spana

The Society for the Protection of Animals Abroad (SPANA) is a global charity with the objective and purpose of providing veterinary care to working animals, including donkeys, horses, elephants and camels.SPANA's mission is to transform the welfare of working animals in low-income countries. As part of its 2018-2022 strategic plan, it aims to support working animals' welfare through a combination of treatment, training and teaching. The charity treats animals who are suffering from injury and illness, or facing emergency situations, through its free provision of veterinary care delivered from a network of hospitals and mobile clinics. It trains animal owners and vets, promoting best practice and care. And the charity teaches children that animals must be treated with care and compassion through its humane education program.
In 2020, SPANA treated over 283,000 animals across 30 countries, including Morocco, Mali, Mauritania, Botswana, Tunisia, Zimbabwe, Ethiopia, South Africa and Jordan.
SPANA is funded entirely by voluntary donations. In 2020, the charity had a global expenditure of £7,960,014.SPANA's registered charity number is 209015.

View More On Wikipedia.org
  1. Ameamua kuishi kama mkimbizi, anajificha amekataliwa. Urais una raha gani? Ajiuzulu asione aibu

    Ameamua kuishi kama mkimbizi anajificha ficha amekataliwa. Sasa urais una raha gani ? Asione aibu kujiuzulu, hizi spana anazopigwa ni balaa. Anapigwa spana nje ndani na kila mtu mpaka anajificha, akipita hapa JamiiForums anachanganyikiwa. Huwezi kuua watu vile halafu uwe sawa. Umejitakia mwenyewe.
  2. Serikali haramu ikipiga tu picha na kiongozi wa US au ulaya utaona tambo kibao halafu kesho yake wanawanakataa na kupigwa spana yani ni machizi

    Serikali haramu ikipiga tu picha na kiongozi wa US au ulaya utaona tambo kibao halafu kesho yake wanawanakataa na kupigwa spana yani ni machizi . Wanajaribu kupiga picha na watu wa ulaya na US ili kututia viini macho bahati nzuri wazungu wamesha washtukia wanawakataa na kuwapiga spana hawa...
  3. Waziri wa vijana wiki mbili tu ushakimbia ujana kwa spana.

    Yule jamaa ukisikiliza mada zake unaweza kujua katoboa kumzidi Bakharesa na matajiri wengine kwa zile kanuni zake. Si unajua siku hizi umaarufu ndio unapewa idara kwa serikali ya CCM. Sijui kapotelea wapi?.
  4. GE2025 Makonda: Nikiingia bungeni moto utawaka, nitapiga spana watu mpaka kitaeleweka

    Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amesema endapo atashinda uchaguzi na kuingia bungeni, ataweka nguvu kubwa katika kumsaidia Rais Samia Suluhu Hassan kutekeleza Ilani ya CCM ya mwaka 2025–2030. Makonda amesema anatarajia kutumia nafasi hiyo...
  5. Polepole kapigwa sapana?

    Wadau Mbona Pole Pole hapatikani LIVE FACEBOOK/YOUTUBE, kuna Mwenye Updates zozote ? Au Kapigwa Spana ??? Si alitangaza kuwa ataingia LIVE LEO 21.08.2025 SAA MBILI USIKU ?
  6. M

    GE2025 Sasa Polepole tumeanza kuelewana, Spana ya jana dhidi ya "wanamtandao" imegonga kwenyewe

    Sasa bwana Polepole umeanza kuongea vitu serious. Zile episode zako mbili za mwanzo zilikuwa hazijaniimpress hata kidogo maana ulikuwa unaongea vitu vypesivyepesi. Ila tu nilikuwa naenjoy unavyovurugana na wanaCCM wenzako, lakini nilikuwa bado sijashawishika kuona unaongea vitu vya maana. Kwa...
  7. Spana za unju by Nikki Mbishi album kali

