Mawasiliano ya barabara kuu ya Dar es salaam -Lindi yamekatika tena katika eneo la Somanga kuanzia mchana hadi jioni hii leo April 16,2025 kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha nchini ambapo hadi sasa hapapitiki.
Mmoja wa Watumiaji wa barabara ambao wapo eneo la tukio kuwa hadi wakati Waziri...
Tarehe 05 Mei 2024 aliyekuwa waziri wa ujenzi Innocent Bashungwa alifika katika eneo la Somanga - Mtama mkoani Lindi ambapo barabara ilikatika kutoka na mvua kubwa zilizobatana na kimbunga Hidaya, na kusimamia ujezi wa muda ili njia ipatikane. Kumbe ilikuwa geresha tu
Sasa leo Waziri wa Ujenzi...
WALIOSHINDWA KUREJESHA MAWASILIANO SOMANGA KUCHUKULIWA HATUA: ULEGA
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesisitiza kuwachukulia hatua kali za kinidhamu wataalam kutoka Wakala wa Barabara (TANROADS) waliouhusika na uzembe wa kushindwa kurejesha kwa wakati mawasiliano ya barabara kuu ya Dar es...
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imeshughulikia kwa haraka hitilafu ndogo iliyotokea katika eneo la barabara ya mchepuko la Daraja la Somanga Mtama, na kwa sasa barabara hiyo inapitika kama kawaida.
Asubuhi ya leo Machi 24, 2025 majira ya saa 12:30, maji kutoka milima ya Kitumbi na...
KAZI YA UREJESHAJI WA MIUNDOMBINU SOMANGA INAKAMILISHWA, NGUVU YAELEKEZWA SONGAS.
Wizara ya Ujenzi, Timu ya Wataalam kutoka Wakala ya Barabara (TANROADS) ikishirikiana na Makandarasi, wanaendelea na zoezi la urejeshaji wa Miundombinu ya Barabara katika eneo la Songas ambalo nalo lilikatika...
Mawasiliano kati ya Dar na kusini mwa nchi yamekatika baada ya daraja lililopo Somanga kusombwa na maji.
Ukiachana na daraja hilo, zaidi ya madaraja manne wilayani Kilwa, kati ya Lindi na Dar es Salaam yamekatika.
Hali hiyo imetokana na madhara ya kimbunga Hidaya kilichosababisha mvua kubwa...
Timu ya wataalamu kutoka Wakala wa Barabara (TANROADS) wanaendelelea na kazi ya kurejesha mawasiliano ya barabara katika eneo la Somangafungu Mkoani Lindi kutokana na daraja hilo linalounganisha barabara kuu ya kutoka Dar es Salaam na Mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara kukatika na kusababisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.