tanu

The Tanganyika African National Union (TANU) was the principal political party in the struggle for sovereignty in the East African state of Tanganyika (now Tanzania). The party was formed from the Tanganyika African Association by Julius Nyerere in July 1954 when he was teaching at St. Francis' College (which is now known as Pugu High School). From 1964 the party was called Tanzania African National Union. In January 1977 the TANU merged with the ruling party in Zanzibar, the Afro-Shirazi Party (ASP) to form the current Revolutionary State Party or Chama Cha Mapinduzi (CCM). The policy of TANU was to build and maintain a socialist state aiming towards economic self-sufficiency and to eradicate corruption and exploitation, with the major means of production and exchange under the control of the peasants and workers (Ujamaa-Essays on Socialism; "The Arusha Declaration").
Julius Nyerere was the first President of Tanzania, serving from the 1960s to 1985. In 1962, Nyerere and TANU created the Ministry of National Culture and Youth. Nyerere felt the creation of the ministry was necessary in order to deal with some of the challenges and contradictions of building a nation-state and a national culture after 70 years of colonialism. The government of Tanzania sought to create an innovative public space where Tanzanian popular culture could develop and flourish. By incorporating the varied traditions and customs of all peoples of Tanzania, Nyerere hoped to promote a sense of pride, thus creating a national culture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania Nchi Iliyosahau Mashujaa Wake: Kumbukumbu ya TANU na Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/ZgzpXeu9eRY?si=HgH6XfcePFIMrxuI
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wanachopitia Chadema hakina tofauti na Mkoloni alivyowahi kuiminya Tanu kiuchumi mpaka timu ya Tanu (Yanga) ikawa inacheza mgongo wazi kwa kukosa jezi

    Katika historia ya harakati za ukombozi wa Tanganyika, kabla ya TANU kupewa mamlaka ya kuongoza nchi na baadaye kubadilika kuwa CCM, chama hicho kilikuwa kinapigania ukombozi dhidi ya wakoloni weupe. utawala wa kikoloni ulitafsiri harakati hizo kama tishio kwa utulivu wa kisiasa na hivyo kuweka...
  3. JamiiForums Tanzania Huwezi Kukwepa Historia Hii na Ukabakia na Historia ya TANU

    Wajenzi Halisi" wa Tanganyika "Harakati hizi za kudai uhuru zimeanza Dar es Salaam Kariakoo Gerezani... na walioanzisha hizi harakati ni wazee wangu." "Mbona hizi historia zimepishana hivi?" (Swali la kijana aliyesoma historia shuleni dhidi ya maelezo ya Mohammed Said). "Mbona mnaweka historia...
  4. JamiiForums Tanzania Historia ya TANU Ilifichwa?

    Mohamed Said anahoji inakuwaje historia ya chama kikubwa kama TANU, kilichoongozwa na Mwalimu Julius Nyerere, imepotea kiasi kwamba waasisi wake hawafahamiki wala kazi zao hazijulikani. Anasema kuwa kusoma historia ya TANU haitoi msisimko kama ule unaopatikana unaposoma historia za harakati za...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA hii ya sasa inakubalika kuliko hata TANU ya mwl Nyerere iliyopigankia uhuru wa bendera. Sasa hivi watu wanataka ukombozi

    TANU haikuchangiwa kama inavyochangiwa Chadema hii ya Leo. Chadema ya leo imepata vizingiti vya kila aina. Kuwekwa ndani, kubambikiwa kesi za uhaini na kupowa mali zao. Tanu ilichangiwa na matajiri wachache ambao wlikuja kugawiwa magorofa yaliyopo Kariakoo kama shukrani na Mwalimu Nyerere...
  6. JamiiForums Tanzania Mkasa wa Joseph Kasella Bantu na Picha ya Waasisi wa TANU

    Miongo minne iliyopita... Hiyo makala "Now You See Him Now You Don't," yenye jina True Muslim huyo ni Mohamed Said. Baada ya makala hii sikuficha tena jina langu. Hii makala Ally Sykes aliisoma na ilimgusa sana moyo wake. Nilikuwa nimemueleza mwanae mmoja kuwa nimeandika makala hiyo na yeye...
  7. JamiiForums Tanzania "Now You See Him Now You Don't": Mkasa wa Picha ya Waasisi wa TANU 1954

    NOW YOU SEE HIM NOW YOU DON'T: MKASA WA PICHA YA WAASISI WA TANU 1954 Miongo minne iliyopita... Hiyo makala "Now You See Him Now You Don't," yenye jina True Muslim huyo ni Mohamed Said. Baada ya makala hii sikuficha tena jina langu. Hii makala Ally Sykes aliisoma na ilimgusa sana moyo wake...
  8. JamiiForums Tanzania TANU na tarehe ya Sabasaba Mwaka wa 1954

    Je, unajua kuwa tarehe 7 Julai 1954 (Saba Saba) haikuwa siku ya kawaida katika historia ya Tanzania? Miaka 72 iliyopita, ndani ya chumba kidogo cha mtaa wa New Street (sasa Lumumba Street), Dar es Salaam, kundi la wazalendo, wasomi na viongozi wa harakati za uhuru walifanya mkutano ambao...
  9. JamiiForums Tanzania Wassira: Lukuvi alijiunga TANU 1954

