syria

  1. JamiiForums Tanzania Hukumu ya kifo kwa Rais wa Syria inatuma ujumbe gani kwa wahusika wa October 29?

    #HABARI: Wakazi wa mji wa Idlib nchini Syria wamekusanyika kusherehekea baada ya mahakama kumhukumu kifo Rais wa zamani wa nchi hiyo, Bashar al Assad. Mahakama moja nchini Syria imemhukumu kifo kwa kutokuwepo rais wa zamani wa nchi hiyo, Bashar al-Assad, kwa makosa yanayohusiana na uhalifu...
  2. JamiiForums Tanzania Nimekumbuka Mapinduzi ya Syria na kuanza kuona nchini kwetu jinsi uhuru unavyozidi kupunguza umri wa kuuliza

    Syria ilifikia mpaka kila mtu uhuru wa kuhoji ulikosekana. Siku moja watoto waliandika "Samia must go" .Kilichotokea walitekwa na kuumizwa sana na ndio mwanzo wa nchi ilipofikia hapo. Kwa haya ya nchi usishangae wanafunzi wa sekondari au msingi wakatekwa kisa kuhoji kwenye vifaa vyao...
  3. JamiiForums Tanzania Trump: Israel imeshindwa "kazi" dhidi ya Hezbollah, Syria watafanya vizuri zaidi

    Katika hali ya kushangaza Rais Donald Trump amesema kuwa Israel imeshindwa kazi ya kupambana na Hezbollah maana imechukua muda mrefu sana na watu wanazidi kufa. Amesema hakuna haja ya kulipua ghorofa zima kisa tu unamsaka Hezollah mmoja. Na amesema sio walebanon wote ni Hezbollah hivyo wanauwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Urusi imeshidwa kutetea Syria na Venezuela hata Tanzania watashidwa

    Urusi imeshidwa kutetea Syria na Venezuela hata Tanzania watashidwa. Ni ujinga na maono yasiyo na tija kufikiria Urusi ambayo imetekeleza marafiki zake hata wale waliokuwa wana nunua silaha kutoka kwake akija USA Urusi inawatekeleza. Sasa Samia anapoteza muda kwenye kujipendeleza na nchi yenye...
  5. JamiiForums Tanzania Magaidi huko Syria wapata kiwewe baada ya Israel kupitisha adhabu ya kifo kwa Magaidi

    Vikosi vya usalama vya Syria vilianzisha vituo vya ukaguzi katika maeneo ya kusini ili kuzuia harakati za Waislamu wa jihadi kuelekea mpaka wa Israeli. Hii inafuatia siku za machafuko na maandamano yanayohusiana na kupitishwa kwa sheria ya adhabu ya kifo kwa magaidi waliohukumiwa kwa kuwaua...
  6. JamiiForums Tanzania SI KWELI Uturuki haitaruhusu Iran igawanywe, tutachukua hatua kali kama tulivyofanya Syria

    Kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook, likidai kuwa Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan, ametoa kauli kali kuhusu Iran. Chapishi hilo limechapishwa katika ukurasa wa Athumani Seiph Amri ambapo Erdoğan anadaiwa kusema kuwa Uturuki haitaruhusu Iran...
  7. JamiiForums Tanzania SI KWELI Marekani imetangaza kujiondoa katika kambi za kijeshi za Qatar, Bahrain, Kuwait, Iraq, Jordan, Umoja wa Falme za Kiarabu, Syria,

    Wanaukumbi. BREAKING 🚨 Marekani imetangaza kujiondoa katika kambi za kijeshi nchini Qatar, Bahrain, Kuwait, Iraq, Jordan, Falme za Kiarabu, Syria na nchi nyingine za Ghuba. Picha zinaonyesha wazi kuwa Iran imeshinda vita hivi. ================ For English Audience ================ BREAKING...
  8. JamiiForums Tanzania Wakristo Syria washeherekea Krismasi chini ya mtutu wa bunduki

    kulikuwa na 1.8 million Christians in syria leo wamebakia laki 3 tu, wanasali chini ya mtutu wa bunduki, kama mlifikiri haitatokea hapa tanzagiza think again, lebanon ilikuwa ni Christian majority country leo hii wameisha karibia waote, Wanapokwambia wanafight against ''mfumo Kristo''...
  9. JamiiForums Tanzania Dalili za kukatiliwa kuwa wewe sio kiongozi zimenikumbusha syria

    Mabavu yana mwisho ila kuna mda mabavu yako na utawala wako unaweza kuona wewe farao. kipindi cha raisi wa syria kabla ya kupinduliwa ilifikia hatua haya tunayopitia tanzania kwake yalikuwa ni kama mazoea kila siku. siku moja watoto wadogo walichoka wakaandika kuwa awamtaki raisi kwenye ukuta...
  10. JamiiForums Tanzania Naamini kuna mamlaka zinazohakikisha kile kinachopaswa kuzungumzwa ni Palestine pekee huku maeneo kama Sudan, Syria, Nigeria kaskazini, etc.. kimya

    Jeshi la houthi lisababisha vifo ya mamilioni ya watoto huko yemen na kuacha utapia mlo ambao upo hadi leo unatesa watoto. Jeshi la ISIS liliwateka wanawake wa kisyria na iraq na kuwageuza watumwa wa kingono na wengine kuwauza kwa watu wengine. Jeshi la boko haram limesababisha chaos nigeria...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel Itamar Ben Gvir Asema Rais wa Syria Al Jolan auwawe!

    Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel Itamar Ben Gvir atoa wito wa kuangamizwa kwa Rais wa Syria, Ahmad al-Sharaa, akimwita mpiganaji wa jihadi: "Yeyote anayeua, kukata masharubu, kudhalilisha, na kubaka hapaswi kujadiliana naye, suluhisho pekee na al-Jolani ni kumuangamiza bila huruma yoyote...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Serikali mpya ya Syria ni mpango wa Urusi?

    SIASASYRIA Putin ampokea Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Bakari Ubena 01.08.20251 Agosti 2025 Rais wa Urusi Vladimir Putin amempokea kwa mazungumzo Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Asaad al-Shibani na kumueleza dhamira ya Kremlin ya kuanzisha uhusiano na uongozi mpya wa nchi hiyo. Siku ya...
  13. JamiiForums Tanzania Jamii ya Druze inavyofutwa huko Syria. Hali inatisha sana

    Allah Akbar...! Alisikika mwanajeshi mmoja baada ya kumuua Mdruze huyu. Wadruze wamejikuta wakilengwa au kuingia kwenye migogoro nchini Syria kutokana na sababu za kisiasa, kijamii na kidini, lakini sio tu kwa sababu ya imani yao ya kipekee. Sababu kuu ni hizi: 1. Mgogoro wa Syria (2011 hadi...
  14. JamiiForums Tanzania Wafahamu Wa-Druze ambao tangia wiki iliopita wamefanyiwa ukatili huko Syria

    Ni Waarabu wenye dini ya kipekee ya Ki-brahamu ambayo hapo awali ilikuwa chipukizi la mbali la Uislamu wa Shia. Waamini Mungu Mmoja kama walivyo wakristo na Waislam, nabii wao ni Yethro / Yitro, kuhani wa Midiani, baba wa Sipora; Yethro ni baba mkwe wa Musa. Wafuasi wasiopungua milioni 1...
  15. JamiiForums Tanzania Rais wa Syria aionya Israel dhidi ya kuiburuza Syria vitani

    Rais wa Syria Ahmed al-Sharaa ameituhumu Israel kwa kujaribu kuiburuza Syria katika vita na amesema nchi yake haitakubali kunaswa na chambo hicho.Katika hotuba iliyorushwa mapema alfajiri katika runinga ya taifa, rais wa Syria Ahmed al-Sharaa amesema hawatawapa Israel fursa ya kuwaingiza watu wa...
  16. JamiiForums Tanzania Israel opens a new war front in Syria

    New Israeli Front in Southern Syria Recent escalation: Israel has launched airstrikes on the Syrian Defense Ministry headquarters in Damascus, marking a major direct strike on central military infrastructure . Druze-region intervention: These strikes are connected to intense fighting in the...
  17. JamiiForums Tanzania Israel yashambulia maeneo ya karibu na Ikulu ya Syria

    Habari za muda huu ni kuwa Israel inashambulia Ikulu na Makao Makuu ya jeshi la Syria baada ya Majeshi ya Syria kuua watu wa jamii ya Druze. Baraza la Ushirikiano wa Ghuba (GCC) limeilaani kwa “maneno makali zaidi” mashambulizi ya Israel dhidi ya Damascus, huku mashambulizi yakilenga wizara...
  18. JamiiForums Tanzania Bomu la kujitoa mhanga kanisani huko Syria lafanya maafa

    Hii ni kazi ya vijana wa itikadi ya msimamo mkali maana yuko radhi ajinyonge ila sio kuona ukristo ukiwa karibu yake.
  19. JamiiForums Tanzania Uwanja wa ndege wa kijeshi wa Hamas nchini Syria washambuliwa

    Ripoti za milipuko mingi karibu na uwanja wa ndege wa kijeshi wa Hama nchini Syria. Baada ya jana Syria kurusha makombola 2 kuelekea Golan hata hivyo makombola hayo yalipopolewa.. Leo hii Israel imeamua kuzishambulia ghala za silaha za Syria huko Hama!!
  20. JamiiForums Tanzania Waziri wa ulinzi wa Israel Israel Katz awaonya watawala wa Syria!!

    Waziri wa ulinzi wa Israel Katz anamtaja kwa jina Sharaa wa Syria kuwa ndiye aliyehusika na kurusha roketi, na kuapa 'jibu kamili' hivi karibuni Kufuatia shambulizi la roketi kutoka Syria dhidi ya Israel jioni ya leo, Waziri wa Ulinzi Israel Katz anasema Jerusalem inamwona kiongozi wa Syria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…