Habari wana JF, Niende straight to the point.
Unakuta mgeni amekuja kukutembelea nyumbani kwako/kwenu wote mnakuwa bize na simu kwenye mtandao kati yenu panakuwa hakuna stori zaidi ya salamu na kuitikiana tu ehee.
Mwingine anajibu hata kisichoulizwa/ambiwa,dereva naye anachati mpaka anasimama...