Uchunguzi wa madaktari umeonyesha kuwa marehemu Denis Busulwa (Ssebo), aliyekuwa Mkurugenzi wa Uendeshaji na Biashara wa EFM na TVE, alifariki dunia kutokana na ugonjwa wa Deep Vein Thrombosis (DVT) au kwa Kiswahili "Kuganda kwa Damu katika Mishipa ya Ndani." mara nyingi kuanzia Miguuni.
DVT...
Wanabodi
Leo tumemuaga mwana tasnia ya habari, Dennis Busulwa kwa jina maarufu la Ssebo
Hii ni Tribute yangu to Dennis Busulwa (Ssebo), aliiheshimu sana TCRA na kuiita Baba!. Alitamani TCRA isiitwe Mamlaka ya Udhibiti, iitwe Mamlaka ya Ulezi wa Tasnia ya Utangazaji!, na kuiita Baba Mlezi wa...
Hello GT..
Nina swali hivi dereva wa Ssebo anaweza kufungulia mashtaka ? Badala ya kumpeleka jamaa hospitali yeye alifanya maombi. Yaani dizaini kama aliharikisha kifo cha jamaa.
Mkurugenzi wa Uzalishaji na Biashara wa EFM & TVE Deniss Ssebo, amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya Muhimbili.
Ssebo amefariki baada ya kuugua ghafla. Taarifa zaidi zitawajia kuhusu msiba huu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.