tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea baadaye endapo serikali itaendeleza tamaduni hii tukilejea mataifa Yale yalipitia hali hii inayopitia Tanzania ??

    Swali lako ni zito sana, na linaonesha unafikiria mbali — kuangalia historia ili kufahamu hatima ya taifa kama hali ya sasa itaendelea. Tukitazama mataifa mengine yaliyopitia hali kama Tanzania ya sasa (yaani, serikali kudharau raia, kukandamiza uhuru wa watu, kukithiri kwa rushwa, na ukiukaji...
  2. JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania: Your Nonsense Crimes, Hatutunyamazishwa Forever!"

    Sikilizeni polisi wa Tanzania, na viongozi wote wa kipumbavu wanaochochea hii motherfucking uhalifu mnavyofanya mchana kweupe! I swear to God, I ain't stopping this shit — usiku na mchana, mtasikia sauti yangu mpaka mishipa ya masikio yenu i-burst! Mnatuua, mnatutesa, mnabaka haki za raia huku...
  3. JamiiForums Tanzania APARTMENT MPYA ZINAUZWA,ZIPO MBWENI MPIJI DAR🇹🇿,BEI NI MILIONI 850, 0758844717

    #sale APPERTMENT ZINAUZWA “”” ZIPO ZA VYUMBA VITATU “” ZIPO ZA VYUMBA VIWILI ZOTE ZINA WAPANGAJI VYUMBA VITATU NI LAK 700K VYUMBA VIWIL UWA ZINAPANGISHWA KWA LAKI 600K UKUBWA WA KIWANJA NI SQMT 1200”” KUNA HATI MILIKI OFFER MILLION 850 MAONGEZI YAPO LOCATION MBWEN MPIJI...
  4. JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania tubuni mnaangamia kwa kokosa maarifa

    Police wanaotumika kuiba kula uwa ni wale duni, waliochoka wenye njaa Kwa walimu pia Lakini wanaonufaika ni watu wakubwa wanasiasa mafisadi Imagine unatumwa unaua unazika alafu aliyekutuma anakupa pesho ya laki moja Unanuka damu yeye aliyekutuma Wala hajawai kuua Polisi jitambueni sisi...
  5. JamiiForums Tanzania Majukumu na Kazi za Jeshi la Polisi Tanzania

    1. Polisi Tanzania (PT) ni chombo cha Muungano wa Tanzania kilichoundwa ili kuhakikisha usalama wa rai na mali zao, kudumisha Amani na utulivu katika jamii. 2. Kuzuia, kubaini, na kupambana na uhalifu, Ni chombo cha Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, kilichopewa mamlaka na wajibu wa...
  6. JamiiForums Tanzania Me too ya Harmonize na Abby Chams: Moja ya nyimbo kali kuwahi kutengenezwa kwenye historia ya Muziki wa Tanzania.

    https://youtu.be/qCOsfkUKMfI?si=bMgpLjfzFdFBAqSx
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake wote Tanzania mngekuwa kama Mke wa Mwijaku hakika Sisi Wanaume zenu tungewapenda Kunakotukuka

    "Wala sina wasiwasi na yaliyomtokea Mume wangu na kwa msichokijua Mimi nilijua mapema kabla yenu na nikazungumza nae na kumalizana nae na sasa tunaendelea na Maisha pamoja na Mapenzi yetu huku tukiwashangaa tu mnaoshadadia na kuzungumzia Kutwa hili jambo. Nampenda mno Mume wangu Mwijaku hata...
  8. JamiiForums Tanzania Miaka 61 ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

  9. JamiiForums Tanzania Hongera Dr. Nchimbi, Mungu analo Kusudi na Nchi yetu Tanzania!

    Itoshe kusema katazo lako la wimbo wa kuchochea chuki baina ya wananchi wa vyama pinzani limenipa maono kuwa Taifa hili lina hazina kubwa ya busara na hekima ndani ya watu wake! Tupo salama, tuchape kazi na Mungu atubariki
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania Kama Zilivyo nchi nyingi za Afrika, tunapitia Ukoloni wa aina nyingi

    Tuliachana na ukoloni wa Chui tukakutana na ukoloni wa Mbwa mwitu tukaishia ukoloni wa Fisi, hatujajua tutishia ukoloni wa nani. https://www.youtube.com/shorts/F3LQYQ3XbE8
  11. JamiiForums Tanzania Mahakama za Tanzania ni majukwaa ya maigizo

    Mambo vipi? Mimi kwa akili zangu tu ninavyoona watanzania wanaofuatilia kesi ya UHAINI inayomkabili kamanda TUNDU LISSU na kufikiri hataukumiwa kifungo cha maisha wote ni wajinga kwa sababu pale kisutu kinachofanyika ni maagizo na maigizo kutoka juu ili kumpotezea muda wa kufanya kampeni zake...
  12. JamiiForums Tanzania Ili Air Tanzania iweze kupenya soko la ulaya inabidi ifanye mipango na mikakati ya muda mrefu.

