tactic

Tactic (Spanish pronunciation: [taɣˈtik]) is a town and a municipality in the Guatemalan department of Alta Verapaz. It is situated at 1,465 m above sea level. The municipality has a population of 38,052 and covers an area of 102 km². At the 2018 census, the population of the Tactic town was 15,213. The languages spoken in Tactic are predominantly Spanish, Poqomchiʼ, and Q'eqchi'.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI yakagua na kusema imeridhishwa na miradi ya TACTIC jijini Arusha

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI, Florent Kyombo ameipongeza Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa (OWM- TAMISEMI), kwa usimamizi mzuri wa utekelezaji wa miradi ya TACTIC katika Jiji la Arusha, miradi ambayo imeweka kiwango bora cha utekelezaji wa miradi ya...
  2. Roving Journalist

    Mameneja na Waratibu wa Mradi wa TACTIC watakiwa kutumia magari 14 katika kazi iliyokusudiwa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amewaelekeza Mameneja na waratibu wa Mradi wa Uendelezaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) kuhakikisha magari 14 aliyoyakabidhi yanakwenda kufanya kazi iliyokusudiwa ya usimamizi wa mradi huo ili wananchi wanufaike na...
  3. PendoLyimo

    • Serikali yaipongeza tarura, miji 11 ikisaini utekelezaji mkataba wa Tactic

    SERIKALI YAIPONGEZA TARURA, MIJI 11 IKISAINI UTEKELEZAJI MKATABA WA TACTIC Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amebainisha kuwa Serikali inatambua jitihada na kazi nzuri inayofanywa na Wakala ya barabara za Mijini na Vijijini TARURA...
  4. PendoLyimo

    PreGE2025 Miradi ya Tactic imeleta mapinduzi ya kiuchumi majimboni kwetu- wabunge

    MIRADI YA TACTIC IMELETA MAPINDUZI YA KIUCHUMI MAJIMBONI KWETU- WABUNGE Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameeleza mageuzi makubwa ya kiuchumi na Kijamii yaliyojitokeza ikiwemo fursa za kiuchumi inayotokana na kuboreshwa kwa mazingira ya ufanyaji wa biashara katika Majimbo...
  5. PendoLyimo

    MRADI WA TACTIC KUBORESHA MAZINGIRA YA UFANYAJI BIASHARA MANISPAA YA SINGIDA

    MRADI WA TACTIC KUBORESHA MAZINGIRA YA UFANYAJI BIASHARA MANISPAA YA SINGIDA Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba (Mb) amesema kukamilika kwa utekelezaji wa miradi ya uboreshaji miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) awamu ya pili Kwenye Manispaa ya Singida kutaleta...
  6. PendoLyimo

    Tactic kuinua uchumi na kubadilisha mandhari jiji la Arusha

    Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini Tanzania Tanzania TARURA, Injinia Victor Seff ameeleza kuwa kukamilika kwa Mradi wa Uboreshaji wa miundombinu ya Miji Tanzania kwa awamu ya pili TACTIC kwa Jiji la Arusha kutabadilisha muonekano na mandhari ya Jiji hilo kuendana na hadhi yake ya Mkoa wa...
  7. Just Pray

    PreGE2025 Mradi wa uboreshaji wa miji Tanzania (TACTIC) Geita Mjini, Mbunge alalama ubabaishaji wa mkandarasi, Tuliahidi mradi kukamilika kabla ya uchaguzi

    Mbunge wa Geita Mjini, Constantine Kanyasu, amemshutumu mkandarasi anayetekeleza mradi wa uboreshaji wa miji Tanzania (TACTIC) mjini Geita, akimtaja kuwa hana uwezo, hana mtaji, na anakosa wataalamu wa kutekeleza mradi huo kwa ufanisi. Kauli hiyo ya Kanyasu imekuja siku moja baada ya Mkuu wa...
  8. Z

    FATMA KARUME: Netanyahu alitumia tactic hii ya kuwanyima Wapalestina huduma za kijamii ili wahame GAZA na Waisraeli wachukuwe ardhi yao

    Ni kweli serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Samia ilitumia mbinu inayofanana na ya Netanyahu wa Israel kuwaondoa Massai Ngorongoro?
  9. Roving Journalist

    Mikataba ya TACTIC ya ujenzi wa Barabara, Kituo Kikuu cha Mabasi na Soko Kuu la Jiji yasainiwa Mbeya

    Mbunge wa Mbeya Mjini ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ameishukuru Serikali kwa kusikiliza kilio cha Wananchi wa Mbeya kwa hatua ya kuanza kuboresha miundombinu mbalimbali katika Jiji la Mbeya...
  10. Damaso

    Je watanzania wanafahamu kuhusu miradi ya TACTIC kwa upana?

    Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI imeendelea kutoa mafunzo ya masuala ya kijamii na Mazingira kwa watumishi wa Halmashauri Tanzania, zinazotekeleza awamu ya mbalimbali za mradi wa TACTIC inayotekelezwa kwa fedha za mkopo kutoka benki ya Dunia. Mafunzo yamefanyika...
Back
Top Bottom