swala

  1. JamiiForums Tanzania Airtel/ Airtel Money acheni hizi dhuluma, Mamlaka husika liangalieni hili suala

    Habarini za jioni wakuu, Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa letu. Binafsi naomba niwasilishe malalamiko yangu kwa hawa AIRTEL TANZANIA kutokana na vitendo vyao hivi ambavyo ni viashiria wazi vya dhuluma kwa wateja wao. Kwa kawaida hua sipendi kununua bundles kwa vocha za kukwangua kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Tunaposema hakuna ukabila huku tukiendelea kuulizana kabila ni suala la ajabu sana

    Wewe ni kabila gani! Hii ni moja kati ya vitu ambavyo Nyerere alijaribu ku-discourage ili kuua ukabila, intermarriages na system ya uongozi ilifanya kuuweka ukabila mbali na sisi ili tuweze kuishi kama Watanzania na sio kama watu wa kabila fulani hali ambayo ni hatarishi kwa maendeleo ya nchi...
  3. JamiiForums Tanzania Tuzungumze suala la kumuongezea Rais muda au sheria?

    Na Elius Ndabila ewndabila@yahoo.com Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na hoja ambayo imeshikiwa bango na baadhi ya Watanzania wakiomba Mh RAIS Dkt John Magufuli aongezewe muda wa kuliongoza taifa hili. Hoja hii mwanzo ilianza kama utani na Mh Juma Nkamia Mbunge wa Chemba. Ninaweza kusema...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Inafaa Kusoma Qur-aan Kwa Kutazama Mus-haf Katika Swalaah Za Sunnah?

    SWALI: Assalaam alaykum. My dear brothers. My question is.is it possible to my Sunnah prayers, while reading the suraz by holding the holly Qur'aan in my hand? I did not memorize those suraz, I would like to know if it is possible. Asslm alekum. Niliuliza suali,kusoma qurani katika sala kwa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kuna Du’aa Maalumu Ya Swalaah ya Dhwuhaa?

    SWALI: ASALAM ALAYKUM, SWALI NI HIVI, KWENYE SWALA YA DHUHA KUNA DUA MAALUM INAYOTAKIWA ISOMWE? NAOMBA MSAADA WENU. JIBU: AlhamduliLLaah Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Rabb wa walimwengu, Swalaah na salamu zimshukie Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…