taarifa sahihi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Vijana wengi wanakosa taarifa sahihi juu ya mikopo inayotolewa na halmashauri kwa ajili ya kujiajiri, hali inayowarudisha nyuma kiuchumi na kuchangia

    Ukosefu wa Uhamasishaji wa Kutosha: Wengi wa vijana hawajui kuwa halmashauri hutenga asilimia 10 ya mapato yake ya ndani kwa mikopo ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu (kila kundi asilimia 4, 4, Viongozi wa halmashauri hawafanyi kampeni za kutosha kuwafikia vijana katika kata, vijiji au...
  2. JamiiCheck

    KWELI Video hii ya gari kugonga gari nyingine imetengenezwa kwa akili unde

    Vipi mdau! Shiriki kuthibitisha video hii kwa kubainisha dosari unazoziona. Je,Je, zinaakisi uhalisia?
  3. JamiiCheck

    KWELI Kati ya picha hizi, moja ni halisi na nyingine imehaririwa kwa Akili Unde

    Mdau shiriki kuthibitisha kati ya picha hizi mbili, ipi ni halisi? Bainisha tofauti tano zilizopo katika picha hizi.
  4. JamiiCheck

    Dkt. Mpango: Mitandao inaweza kutumiwa kueneza upotoshaji wa makusudi

    Ujumbe wa Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango alioutoa Agosti 11, 2025 katika Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi uliofanyika mkoani Kilimanjaro, unatukumbusha kuwa makini dhidi ya Taarifa Potofu mtandaoni hasa wakati wa uchaguzi. Ni muhimu kuthibitisha uhalisia wa kila...
  5. JamiiCheck

    Rolf Kibaja: Watu wanaweza kumfanya mgombea kuongea maneno ambayo siyo kupitia Akili Unde

    Kabla ya kuamini na kusambaza picha au video unazokutana nazo mtandaoni jiridhishe uhalisia wake au unaweza kuwasilisha kwenye majukwaa ya uhakiki wa taarifa kama JamiiCheck.com ili kupata uhalisia wa maudhui husika. Ujumbe huo unaakisi kauli ya Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano...
  6. JamiiCheck

    Rolf Kibaja: Usisambaze taarifa ambayo hauna uhakika nayo

    Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Rolf Kibaja, kupitia kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC Agosti 07, 2025, anawakumbusha watu wote kuepuka kusambaza taarifa zisizo za kweli pasipo uthibitishaji ili kuzuia madhara yanayoweza...
  7. JamiiCheck

    GE2025 Jaji Asina: Vijana mkiepuka wapotoshaji mtakuwa na mchango mkubwa uchaguzi mkuu

    Ujumbe wa Jaji Asina Omari, Mjumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), alioutoa wakati akizungumza na wawakilishi wa vijana, kwenye ukumbi wa mikutano Mlimani City Dar es Salaam, unasisitiza kuepuka utumiaji wa Akili Unde kutengeneza taarifa potofu ili kuzuia upotoshaji wakati wa uchaguzi. Kuzuia...
  8. Jaji Mfawidhi

    Je ni wakati wa kufuatilia Insta ya Jamii Forum na zile Zingine Zisizo toa Taarifa SAhihi!

    Imekuwa ikitokea habari za Upinzani Tanzania au habari ambayo watu fulani hawaipenda basi ile TV online na Insta page haziwekwi isipokuwa kwa jf pekee. Je, wadau, tu unfollow zile page ili tuwe na source moja ya jf. Tutajieni majina ya kuachana nao.
  9. JamiiCheck

    LGE2024 JamiiCheck ilivyoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024: Taarifa sahihi huwawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi

    Uthibitishaji wa taarifa ni msingi unaowawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kutokana na Taarifa sahihi mathalani kipindi cha uchaguzi, hili linafanikishwa kwa mapambano dhidi ya taarifa potoshi pamoja na kuwajengea uelewa wananchi jinsi ya kutambua na kudhibiti taarifa zisizo za kweli...
  10. JamiiCheck

    Dkt. Biteko: Wanahabari wana kazi ya kupambana na taarifa potofu ili jamii ipate taarifa sahihi

    Ujumbe wa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko, unasisitiza na kuwakumbusha waandishi wa habari kuhakikisha wanadhibiti Taarifa zisizo za kweli na kutoa zile zilizo sahihi ili kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kutokana na Taarifa sahihi. Ni muhimu kuthibitisha kila...
  11. JamiiCheck

    Nuzulack Dausen: Kabla ya kusambaza taarifa, hakikisha inatoka kwenye chanzo sahihi

    Mkurugenzi mtendaji wa Nukta Africa Nuzulack Dausen anatukumbusha umuhimu wa kuthibitisha Taarifa tunazokutana nazo ndani na nje ya mtandao kwani kutatuwezesha kufanya Maamuzi Sahihi kutokana na Taarifa Sahihi. Unapokutana na Taarifa unayohitaji kupata msaada wa Uthibitishaji iwasilishe katika...
  12. JamiiCheck

    Taarifa Potoshi ni chanzo cha maamuzi mabovu. Je, ni upi wajibu wa vyombo vya habari katika kuwezesha upatikanaji wa taarifa sahihi?

