Tunamuomba Rais wetu aingilie kati ili suala hili likomeshwe.
Rais aliingilia kati suala la majambazi sasa hivi limepungua.
Rais wetu ni msikivu, nchi hii hatujazoea watu kutekwa ni jambo geni.
Tunamuomba aingilie kati na endapo watekaji watakamatwa waadhibiwe vikali.
Tumuombee Rais wetu...