tanzania na marekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaendelea kuimarisha urafiki na Marekani

    π—§π—”π—‘π—­π—”π—‘π—œπ—” π—¬π—”π—˜π—‘π——π—˜π—Ÿπ—˜π—” π—žπ—¨π—œπ— π—”π—₯π—œπ—¦π—›π—” 𝗨π—₯π—”π—™π—œπ—žπ—œ 𝗑𝗔 𝗠𝗔π—₯π—˜π—žπ—”π—‘π—œ Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo, amesema Tanzania itaendelea kuimarisha urafiki na Marekani kwa kuweka mazingira rafiki kwa raia, wafanyabiashara na wawekezaji kutoka nchini humo...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani zimeendelea kusisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wa kimkakati katika sekta mbalimbali zikiwemo madini adimu, nishati

    Tanzania na Marekani zimeendelea kusisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wa kimkakati katika sekta mbalimbali zikiwemo madini adimu, nishati, afya, uwekezaji na maendeleo ya kiuchumi, pamoja na dhamira ya kuendeleza mazungumzo na ushirikiano wa kitaalamu kwa manufaa ya nchi hizo mbili...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani zaahidi kuendeleza ushirikiano katika nishati, afya na uwekezaji

    Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam Tanzania na Marekani zimeendelea kusisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wa kimkakati katika sekta mbalimbali zikiwemo madini adimu, nishati, afya, uwekezaji na maendeleo ya kiuchumi, pamoja na dhamira ya kuendeleza mazungumzo na ushirikiano wa kitaalamu...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani zaazimia kuimarisha ushirikiano wa kimkakati

    TANZANIA NA MAREKANI ZAAZIMIA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIMKAKATI Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Rhimo Nyansaho pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo wamefanya mazungumzo na ujumbe maalum wa Wajumbe 11...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania yaiomba Marekani kuiondolea vikwazo vya Viza

    Serikali ya Tanzania imeiomba Marekani kuondoa vikwazo vya viza kwa Watanzania wanaosafiri kwenda nchini humo, pamoja na vikwazo vingine vya kiuchumi na kiusafiri vilivyowekwa dhidi ya Tanzania, ili kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na wananchi wa nchi hizo mbili. Ombi hilo limewasilishwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mbona Stori ya Tanzania kupewa Bilioni 2.6 na Marekani imeripotiwa sana. Kuna nini?

    Wakuu, Sasa hivi ukiingia kwenye kila online media habari ni moja tu, Tanzania imepewa msaada na Marekani Nakumbuka kipindi kile kipindi Seneti ya Marekani inajadili vikwazo vya Tanzania kwa Marekani media karibu zote za Bongo zilikuwa kimya including huyo anayejiita Miillard lakini leo...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani wasaini makubaliano ya bilioni 3.1 katika sekta ya Afya

    KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!! Nchi yetu imesaini makubaliano muhimu ya sekta ya Afya yenye thamani ya bilioni 3.1. Hili sio jambo dogo hususani ukiangazia mwenendo wa ufadhili wa USA kwa Tanzania kwenye sekta ya Afya. Vile vile hili ni pigo kubwa kwa wapinzani wapinga maendeleo ambao...
  8. JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Hakuna taifa Afrika lenye makubaliano mazuri baina ya serikali ya Afrika na Marekani kama makubaliano haya tuliyosaini

    Akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini ya hati ya ushirikiano kati ya Tanzania na Marekani kwenye Sekta ya Afya iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam, Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amesema kuwa hakuna taifa Afrika lina makubaliano yenye tija kama Tanzania na Marekani Soma Pia...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ateta na Bi. Hooker wa Wizara ya Mambo ya Nje Marekani

    WAZIRI KOMBO ATETA NA BI. HOOKER WA WIZARA YA MAMBO YA NJE MAREKANI. Tanzania na Marekani zimeonyesha dhamira ya kuendeleza uhusiano wa kidiplomasia baada ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), kukutana na Afisa Mkuu wa Masuala ya Kisiasa...
  10. JamiiForums Tanzania DAR: Tanzania Na Marekani Kuimarisha ushirikiano katika sekta ya Afya

    Serikali ya Marekani na Tanzania kuimarisha ushirikiano katika sekta ya Afya Tanzania na Marekani mambo safi Dar es Salaam, 14 May 2026 The Minister of Health, Hon. Mohamed Mchengerwa, today met with ChargΓ© d’Affaires of the United States Embassy in Tanzania, Andrew Lentz, to discuss a new...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Makonda: Hawajawahi kuona vita kati ya Tanzania na Marekani ila wanasema Marekani ina jeshi imara