    Juzi kati hapa kulikuwa na mjadala niliokutana nao humu mtandaoni kuhusiana na Air Tanzania kufanya safari za moja kwa moja ulaya hadi hapa Tz. Kiukweli mjadala ule ulinivutia kwa kiasi chake ,lakini binafsinikagundua ili shirika hili liweze kupenya soko la ulaya itahitaji mipango,ubunifu na...
  13. JamiiForums Tanzania Balozi za Marekani na uingereza na nyenginezo zinapaswa kulaani mauwaji, utekeaji, na uonevu unaoendelea Tanzania

    Nitoe wito kwa balozi zilizopo Tanzania kulaani mauwaji ya raia na uonevu unaoendelea kufanywa na jeshi la polisi nchini ili kuongeza uzito wa suala hili, matamko ya balozi hizo yatakuwa na mchango kubwa katika kuhamasisha mabadiliko nchini.
  14. JamiiForums Tanzania Hapa Duniani kuna wananchi waoga kama Raia wa Tanzania na Uganda?

    Great Thinkers. Nadhani pakitokea ranks za raia waoga dhidi ya watawala wabidhilifu Tanzania na Uganda lazima tushike seat ya mbele. Kinachotupoanza kikubwa ni unafiki imefika mahali hadi dini zinatumika kutetea ujinga, mimi.siyo mdini lakini itoshe kusema waislamu ni binadamu wanafiki kuliko...
  15. JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia: Tanzania haiwezi kuwepo bila ya muungano, tuulinde kwa wivu

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amesema kuwa ni wajibu wa kila mtanzania kuhakikisha anailinda kwa wivu wote tunu ya Muungano iliyoanzishwa na waasisi wa taifa hilo. Dkt. Tulia ameyasema hayo leo tarehe 25...
  16. JamiiForums Tanzania Ifike mahali wapinzani wa Tanzania waelewe kuwa Polisi na CCM hawawapendi na hawapendi maisha yao

    Wapinzani wa Tanzania wale ambao kweli ni wapinzani wakishaelewa hivyo naamini wanaelewa nini wanachotakiwa kufanya. Jana mmeona wenyewe kuna watu waliumizwa kuna kifo na kuna ambae mpaka sasa hajarudi achilia mbali kuchukuliwa na polisi hadharani. Hili jeshi pamoja na CCM kamwe hawawapendi na...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanzania ni mali ya nani?

    Hii serikali ya Tanzania imekuwa ikituzarau! Tume ya Uchaguzi ni chombo kinachopaswa kuwa huru kabisa—lakini leo hii, ni kama idara ya chama tawala! Tunawauliza: 1. Kwa nini Rais, ambaye ni mshiriki wa uchaguzi, awe na mamlaka ya kuteua Mwenyekiti wa Tume? Huu siyo mgongano wa maslahi? 2. Kwa...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais wa Finland akitembelea Tanzania atumiwe email za kutosha kuhusu kutembelea nchi isiokuwa na utawala wa sheria

    Hii ndio njia ya kudili na hawa CCM kuliko kutwa nzima kujaza servers ya Jf na post za kulia lia tu. Tuachane na post za kulia lia. Sasa kwa upande wa Tanzania, huyu Mwamba wa Finland anapaswa kutumiwa email za kutosha kwamba anatembelea taifa lisiloheshimu misingi ya utawala Bora, akipata...
  19. JamiiForums Tanzania House4Rent Full furnished apartment, 3bedroom master, located at mikocheni Dar, price USD 2,000 per month

    #rent APARTMENT FOR RENT LOCATED AT MIKOCHENI DAR-ES-SALAAM TANZANIA🇹🇿 3BEDROOM MASTER, ______________ RENT PRICE USD $2000 Dalali_wa_kimataifa 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  20. JamiiForums Tanzania Imekuaje Kenya kuingizwa katika Mgogoro wa Tanzania na Malaw?!

    Kuna mtu anaweza kuelezea sababu za magari ya Kenya kutoka Malawi yanayopitia Tanzania kutaabishwa katika mipaka yetu kutokana na mgogoro wetu na Malawi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…