tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. Naomba elimu kuhusu masuala ya kodi kwenye kununua na kuuza umeme

    Hivi nikinunua umeme natozwa VAT 18% je, Tanesco naye anawajibika kulipa TRA 18% ya umeme wote alio tuuzia sisi wananchi, kama ndio kwanini VAT inalipwa mara mbili kwa serikali kati ya watu 2 wanao fanyiana biashara. Je, hii sio double taxation? Au mimi nikilipa VAT kwenye umeme na ndio hiyo...
  2. KERO Responded Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya

    Kwa sasa makato ya kodi unaponunua LUKU yameongezeka kutoka TZS 1,000 mpaka TZS 2,000. Tunaomba maelezo kwanini gharama hizi zineongezeka? Kuna sababu gani ya kuendelea kufanya maisha ya watanzania kuwa magumu ili hali mabwawa ya umeme yaliyotumia matrilioni ya kodi za wananchi...
  3. I

    Dismas Massawe, Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi-ETDCO: Miundombinu duni vijijini inachangia baadhi ya Miradi kutokamilika kwa wakati

    Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Felchesmi Mramba ametoa wito kwa Kampuni ya ETDCO ambayo ni kampuni tanzu ya Tanesco kuongeza ubunifu zaidi katika utekelezaji wa majukumu yao ikiwemo kutumia vifaa vyenye teknolojia bora vinavyoenda na Dunia ya sasa. "ETDCO mnaendelea vyema na jitihada za...
  4. A

    KERO TANESCO kuna shida gani mpaka niambiwe nina deni la Tsh 18,000 kwa mita iliyofungwa Septemba 2023?

    Nimejaribu kununua umeme Leo wa TSH 5000 naambiwa nadaiwa deni kubwa kuzidi hiyo pesa siwezi pewa tokeni Na mwezi uliopita nimenunua wamekata pesa yao ya jengo 1500. Nimepiga huduma kwa wateja naambiwa nadaiwa deni la MIEZI 12 sawa na Tsh. 18,000 hivyo ni nunue wa elfu 20. Mita yenyewe haina...
  5. KERO Nimepiga simu Tanesco kuhusu makato kodi ya Jengo, hata wenyewe hawajui kwanini wamenikata. Huu wizi!

    Nimepiga simu Tanesco, wamesema mita yangu ilikuwa inadaiwa 18,000 kwa mwaka wa fedha ulioisha(2023/24) hivyo wamekata pesa hiyo niliponunua umeme leo. Nikawauliza mbona wamekuwa wakinikata kila mwezi, hili deni wanalosema sijalipa mwaka mzima limetokea wapi? Majibu(TANESCO ): Hizi taarifa...
  6. TANESCO imeshindwa kupata suluhu ya tatizo la umeme kukatika ovyo?

    πš‰πšŠπš’πšπš’ 𝚒𝚊 πš–πš’πšŠπš” 60 𝚒𝚊 πš„πš‘πšžπš›πšž 𝚠𝚊 πšƒπšŠπš—πšπšŠπš—πš’πš’πš”πšŠ πš‹πšŠπšπš˜ πš”πšžπš—πšŠ πšŒπš‘πšŠπš—πšπšŠπš–πš˜πšπš˜ 𝚒𝚊 πš—πš’πšœπš‘πšŠπšπš’ 𝚒𝚊 πšžπš–πšŽπš–πšŽ πš”πšŠπšπš’πš”πšŠ πš—πšŒπš‘πš’ 𝚒𝚎𝚝𝚞. π™ΉπšŽ, πš‚πš‘πš’πš›πš’πš”πšŠ πš—πšŠ πš πš’πš£πšŠπš›πšŠ πš‘πšžπšœπš’πš”πšŠ πš πšŠπš–πšŽπšœπš‘πš’πš—πšπš πšŠ πš”πšžπš™πšŠπšπšŠ πš–πš πšŠπš›πš˜πš‹πšŠπš’πš—πš’ πš”πšŠπšπš’πš”πšŠ πš‘πš’πš•πš’?
  7. TANESCO: Hakuna kodi iliyoongezeka kwenye Majengo, pesa iliyokatwa ni deni la Julai 2023

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuhoji kuhusu makato ya Tsh. 2,000 kwenye LUKU, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema hakuna ongezeko la Kodi ya Majengo isipokuwa pesa hizo zimekatwa kufidia madeni yaliyotakiwa kulipwa 2023/24. Pia Soma: -
  8. Magufuli aliondoa 'Service Charge' Tanesco ya 7,000 lakini Serikali ya sasa inazirudisha tozo kidogokidogo kupitia mfumo wa Luku

    Watu wengi wanaweza kuwa wamesahau, wakati Serikali ya awamu ya tano inaingia madarakani ilikuta shirika la umeme nchini(TANESCO) wanakata 7000 kila mwezi kama gharama ya kuhudumia laini. Ilikuwa pesa flani ya mtelezo kwa Serikali na shirika la umeme, 7000 ukizidisha na wateja wote wa kawaida...
  9. Tanesco kodi ya jengo imepanda?

