Leo sikuwa na ratiba ya kutazama mechi ya Taifa Stars dhidi ya Benin. Ila baada ya kusikia watu wakiwa na hamu na shauku ya kumuona Kibu Denis, nikaona nayo ni fursa ya kuweza kumtazama.
Lengo pia ni kutazama ni kipi ambacho Taifa kama Taifa tumekiona kwa Kibu Denis hata tukafikia hatua ya...