taarifa muhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Taarifa Muhimu Jihadhari Usitumie Unga wa Mlonge ambao Umeanikwa Juani Hauna Manufaa Kiafya

    Moderator naomba sana uzi huu uwe huru ni muhimu kiafya. Mdau wangu Usijaribu kutumia Unga wa Mlonge ambao Umeanikwa JUANI. Ni muhimu sana kutumia Unga ambao Umeanikwa Ndani ya nyumba kwa muda angalau siku 5 na kuendelea bila Jua na kisha kutwangana au kusagwa na kuchekeshwa. . Tazama rangi na...
  2. President of China

    Mkutano wa Waandishi wa Habari: CCM Yatangaza Taarifa Muhimu Kutoka Makao Makuu - 19 Novemba 2025

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kufanya mkutano maalum na waandishi wa habari utakaofanyika Jumatano, tarehe 19 Novemba 2025, katika Makao Makuu ya CCM, kuanzia saa 5:00 asubuhi. Mkutano huu ni sehemu ya jitihada za chama kutoa taarifa kwa umma, kufafanua masuala muhimu ya kisera, na...
  3. Matovu Godfrey

    Taarifa Muhimu - MO29

    📌Important Statement from the Foreign Ministers of 🇨🇦 🇬🇧 🇳🇴 expressing concern and calling for restraint in Tanzania - GOV.UK Taarifa Muhimu kutoka kwa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa 🇨🇦 🇬🇧 🇳🇴 wakielezea wasiwasi wao na kutoa wito wa kujizuia nchini Tanzania. #MO29 🇹🇿 #OktobaTunatoka #tanzania...
  4. U

    TAARIFA MUHIMU: Mkuu Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, Jumatatu hii Septemba 1, 2025, amefanya ziara ya kumtembelea Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie,

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, Jumatatu hii Septemba 1, 2025, amefanya ziara ya kumtembelea Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie, ikiwa ni muendelezo wa ziara zake za kuwatembelea viongozi wa dini mkoani Arusha kwa lengo la kujitambulisha na kubadilishana uzoefu katika mambo mbalimbali...
  5. magabelab

    Kutumia akili unde kusikiliza redio na kutuma taarifa muhimu kwenda Whatsapp group.

    Lengo: Kupokea sauti kutoka redio ya FM, kuichuja matangazo, kubadilisha sauti iliyobaki kuwa maandishi, kufupisha maandishi, na kutuma taarifa muhimu kwenye kundi la WhatsApp. --- ### Sehemu ya 1: Vifaa na Mahitaji (Hardware and Software) #### Vifaa (Hardware): 1. Arduino Uno: Hiki ndicho...
  6. Mindyou

    Taarifa muhimu kwa waombaji wa kozi za Ualimu UDOM. Kozi hizi zilizotajwa zimesitishwa, usijichanganye

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimetangaza kuwa hakitapokea wanafunzi wa shahada ya kwanza kwa mwaka wa masomo 2025/26 katika baadhi ya kozi za ualimu. Taarifa hiyo imetolewa na Ofisi ya Naibu Makamu Mkuu wa Chuo – Taaluma, Utafiti na Ushauri wa Kitaalamu, ikieleza kuwa hatua hiyo ni ya muda...
Back
Top Bottom