tanzania yangu

Up to the second half of the 20th century, Tanzanian literature was primarily oral. Major oral literary forms include folktales, poems, riddles, proverbs, and songs. The majority of the oral literature in Tanzania that has been recorded is in Swahili, though each of the country's languages has its own oral tradition. The country's oral literature is currently declining because of social changes that make transmission of oral literature more difficult and because of the devaluation of oral literature that has accompanied Tanzania's development. Tanzania's written literary tradition has produced relatively few writers and works; Tanzania does not have a strong reading culture, and books are often expensive and hard to come by. Most Tanzanian literature is orally performed or written in Swahili, and a smaller number of works have been published in English. Major figures in Tanzanian modern literature include Shaaban Robert, Muhammed Said Abdulla, Aniceti Kitereza, Ebrahim Hussein, Abdulrazak Gurnah, and Penina Muhando.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Tanzania yangu nimetumia sana

    Habari ya mwaka mpya 2026🔥 wakuu Binafsi nimesikitika sana kuona jwtz wakiingia barabarani tena kwenye mkesha wa mwaka mpya 2026 huku nilipo. Hii ni sawa na maumivu yanayotukumbusha yaliyotokea siku ya uchaguzi na baada ya uchaguzi. Hivi kweli maisha yanaweza kuwa sawa tena kama tulikotoka.
  2. S

    Usiifananishe Tanzania ya sasa na ilivyokuwa Libya kipindi cha M.M.A.M-GADDAFI lazima niipambanie TANZANIA yangu

    WATANZANIA walio wengi hawajaamka , wapo kwenye giza nene
  3. pambe samanini

    Mavazi yetu

    Inanishangaza kabisa kuona kila kazi ina vazi lake na hutumika mahala pake. Pamoja na kazi nzuri za mavazi ikiwepo kustiri mwili, kupendeza ,kutunza joto, mavazi hayo yakivaliwa hayana uhiari na hutumika kama wenye nayo watakavyo kuyatumia. Daudi havikwa mavazi ya Mfalme ili aweze kuwa askari...
  4. mwenye shamba

    GE2025 Naishauri Serikali na wananchi yafuatayo baada ya uchaguzi kumalizika

    Ndugu watanzania wenzangu, kwanza nitoe pole kwa watanzania wote kwa yale yaliyotokea. Nikiwa kama mtanzania nina haki ya kuishauri serikali yangu na wananchi wenzangu yafuatayo. (Neno langu sio sheria na siwezi kuwa sahihi kwa yote) 1. Serikali na chama cha mapinduzi (CCM) wajitafakari kwa...
  5. Zombi Mweusi

    Tanzania yangu chini ya mkoloni CCM

    Naishi Tanzania, lakini sihisi huru. Chini ya utawala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), najiona kama mtumwa katika nchi yangu mwenyewe. Uhuru tuliourithi kutoka kwa kina Nyerere umebaki historia, kwani viongozi wa sasa wameugeuza kuwa fursa ya kujinufaisha wao na familia zao, huku mwananchi wa...
  6. Crocodiletooth

    Kenya inaangamia kipuuzi kabisa

    Nimeitoa huko kwa mdadisi na aliyekuwa mshiriki wa ujenzi wa katiba ya kenya, :::::::::::::::::::::::::::::: KENYA INATEKETEA KISA KATIBA MPYA: NI FURSA NA SOMO KWA TANZANIA Ni dhahiri polisi wa kawaida wamezidiwa. Sasa jeshi limelazimika kuingia kupambana na wanaojiita GenZ. Bahati...
  7. S

    Tanzania yangu ninayo iwaza akilini mwangu

    Tanzania nchi yangu. Nimekuwa kwako toka nimezaliwa mpaka Sasa Nina wajukuu. Mengi nimejionea na kila uchaguzi mengi nayaona. Mazuri yapo na mabaya pia Ila siku zote tumeweza kuvumiliana bila kuvunjiana adabu wala miiko. Natamani iwepo kamati itakayo simamia malengo ya nchi ya muda mrefu...
  8. F

    Maajabu ya Tanzania yangu

    Wanajamvi habari zenu, Hii nchi ukitafakari sana inashangaza mno. Nimekaa nawaza hapa,Taasisi za serikali zikitangaza ajira bado walioko serikarini wanaomba pia,Maajabu zaidi ni pale mtu aliye na kazi serikarini anaomba tena serikarini na anapata ila yule asiye na kazi akiomba hapati. Juzi...
Back
Top Bottom