Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani Mlele, Alhaj Majid Mwanga, ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Mlele ameliamuru Jeshi la Polisi wilayani humo kuhakikisha askari sita wa jeshi la Sungusungu na Mwenyekiti wa Kijiji cha Minyoso wanafikishwa mahakamani, baada ya kudaiwa kuwachapa...