebubujikwa na machozi!

    Wakuu, Kutokana na hali ya kisiasa na utendaji wa jeshi la Polisi, nimejaribu kwenda google ku-search is Tanzania Safe? Majibu niliyokutana nayo yamenihuzunisha sana. Websites kubwa duniani ikiwemo ya CIA zinaonesha kabisa kuwa nchi yetu sio salama. Mambo kama ugaidi, wizi na uhalifu...
  16. JamiiForums Tanzania Tuhuma za Ubadhilifu wa Fedha katika Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania: Mchungaji Mwasomola Aongea na Vyombo vya Habari

    Wiki chache zilizopita Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango alizungumzia tuhuma za ubadhilifu wa mali za kanisa na matumizi mabaya ya madaraka ndani ya Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania. Leo mchungaji Mwasomola amepigilia msumari tuhuma hizo kama ifuatavyo...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

    Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana. Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50. Kwasasa AgendA ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia...
  18. JamiiForums Tanzania Nimepokea ujumbe kutoka Halotel kuwa nimejiunga na huduma ya AfyaCheck ambayo siijui na wala sijawahi kuisikia

    Majira ya saa 10 jioni ya tarehe 09.12.2024 nimepokea ujumbe huu 1 na 2 (chini) kutoka mtandao wa Halotel Tanzania 🇹🇿 kuwa nimejiunga na huduma ya #AfyaCheck ambayo siijui na wala sijawahi kuisikia. Na mbaya zaidi wanasema huduma ile siku ya kwanza BURE baada ya hapo makato yanaanza ya 200Tshs...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halotel Tanzania wanaunganisha wateja huduma bila ridhaa zao

    Haloteli wanawaunganisha wateja automatic siku hizi ili kama salio lako huwa hawalikati kutokana na kwamba huna huduma yoyote toka kwako basi wanalazimika kukuunga bila ridhaa yako wewe mteja. Ujumbe wa kwanza [AFYACHAP] Umefanikiwa kujiunga na huduma ya AfyaChap kutoka HALOTEL BURE kwa siku...
  20. JamiiForums Tanzania Hongereni Watanzania Kwa Miaka 63 Ya Uhuru

    Kwanza tupongezane sote kwa siku hii ambayo ni kumbukizi ya Uhuru ambao wapendwa wetu walipambana kwa jasho na damu mpaka leo hii tunajitawala na kuyaendesha mambo yetu kwa utashi na uhuru kabisa bila bughudha yoyote ile. Ilikuwa ni ndoto ya waafrika wengi kutaka kuwa huru dhidi ya utawala wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…