tanganyika packers

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DOKEZO Kuna dalili 'Vigogo' wanajigawia bila kufuata taratibu eneo la Tanganyika Packers kipande cha ufukwe wa bahari

    Nawasilisha hoja yangu ambayo nimekuwa nikitafuta muda wa kuileta hapa jukwaani kama dokezo, ili kama mamlaka zitakuwa na uwajibikaji, vifuatilie hususan idara yetu na TAKUKURU. Kama tunavyofahamu, eneo la Tanganyika Packers lililopo Kawe, Dar es Salaam, kwa sasa linamilikiwa na Serikali ya...
  2. Kampeni uchaguzi mkuu 2025 zimeanza rasmi, kituo cha kwanza ni Tanganyika packers Dar es salaam.

    https://vm.tiktok.com/ZMA2nTFKR/
  3. Hata kama ni mwananchi kuna vitu vinaumiza sana yani pale Tanganyika packers kugeuzwa kanisa ndio tuseme hayo ni maendeleo

    Sijui ule mwenge unaopitishwa unakuwa na madawa kwa tanzania.Hivi lile eneo kwa haraka haraka silengekuwa hata chuo ili kuongeza elimu.Leo limekuwa kiwanda cha miujiza na sadaka za upako. Kuna mda uwa najilaumu kwa nini nilizaliwa TZ.
  4. Kwa hiyo eneo la Tanganyika Packers kamilikishwa rasmi Mwamposa? Serikali haitaki tena kufufua kiwanda cha nyama?

    Siku ya leo, Rais Samia kazindua rasmi hema (jengo?) la kanisa la Rise and shine (Kanisa la Mwamposa) kwenye viwanja vilivyokuwepo kiwanda cha Tanganyika Packers. Imeelezwa jengo (hema) hilo lina gharama ya zaidi ya bilioni 15. Huenda ndio gharama za juu zaidi kuwahi kutokea hapa Tanzania kwa...
  5. Rais Samia akishiriki Uzinduzi wa Hema la Mwamposa, Julai 5, 2025 Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe

    Rais Samia kushiriki Uzinduzi wa Hema la Mwamposa leo Julai 5, 2025 Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe - Dar es Salaam. https://www.youtube.com/live/NZ57idJKHwQ?si=S2Y-6Mx9OoOrpMT6 Uzinduzi wa kanisa hili umehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kanisa, misikiti na serikali walihudhuria, watu...
  6. PreGE2025 Isihaka Mchinjita: ACT tukichukua nchi Tanganyika Packers Kawe halitokuwa eneo la Mwamposa kuombea watu wapate kazi

    Makamu Mwenyekiti wa ACT - Wazalendo isihaka mchinjita anasema iwapo watashinda kiti cha Urais, jambo la kwanza hawataligeuza Eneo la Tanganyika Packers Kawe kuwa eneo la Mtume Mwamposa kuombea watu wapate kazi bali watarejesha viwanda vilivyokufa na kutengeneza vipya ili watu wengi zaidi wapate...
  7. PreGE2025 Kabudi: Mwaka 2026 Serikali itajenga Arena kubwa hapa Tanganyika Packers

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amesema serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu mwaka 2026 itajenga Arena kubwa kwaajili ya matamasha ya wasanii wa muziki na filamu. Pofesa Kabudi ametoa kauli katika tamasha la Samia Serengeti Festival...
  8. Tanganyika Packers: Eneo la Umma, palipokuwa Kiwanda kilichotoa ajira zaidi 2000, sasa pana Kanisa! Watu wanauziwa udongo, mafuta na maji

    Kuna mdau yeyote mwenye taarifa na eneo hili pale kawe(263 acres) na nini mustakabali wake? Inaonekana wanasiasa na viongozi wa dini wamejimilikisha. Nini hatma ya mashine zilizokuwemo? Zilienda wapi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…