    Wanajamvi leo nimenunua umeme wa 25,000/= na makato yalikuwa kama ifuatavyo: MAKATO 1. VAT 2,803 2. EWURA (1%) 155.74 3. REA (3%) 467.21 4. DEBT COLLECTED 6000 TOTAL 9,426 BALANCE FROM MY 25,000 = 15,574 Sasa hii 6000/= ni ile kodi ya majengo imepanda?
  10. Mikoa 15 kukosa umeme Julai 3 na 4 kutokana na umaliziaji njia Umeme wa SGR Msamvu - Dodoma

    NISHATI: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuzimwa kwa huduma katika Njia Kuu ya Kusafirisha Umeme wa Msongo wa Kilovoti 220 kutoka Msamvu hadi Dodoma ili kuruhusu umaliziaji kazi kwenye vituo vya Treni ya Reli ya Kisasa (SGR) vya Msongo wa Kilovoti 220/33 Mikoa itakayoathirika...
  11. L

    TANESCO mmeanza mgawo Arusha?

    Mmekata umeme toka saa mbili asubuhi bila taarifa yoyote hadi muda huu hamjarudisha tuelewe vipi ?Mgao umeanza au?
  12. Tanesco: Katizo la umeme June, 23

  13. S

    Meneja TANESCO, Arumeru hakuna umeme tangu asubuhi

    Tangia saa 2 asubuhi leo huku Halmashauri ya wilaya ya Meru TANESCO wamekata umeme mpaka sahizi. Kwanini umeme ukatwe kwanza bila taarifa? Na mpaka sahizi? Kuna tatizo gani. Kwanini Huu utaratibu usio wa kistaarabu? Huyu meneja wa TANESCO wilaya ya ARUMERU afuatiliwe, kama vipi akae pembeni
  14. Kagera: TANESCO kuokoa kiasi cha Shilingi bilioni 30 kila mwaka baada ya Ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme ya Benaco-Kyaka

    TANESCO KUOKOA BILIONI 30 KILA MWAKA MKOA WA KAGERA UTAKAPOINGIA KWENYE GRIDI YA TAIFA πŸ“Yasaini mkataba na kampuni ya Mhandisi Mshauri ya Shaker na kampuni ya usimamizi miradi ya umeme ya PDC kusimamia ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme Benaco - Kyaka Na Charles Kombe, Dar es Salaam Shirika...
  15. TANESCO wametuzidi akili Watanzania au tumekubali kuburuzwa?

    Miezi kadhaa iliyopita, tulikumbwa na janga kubwa la mgao wa umeme ambalo lilileta usumbufu wa kila aina kwa Watanzania. Watu wakawa 'frustrated' na umeme ukawa ndo story kila kona na mitandao ya kijamii. Mvua ikaanza kunyesha na tararibu kadhia hii ya umeme ikaanza kupungua, na kwa sasa...
  16. W

    Wakazi wa Goba-DSM hatuna Umeme kuanzia jana Usiku. TANESCO kuna tatizo gani?

    Toka jana mida ya Saa 8 usiku hakuna umeme, ukarudi kwenye saa 11 na kukatika tena hadi sasa Ubaya ni kuwa hakuna taarifa yoyote kutoka TANESCO kuhusu changamoto ya iliyosababisha katizo la Umeme Kwanini TANESCO hamtujali wateja wenu? Unakataje Umeme kwa zaidi ya Saa 6 bila kutoa Taarifa? Na...
  17. KERO Kwanini TANESCO hamna utaratibu mzuri wa kurejesha unit za mtu za umeme pale mnapobadili mita?

    Wiki kadhaa zilizopita TANESCO walikuja kwangu kubadili mita (niliwaita kutengeneza kutokana na mita kuwa inajizima yenyewe, walipoitazama wakasema lazima iwekwe mpya) hivyo wakasema watakuja watu wataoweka hiyo mita. Kesho yake mapema wakaja watu wengine kuniwekea mita, wakaangalia umeme...
  18. TANESCO yatangaza maboresho ya Mita za LUKU, soma ujue jinsi ya kuingiza Token upya kuanzia Juni 1, 2024

    MABORESHO YA MITA ZA LUKU KWA WATEJA WA TANESCO KANDA YA ZIWA NA KANDA YA MAGHARIBI Jumatatu, 27 Mei 2024 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa mikoa ya Mwanza, Kagera, Mara, Geita, Simiyu, Tabora, Katavi na Shinyanga kuwa zoezi la maboresho ya mfumo wa LUKU litaanza...
  19. KERO TANESCO mmeanza kukata umeme mchana na kurudisha usiku wa manane

    TANESCO hivi kiangazi ndo kimeanza hata wiki haijapita mmeanza kukata umeme na kusingizia kina cha maji. Tafadhali sana mnatupa hasara, biashara haziendi tuna mikopo ya benki, nyie mpo ofsini mnasubiri mishahara ya serikali sisi hatuna hiyo mishahara tunaitafuta wenyewe na Kodi tunalipa TRA...
  20. TANESCO mnachelewa sana kuleta nguzo kwa tunaohitaji

    Kucheleweshea wateja wa service line wanaohitaji nguzo imekuwa changamoto sana kwetu wateja Sababu kubwa ikiwa ni upungufu wa vifaa. Kweli wasimamizi wa taasisi mmeshindwa kulisimamia hili jambo au shirika limezidiwa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…