The vice-president of Tanzania holds the second-highest political office in the United Republic of Tanzania. The vice president runs on a single ticket with the President of Tanzania, and ranks first in the presidential line of succession.
Per Article 37 of the Constitution of Tanzania, if the president dies, resigns, is permanently incapacitated, or is disqualified, the vice-president ascends to the presidency for the balance of the term. Under Article 40, a vice-president who ascends to the presidency in this manner is eligible to run for two full terms in their own right if there are fewer than three years remaining in the five-year term. If the vice-president ascends with more than three years remaining, they are only eligible for one full term.
For example, when Samia Suluhu Hassan became the first vice-president to directly ascend to the presidency, she did so only one year after being reelected as the running mate of her predecessor, John Magufuli. While she would be eligible to run for a full term in 2025, if she won she would have to leave office in 2030.
Hivi karibuni, mchambuzi wa masuala ya kibiashara na mikakati ya uwekezaji Vusi Thembekwayo ametoa uchambuzi mzito kuhusu hali ya Tanzania baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025. Vusi, ambaye amekuwa akizuru Dar es Salaam kwa zaidi ya muongo mmoja, anasema kile alichokishuhudia safari hii kimemshtua...
Rasilimali zijawahi kusaidia watu nchi hii na kumbuka china mwaka 1960 ilikuwa GDP ambayo tanzania imefikia kipindi cha 2020.
========================
Hapa ni kulinganisha Pato la Taifa (GDP) la Tanzania na China kwa kipindi cha miaka mingi.
Pato la Taifa la China (1960-2025):
1. 1960: $59.72...
Tanzania inakadiriwa kuwa na watu 1,700,000 wanaoishi na virusi vya Ukimwi.
Amesema kati yao, zaidi ya watu 1,500,000 wako kwenye huduma za matibabu na matunzo.
Dkt. Sumba amesema hayo katika mahojiano kwenye Kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC1 leo Desemba Mosi 2025, siku ambayo pia ni Siku...
Siri Kali Chumbani Mwangu
Serikali iko ndani mwangu,
Inapanga jinsi ya kulea wana wangu,
Vijiko vya sukari jikoni kwangu,
Hata aina ya fikra za mke wangu.
Sera kali zote dhidi yangu,
Hakuna tena faragha ya kuwa mtu wangu.
Uhuru sasa si wangu,
Bali kauli mbiu moja,
Hakuna kosa dhidi ya...
PRELIMINARY STATEMENT ON THE 29 OCTOBER 2025 GENERAL ELECTIONS IN THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Today, 31st October 2025 – In line with its mission to promote credible, peaceful, free, and fair elections through impartial regional observation and analysis across the East and Horn of Africa...
01 November 2025
Matokeo ya Uchaguzi Tanzania 2025: maRais watuma salaam za pongezi kwa Samia Suluhu Hassan
Orodha ya marais wanaotuma pongezi kwa Samia Hassan :
"Kwa niaba ya Watu, Serikali ya yangu na Mimi mwenyewe nampongeza ndugu yangu, Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ushindi mnono wa...
JE, UKO TAYARI Dokezo!
Kwa kawaida, madikteta mara nyingi huathiriwa na kuungwa mkono na viongozi wenzao wabaya kutoka ndani ya eneo hilo, majirani na baadhi ya wageni ambao wanaweza kulazimika kulinda uporaji, maslahi au faida.
Hawajali wananchi, watafanya kila aina ya uonevu dhidi ya wazawa...
Kampeni nchini Tanzania kinaendelea, Wagombea wote wananasi sera,
Sie wakina no reform no election kiongozi wetu yupo magerezani ananyea ndio.
Swali langu la msingi uchaguzi wetu wa MWAKA huu wagombea ni masingo maza na masingo Dady?
Sijaona mume au mke aliyembatana na mwenza hapo hata kwa...
Je, Unahitaji YAS 4G au 5G UNLIMITED Router?
Kwa ajili ya Ofisi au Nyumbani kwako?
Karibu sana tukuhudumie Leo,
📢 YAS 4G+ Pocket Mi-Fi @ 120,000/=
✔️ Kifaa / Pocket ni Tsh. 50,000/=
✔️ Unlimited Mwezi 1 ni Tsh. @ 70,000/=
✔️ Battery (Masaa 6)
✔️ Malipo/Mwezi: 70,000 (10Mbps)
✔️ Vifaa 10...
Unaingiaje kwenye uchaguzi Mkuu wakati huo Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ambaye ndo mpinzani wako mkuu yupo mahabusu, na kama haitoshi, chama kimefutiwa Ruzuku yake, kimezuiliwa kufanya shughuli zake za kisiasa, kimebanwa kila kona.
Katika mazingira hayo, hapo kuna uchaguzi gani...
ANGALIZO: Kura hizi ni Huru na hazihusishi Mchakato wa Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 nchini Tanzania.
Hivyo Wagombea wanaowekwa hapa wengine hawajatangaza nia wazi kuwa watashiriki na wengine wapo katika mchakato. Wewe kama mchangiaji huru piga Kura yako kuchagua Rais unayemtaka.
Ndugu zangu Watanzania,
Hii hapa Hati ya Kuvunjwa Rasmi kwa Bunge la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Mwaka 2025 Ili Kuruhusu Kufanyika kwa uchaguzi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (INEC) imejikuta katikati ya mjadala baada ya kutangaza kuwa idadi ya wapiga kura katika daftari la kudumu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 imefikia milioni 37.6.
Takwimu hizi zimezua maswali mazito kutoka kwa baadhi ya wanasiasa na wanaharakati...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) nchini Tanzania imetangaza kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, utakaohusisha nafasi ya Rais, wabunge na madiwani, utafanyika siku ya Jumatano, tarehe 29 Oktoba 2025.
Akizungumza katika uzinduzi wa ratiba ya uchaguzi huo jijini Dodoma leo, Mwenyekiti wa INEC...
Katika taifa linalohitaji mabadiliko yoyote, vyama vya siasa vikiwepo vya upinzani huwa na nafasi ya kipekee. Nchini Tanzania vyama vya upinzani ambavyo vilitarajiwa kuwa chachu ya mageuzi sasa vinaonekana kugawanyika kuliko wakati wowote ule.
Badala ya mijadala ya sera na hoja mbadala dhidi ya...
Mbio za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 zinazidi kushika kasi. Ni uchaguzi ambao Watanzania watamchagua rais wa Jamhuri ya Muugano, wabunge, madiwani na upande wa Zanzibar, watachagua rais, wawakilishi na nafasi sawa na za Tanzania bara.
Huu ni uchaguzi wa saba tangu kurudi kwa mfumo wa...
Tanzania imepiga hatua kubwa sana kwenye digital payments. Kuna makampuni mengi sasa yanatoa huduma za malipo ya kidigitali, API integration, na hata disbursement kwa makampuni na wajasiriamali wadogo.
Baadhi ya makampuni yaliyopo sasa ni:
ClickPesa
Celcom Pay
Pesapal
DPO
AzamPay
Zenopay...
Ufunuo wa Rohoni (Tazama kwa Macho ya Kiroho):
Nilipouliza rohoni, ikaja picha ifuatayo:
"Ninaona mti mkubwa wa kijani wenye mizizi nene katikati ya nchi, juu yake kuna mama aliyeshika taa, nyuma yake kuna upepo mkali wa manyunyu ya mvua, lakini taa yake haizimiki. Pembeni, kuna kundi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.