Tanzania iko kwenye tanzia, ikiomboleza kifo cha tozo-stahimilivu na kufufuka kwa tozo-kandamivu kwenye miamala ya mitandao ya simu.
Naam, tumefikia zama ambazo ukiona meseji ya M-pesa inabidi usonye na kumlaumu mtumaji kabla ya kuifungua. Yote hiyo ni kukwepa makato makubwa ya tozo za miamala...