Mimi ni dereva wa bus, ya kwanza ni kituo cha mabasi chemchem Bagamoyo, ndiyo kituo cha kwanza kupandisha ushuru kuwa mkubwa Tanzania, awali ilikuwa shilingi 2,000 kwa siku then sasa hivi wanachajisha shilingi 4,000.
Wanapandisha bei wakati mazingira ya Stendi bado ni mabovu sijapata kuona...