    Inakuwaje mtu aliezaliwa 1955 ajiunge na TANU 1954. Kwamba alianza siasa akiwa tumboni mwa mama yake? Ukute Wasira hata hajui anamuongelea nani hapo. CCM wampumzishe huyu mzee kabla hajajidhalilisha zaidi. Inatosha sasa.
  10. JamiiForums Tanzania Channel Ten Maktaba: Historia ya African Association 1929, TANU 1954 hadi CCM 1977

    https://youtu.be/ewcNFGSVWAw?si=DKrusLtx0EUpYPa5
  11. JamiiForums Tanzania Chokochoko zilianza halmashauri kuu ya TANU 1963

    https://youtu.be/Vb7IeyvxrtE
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Sita walivyotimuliwa TANU kwa kupinga uchaguzi wa chama hicho. Kumbe haya mambo kitambo sana

    Gazeti la Mwafrika mwaka 1958, Oktoba 11 liliandika "WAMEFUKUZWA KATIKA TANU NA MKUTANO MKUU WA MWAKA" Gazeti hilo liliandika Mkutano mkuu wa TANU umemfukuza katika chama Sh. Sulemani Takadiri wa Dar es Salaam, ambaye alijaribu kuingiza chuki ya dini katika siasa siku chache zilizopita...
  13. JamiiForums Tanzania CCM ni matokeo ya muungano wa hiyari na wa kizalendo baina ya vyama vya upinzani nchini

    Uimara na umadhubuti wa CCM ya leo, ni matokeo ya muungano wa vyama vya siasa vya upinzani nchini, vya ASP na TANU. Hii ikimaanisha , katika siasa za Tanzania, hakuna namna upinzani ulioparaganyika kama ulivyo sasa, kuutikisa umadhubuti wa upinzani uliounganika vizuri sana na kuzaa CCM. Ni...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Shujaa Aliyeibeba TANU, Akasalitiwa na Taifa

    BIBI TITI MOHAMMED SALUM MANDANGWA Shujaa Aliyeibeba TANU, Akasalitiwa na Taifa Na MALEKOGJ “Wanawake amkeni! Tokeni majumbani tupambane pamoja na wanaume mpaka uhuru upatikane... Msiogope!” — Bibi Titi Mohammed, Mnazi Mmoja, 1957 Wengi wanamkumbuka Mwalimu Julius Nyerere kama baba wa Taifa...
  15. JamiiForums Tanzania TANU na ASP vilikutana na vikwazo kama hivi kutoka kwa wakoloni

    Wakoloni walivizuia vyama vya TANU na ASP kushinda chaguzi kwa mbinu kama hizi zinazotumika sasa hivi kuzuia vyama vingine kushinda chaguzi. Kila mtu anajua na anaona kama uwanja wa uchaguzi hauko sawa kwa vyama vyote. Uwanja haukuwa sawa waziwazi wakati wa akina Nyerere na Karume wakidai Uhuru...
  16. JamiiForums Tanzania Kama mlikuwa hamjui: CCM imeliongoza hili Taifa kwa uongo tangu ikiwa TANU hadi sasa.

    Ni vile tu Watanzania wengi ni wajinga na sio wasomaji sana wa vitabu na wafuatiliaji wa masuala ya nchi yao. Mlioshtuka leo kuhusu habari ya Tanzania kununua umeme nje kwa ajili ya matumizi ya mikoa ya Kaskazini wakati Serikali imekuwa ikijisifu kuzalisha umeme kuzidi matumizi yetu nawashangaa...
  17. JamiiForums Tanzania Siku ya Wanawake Duniani: Haiba ya Wanawake wa Mwanzo Kuingia TANU

    Hizo picha mbili hapo chini zote zimepigwa siku za mwanzo kabisa za kuundwa kwa TANU na kuanza kwa harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika. Nimechagua picha hizi mbili ili kuonyesha haiba ya wanawake wapigania uhuru wa Tanganyika. Wanasema picha inazungumza maneno 1000 na pia jicho la camera...
  18. JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Yanga na TANU Katika Kupigania Uhuru wa Tanganyika Sehemu ya Kwanza

    https://youtu.be/7-aawj-gB-8?si=MdmVCSuiHMShsedm
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya Nyerere kuighafirisha TANU mwaka 1967, Inawezekana Tanzania ikapata zawadi ya chama makini zaidi baada ya uchaguzi wa CHADEMA

    Historians wanalijua hili. The glory of Tanzania ilikuwa kabla ya mwaka 1967 ambapo kwa mara ya kwanza nchi yetu ilipata chama makini chenye watu Makini kilichojulikana kwa jina TANU. Kwa ukanda huu wa Afrika hakukuwa na chama makini kama TANU chini ya Mwenyekiti Julius Kambarage Nyerere na...
  20. JamiiForums Tanzania Ndio Lissu ni mbangaizaji. Lakini Mwalimu Nyerere aliwezaje kuiongoza TANU akiwa sio tajiri?

    Kuna hoja inatumiwa sana na machawa wa Mbowe kuwa Lissu hawezi kuingoza chadema kwa kuwa ni kapuku na mbangaizaji. Lakini tumeona viongozi kama Nyerere wakiongoza chama kwa mafanikio bila kuwa matajiri. Lissu atashindwa nini? Maalim Seif hakuwa millionea kama Mbowe lakini aliipa nguvu cuf na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…