    Vyombo vya habari vina wajibu wa kuhakikisha wananchi wanapata taarifa sahihi na kwa wakati ili kuchochea maamuzi sahihi sambamba na uwajibikaji. Wajibu huo unaweza kufanikishwa kwa kupambana na kuzuia taarifa potoshi zinazosambazwa ndani na nje ya mtandao. Salome Kitomari mhariri wa gazeti la...
  13. ufalmedigital

    Unatafuta taarifa sahihi kuhusu chuo unachotaka kujiunga nacho?

    🌍 Leo umejifunza nini kuhusu chuo chako? Kama bado, tembelea www.chuosmart.com Maelezo ya kozi, gharama, mazingira, na fursa zipo humo! Usiwe mjinga kwa hiari. Smart Up with ChuoSmart! Unatafuta taarifa sahihi kuhusu chuo unachotaka kujiunga nacho? Kozi, ada, sifa za kujiunga, nafasi za...
  14. JamiiCheck

    Taarifa sahihi pekee zinaiwezesha Jamii kufanya Maamuzi sahihi, thibitisha uhalisia wa Taarifa unazopokea kabla ya kuziamini na kuzisambaza

    Uthibitishaji wa Taarifa ni jukumu la kila mmoja katika jamii ili kupambana na madhara ya Upotoshaji kwa kuhakikisha jamii inapata Taarifa Sahihi na kwa wakati. Unaweza kupata maarifa zaidi kupitia Jukwaa la JamiiCheck.com ili kujua mbinu muhimu zinazokuwezesha kubaini uhalisia wa Taarifa...
  15. Waufukweni

    DOKEZO Makumbusho: Polisi wadaiwa kuvamia Ofisi za "Reachout Tanzania", wakidai kumtafuta Wakili Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini

    Polisi wenye silaha wadaiwa kuvamia ofisi za Taasisi ya Reachout Tanzania zilizopo maeneo ya Makumbusho jijini Dar es Salaam, wakidai kumtafuta Mwanasheria wao Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini. Polisi hao, wakiwa na sare na wengine hawana sare, walitishia kuvunja milango licha ya kuambiwa...
  16. J

    JamiiForums yatoa Mafunzo ya namna ya kuwa Salama Mtandaoni na Utoaji Taarifa Sahihi kwa Umma

    JamiiForums imeendesha mafunzo ya siku 2 kwa watumishi na viongozi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (CHRAGG), yakijikita katika Ushirikishwaji wa Umma, Mbinu za Upigaji Picha, Mawasiliano Salama, na Usalama wa Kidigitali. Mafunzo haya yalilenga kuwapa washiriki ujuzi muhimu wa...
  17. J

    Bila Taarifa Sahihi hauwezi kufanya Maamuzi Sahihi ikiwemo Kumchagua Kiongozi Sahihi. Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unakuja, unamjua Mgombea wako?

    Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, unaleta nafasi muhimu kwa wananchi kuchagua viongozi watakaoleta maendeleo katika ngazi za karibu zaidi na maisha yao ya kila siku. Uchaguzi huu unahusisha uchaguzi wa viongozi wa mitaa, vitongoji, vijiji, na wajumbe ambao...
  18. Mturutumbi255

    Je, Mkurugenzi wa NIS Anapaswa Kujiuzulu kwa Kutowasilisha Taarifa Sahihi kuhusu Muswada wa Sheria ya Fedha?

    Katika Katiba ya Kenya, suala la kujiuzulu linahusiana na uwajibikaji wa kisiasa na utawala. Iwapo kiongozi wa idara fulani au afisa wa serikali anashindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo, anaweza kushinikizwa kujiuzulu. Hata hivyo, Katiba haitaji moja kwa moja ni nani anayepaswa kujiuzulu...
  19. Nyendo

    Tafuta taarifa sahihi ya chama au mgombea kabla ya kuamua kumchagua

    Uchaguzi ni moja ya misingi muhimu ya demokrasia ambapo wananchi wanapata fursa ya kuchagua viongozi wanaowaongoza. Hata hivyo, ili kufanya maamuzi ya busara na yenye tija, ni lazima wananchi wapate taarifa sahihi kuhusu vyama vya siasa na wagombea wao. Taarifa sahihi hapa inamaanisha habari...
  20. Foxhunters

    Naomba msaada wa kuujua mji wa Mafinga

    Naomba msaada wa kuujua mji wa Mafinga. Mimi ni kijana nahitaji kwenda kuanzisha maisha mji wa Mafinga. Nina ujuzi wa ICT, kilimo cha mboga mboga n.k, mtaji ni milion 6. 1. Historia yake. 2. Makabila yake, mila na desturi. 3. Huduma za kijamii. 4. Uchumi kwa ujumla.
Back
Top Bottom