tanzania ya samia

The President of the United Republic of Tanzania (Swahili: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) is the head of state and head of government of Tanzania.
Samia Suluhu Hassan, sworn in on 19 March 2021, is the first female president of the United Republic of Tanzania. She succeeded John Magufuli following his death on 17 March 2021.

View More On Wikipedia.org
  1. Mshana Jr

    ‘Tanzania ya Samia’ - Nani yupo nyuma ya ujinga huu?

    Ni nani engineer wa huu ujinga? Zile Billion 2 hii ndio kazi yake? https://www.facebook.com/share/v/14bYdCSajNd/
  2. Damaso

    Tanzania ya Samia: Documentary Yaleta Mzozo

    Kesho, Agosti 27, macho ya Watanzania yatageukia ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, ambako kutafanyika uzinduzi wa “documentary” maalum iitwayo Tanzania ya Samia. Kazi ambayo imetangazwa rasmi na mtangazaji wa Clouds FM, Meena Ally, ambaye pia ni miongoni mwa waliopata nafasi ya...
  3. A

    Tanzania ya Samia hadi 2035 tutafika mbali

    Mh Rais umguse katika nyanja ipi hajatia mkoono wake wa maendeleo,yajayo yanafurahisha Sisemi kuwa ataweka mradi Fulani ila anaenda kuboresha,ameweka mkono katika Kila nyanja ya maisha watanzania wanaahidi kumpa ushindi wa kishindo Ili akamilishe utiririshaji wa oxygen ya maisha bora katika...
  4. Waufukweni

    PreGE2025 Idris Sultan kuja na documentary ya 'Tanzania ya Samia'

    Msanii wa Filamu na Mwanamitindo Maarufu Nchini Tanzania ametangaza ujio wa Tamasha la Rangi Zinaongea litakalo fanyika Tarehe 23/05/2025 katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ikiwa ni pamoja na kuionesha nembo ya Tanzania nje ya mipaka ya Tanzania ambapo itakuwa ni pamoja na...
Back
Top Bottom