tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. N

    Tuzo ya DOWANS kwa TANESCO ni utapeli kama Richmond ilivyokuwa; Hakukuwa na hukumu ICC!

    Imenibidi nilete changamoto hii kwa jukwaa la jamii forum ili ifanyiwe kazi haraka iwezekanavyo maana sisi kama watanzania tunaweza tukawa tumeingizwa mkenge uleule kama yalivyotokea mambo ya Richmund kwamba kampuni iligundulika feki kwa kujifanya mambo yao yamefanyika USA na kwingineko ulaya...
  2. Mkataba wa Songas na TANESCO bora uvunjwe, hauna maslahi kwa Taifa!

    Mradi wa gesi ya Songo-songo unajulikana zaidi kama “Songas” - ambao unamilikiwa na kuendeshwa na kampuni ijulikanayo kama Pan African ni wa kijinga na hauna maslahi yoyote kwa mtanzania kwanini mradi huu ni wizi mtumpu! Kwanza Tanzania haina mamlaka yoyote ya kibiashara katika mrado huo. Eti...
  3. TANESCO yashitukia mkataba wa Songas

    Tuesday, 24 May 2011 20:08 newsroom NA MOHAMMED ISSA SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema mkataba kati yake na kampuni ya gesi ya Songas una utata na unaweza kulisababishia hasara kubwa. TANESCO imesema mitambo ya Songas haiwezi kuzalisha megawati 160 kwa sasa, kwa kuwa haina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…