    Sikilizia mkwaju namba 11
  8. Salim Kikeke anapitia Spana kwenye mtandao wa X

    Baada Ya Kutia Nia Salim Kikeke Ameanza Kupitia Spana Kwenye Mtandao Wa Twitter. Kwenye Moja Kati ya Chapisho Lake Ameandika Kuwa ........................ Sometimes change has to be fought from within. Albert Einstein once said “Doing the same thing over and over again and expecting different...
  9. Kapigwa spana Ulaya na Marekani leo kaja kuwadanganya watu eti lazima tutengeneze chetu

    Wakati Job anasema ni lini tutazalisha chetu na kuacha kukopa ovyo ulimshambulia sana. Mzee baba akaona isiwe tabu . Dawa ya wapuuzi ni kuwaachia mashua inayozama wakazame nayo huyooooo akaruka. Umekopa umekopa bila aibu. Umesafiri weeee. Leo unakuja kutuambia eti uchumi wetu unafanya vizuri...
  10. Hizi spana za CHADEMA; ni karma au ni hujuma?

    Katika maisha yangu yote ya kusoma sayansi ya biologia, hakuna topic ambayao mpaka sasa nimeshindwa kuielewa kama EVOLUTION. Hii ndio topic inayojaribu kuaminisha watu kuwa ulimwengu na viumbe vyote vilitokea tu spontaneously na vimekuwa vikibadilikabadilika kuwa vilivyosasa. Huu upuuzi...
  11. C

    Maaskofu (ukimuondoa Malasusa) wanapiga spana za HAKI Hadi aibu.

    Hawa Maaskofu (ukimuondoa Alex) ni kama wameambizana ni mwendo spana za HAKI hadi unajiuliza nini kimetokea! 1. Askofu Pissa, Rais TEC, Askofu Lindi (Haki). 2. Askofu Mkuu Ruwa'ichi, Askofu Jimbo Kuu Dar es Salaam - Haki & Wazalendo uchwara. 3. Askofu Laizer, KKKT Morogoro, Haki & No Reforms...
  12. PreGE2025 Paul Makonda: Kuna kakundi nimekapiga spana. Acha wakahangaike kuroga, mi sirogeki

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha mesisitiza kuwa hana woga wa vitisho wala hofu ya ushirikina, akisema wazi kuwa hata wale wanaojaribu kuloga hawawezi kumtikisa. Akizungumza kwa katika uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) kwa Mkoa wa Arusha,, Makonda...
  13. Spana za Trump kwa Kamala

    Angalia Spana hizi kutoka team Trump aka MAGA, kwenda Kwa mpinzani wake ambaye ni Makamu wa Rais Kwa Sasa katika Uongozi(sio utawala maana huu upo Shit countries tu). Ingekuwa bongo angetakiwa kureport kila baada ya dakika 45 central.
  14. Swali gumu kwa Atheist

    Bwana yesu asifiwe wanaJF , Bila kupepesa macho nikiwa katika hatua za mwisho kabisa za kumaliza kikundi hichi kiovu. Swali langu nawaachia Mbona sisi wakristo tulioshika neno (Watakatifu) tukikemea Mapepo kwa Jina la Yesu yanatoka ,hii halitoshi kwa nyie kuamini?
  15. Kumbe jana Kakesha JamiiForums Usiku Kucha na hajaamini kuwa kuna Watu wanapiga Spana za Ukweli na wana Akili

    Cheza na Watu wote, ila siyo wa JamiiForums kwani kuna Wengine hapa wanakujua ndani nje hivyo wakiwa hapa wanapiga Spana za maana lakini ukiwa nao tu Wanakuzuga kwa Kukuonyesha wapo nawe (nimesahau namaanisha) wapo nami GENTAMYCINE.
  16. Simba waipiga Spana Yanga Instagram kwa kutumia logo ya Ligi ya Mabingwa Afrika

  17. SoC02 Spana: Shemeji yako kafia kwako, utasikilizwa?

    “Nayeyuka huku nikiweweseka kiwendawazimu” ni kauli maarufu sana katika hizi juma chache zilizopita miongoni mwa watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania. Kauli hii inatumiwa sana na Mtanzania, Bwana Joramu Nkumbi aliyejizolea umaarufu katika mitandao ya kijamii kwa matumizi ya lugha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…