siri za watu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Eti nyie mnaovujisha siri za watu mnaochat nao pm,hivi mnajielewa kweli?

    Juzi kati katika pita pita yangu kwenye mitaa ya Jf nilikutana na habar inayo husiana na mdau, ambaye inaonekana alitumiwa picha za faragha ya mwanamke naye akashea na wambea wenzake Nasema wambea wenzake kwasababu kitendo cha mtu kukuamini na kukutumia picha zake za faragha nawe ukashindwa...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Akili Nyeusi: Siri za watu wanaocheza na mawazo na malengo yako

    AKILI NYEUSI: SIRI ZA WATU WANAOCHEZA NA MAWAZO NA MALENGO YAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Shuleni ulifundishwa Masuala la Chemical reactions, ulifundishwa natural selection, ulifundishwa Frictions. Maisha ni vita, au reactions simple unazoziona kimwili na kiroho na complex. 1. Kuna...
  3. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Jomeke na Siri za watu vijiweni

    Kuna Bwana mmoja maarufu anaitwa JOMEKE; Huyu bwana ni katika wale watu wasiokuwa na vifua, hana stahimala akiona jambo. Vijana wanasema friji lake haligandishi. Jomeke hawezi kabisa kuficha siri, akiskia jambo au akiona jambo hawezi kuvumilia lazima aseme Sasa siku moja Jomeke kwenye...
  4. Full charge

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye siri nyigi za watu kati ya hawa?

    (1)Mhudumu wa gest (2)Daktari (3)Boda boda (Bodigadi) (4)Mganga wa kienyeji (5)Mtunza siri za bosi (6)Baharia (7)Rais NB:Orodha ni ndefu sana unaweza ongezea kadri uwezavyo,ila hii dunia kuna watu wanaijua nje ndani na hawasemi maana wanakutana na vitu vya ajabu sana.
Back
Top Bottom