survey

  1. Gemini Are Forever

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuna aliyekutana na hii "2020 Annual Visitor Survey" kutoka Opera Browser?

    Habarini, Mimi ni mtumiaji mzuri wa Opera Browser, yaani huwa sina mtindo wa kupakua Apps kujaza kwenye simu. Kutokana na hilo leo kila nikijaribu kuingia kwenye internet web yoyote unakuja ujumbe usemao "Dear Opera user, you are today's lucky visitor for April 5 2020. Please complete a short...
  2. wickerman

    JamiiForums Tanzania [SURVEY] Exchange Rates na Fedha za Kigeni

    Habari Wakuu, Binafsi kwenye swala la kubadilisha fedha za kigeni lilikua lina nichanganyaga kujua Zile Rates zina ku-affect vp. Sell rate inatumika muda gani na Buy Rate inatumika muda gani. Ila baadae nilielewa. Wewe huwa unapataga changamoto gani unapotaka kubadilisha fedha za kigeni kwenye...
  3. Offshore Seamen

    JamiiForums Tanzania Ziwa Victoria, Nyasa na Tanganyika yafanyiwe Hydrographic Survey na kutengenezewa ramani (Navigation Charts)

    Kwanza nitoe pongezi kwa serikali kwa ujenzi wa meli katika Ziwa Nyasa na Ziwa Victoria na marekebisho ya meli zilizokuwepo. Kwa kipindi kirefu ramani (Navigation Chart) ambazo zimekuwa zikitumika Ziwa Nyasa ni za zamani sana, hivyo inapaswa hydrophic survey ifanyike na zitengenezwe ramani...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mwenzenu naomba anayejua app ya survey inayolipa anisaidie

    Hello, habari zenu? Mwenzenu naomba anayejua app ya survey inayolipa for real kama Premise app nchini Tanzania anijuze. Nimetafuta nyingi Sana km Afrisight, Geopoll n.k sijapata jamani!! Napenda kujishughulisha Sana hasa online survey through apps, website lakini sijapata zaid ya Premise...
Back
Top Bottom