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Christian Makonda katika kuhamasisha utengenezaji wa filamu zinazoitangaza Tanzania.
  12. JamiiForums Tanzania Jeshi la Tanzania na Marekani Wasaini Makubaliano ya Ushirika wa Kijeshi

    Makubaliano hayo yatajikita katika, Kukabiliana na majanga na kutoa msaada wa kibinadamu ni sehemu muhimu ya kudumisha usalama wa kitaifa na wa kimataifa. Leo, Ubalozi wa Marekani uliwasilisha mahema tisa ya dharura kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania ili kuimarisha uwezo wa Tanzania wa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Kombo aendelea kukutana na Viongozi na wadau mbalimbali kuimarisha uhusiano wa Tanzania na Marekani

    Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ameendelea kufanya mikutano na Viongozi na wadau mbalimbali muhimu katika kukuza na kuimarisha uhusiano baina ya Tanzania na Marekani. Miongoni mwa Viongozi hao ni Mhe. Dkt. Ronny L. Jackson, Mwanachama...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi ambazo wananchi wake wamewekewa zuio la kuingia Marekani

    Tanzania imejumuishwa kwenye orodha ya nchi 15 mpya zinazokabiliwa na vikwazo vya kusafiri kwenda Marekani chini ya utawala wa Rais Donald Trump. Hatua hiyo inaifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi za Afrika na visiwa vya Karibiani zilizotajwa kuwekewa masharti mapya ya usafiri. Kwa mujibu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani wakaribia kukamilisha makubaliano makubwa ya uwekezaji

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo amefanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Andrew Lentz, Ikulu ya Chamwino, kuhusu kuendeleza maeneo muhimu ya ushirikiano wa pande mbili na kuthibitisha dhamira ya pamoja ya ushirikiano wa...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani Zaahidi Kuimarisha Ushirikiano wa Kisekta

    Tanzania na Marekani Zaahidi Kuimarisha Ushirikiano wa Kisekta Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Samwel Shelukindo, alikutana na kufanya mazungumzo na Bw. Andrew Lentz, Kaimu Balozi wa Ubalozi wa Marekani hapa nchini. Mazungumzo hayo, yaliyofanyika...
  17. JamiiForums Tanzania Picha: Nimeandaa barua kuiomba Marekani kuiruhusu Tanzania tuwe 51st state na jimbo jipya la nchi hiyo! Naombeni maboresho

    Wakuu, Najua kuna wajamaa na pro socialist wengu humu lakini naombeni mnisikilize kwanza. Kutokana na mambo yanayoendelea nchini, naona kama tumeshindwa kujiongoza. Watu wanatekwa, Ufisadi umekithiri na maendeleo yanayoletwa na chama fulani yako kwa spidi ya 2G. Nadhani ni muda sahihi kwa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania JWTZ inatarajia kufanya mazoezi mawili ya kijeshi hivyo imewataka wananchi kutokuwa na hofu

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema kuwa linaendelea na Maandalizi ya Mazoezi mawili ya Kijeshi yatakayofanyika hapa nchini ambapo Wananchi wametaarifiwa kutokuwa na taharuki kwa kuwa katika Mazoezi hayo kutakuwa na ongezeko la matumizi ya Ndege Vita na Meli Vita. Taarifa ya...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Tanzania lazima ijiimarishe Kiuchumi ili kuepuka utegemezi kutoka mataifa mengine duniani

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema ni muhimu kwa Tanzania kuzingatia Sera za nje na kuimarisha mahusiano mazuri na mataifa mengine huku ikijikita zaidi katika kujitegemea kiuchumi. Majaliwa ametoa kauli hiyo Bungeni Jijini Dodoma leo February 06,2025 wakati akijibu swali la Mbunge wa Mbozi...
  20. JamiiForums Tanzania Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili kupitiwa upya. Tanzania nayo kuathirika

    Wakuu, Utawala mpya wa Rais wa Marekani Donald Trump umesitisha na kuzuia misaada ya kimarekani kwa nchi za kigeni. Marco Rubio ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ameripotiwa kutuma barua kwenye balozi zote duniani kusitisha miradi ya maendeleo ambayo inafadhiliwa na Marekani ndani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…