single mothers

A single parent is a person who lives with a child or children and who does not have a spouse or live-in partner. Reasons for becoming a single parent include divorce, break-up, abandonment, death of the other parent, childbirth by a single woman or single-person adoption. A single parent family is a family with children that is headed by a single parent.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tamasha la "Single Mothers" lina agenda ya kuharibu ndoa zaidi kuliko kujenga. Lizuiliwe!

    Katika pitapita zangu huko mitaa-ndooni, nilikutana na tangazo la kuwalika "Single Mothers" kwenye event. Sio dhambi kukusanyika lakini why only Single Mothers?! Wanataka wawafundishe Nini au wajadili nini? Kuna group la Whatsapp la Single Mothers, wanajiita Single Mothers Tanzania, hawajawahi...
  2. JamiiForums Tanzania SoC02 Ongezeko la single mothers na athari zake katika jamii

    ONGEZEKO LA SINGLE MOTHERS NA ATHARI ZAKE BY : RASHID ABUNAYA Email : rashidabunaya@gmail.com Assalaam aleykum ndugu wana jamii, Ni matumaini yangu mu buhery wa afya kwa wale mlio na shida za kiafya basi mwenyezi mungu awafanyie wepesi mpate kupona Ndugu wana jamii, bila shaka ninyi nyote...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali ilete sera maalumu kusaidia single mothers maana kwa hali ilivyo tunaelekea pabaya kama taifa

    Naomba serikali iangalie namna nzuri ya kusaidia taifa katika hii hali inayozidi kulikumba taifa. Hawa wanawake wanateseka sana na wanakuwa cheap na matokeo yake wanazidi kunyanyasika. Ikiwezekana hata kwa kuanzisha kampeni maalumu kuwahimiza wanaume wawaoe hawa akina mama waliozaa nao. Iwe...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi ni single mothers?

    Salaam! Kama ilivyo ada natumai ni wazima wote. Ngoja niende direct kwenye swali, ni kwa nini wasichana wengi siku hizi ni single mothers? Je, kwa kuwa wanawake wengi hawataki kutoka kimapenzi na wanaume wasio na mbwembwe, majivuno, waongo, masharobaro, wale wa show offs n.k? Nafikiri...
  5. JamiiForums Tanzania Single mothers nawaibia siri nyingine

    Baada ya akili, mwili na roho kujikusanya, wanaume wengi tumekubaliana bila kutokukubaliana kuwa single mothers wengi wanapendwa na kuhitajiwa zaid kuliko mabinti. nitatumia neno "walio wengi nikiamini kinyume na mimi hawakosag. Sababu za wazi baadhi ni : 1. Single mothers wengi wamefikia...
  6. JamiiForums Tanzania My True Love Story: Dear Single Mother, huyo mtoto siyo wangu

    2018 Siku moja nilikua bored home, nikajiunga BADOO nikakutana nae. Tukawa friends then Fuc* mates. Maisha yakasonga, nilichompenda yeye alikua hapendi hela na ni mrembo kweliii. Kwenye hela na matumizi yake yaani unajiongeza wewe, unapiga show siku kadhaa unalipia siku kadhaa na outing na...
  7. JamiiForums Tanzania Vijana mnaotaka kuoa single Mother hebu pitieni hapa

    Kama wewe ni kijana upo ktk mahusiano na single Mother kabla hujamuoa jiulize maswali haya........ . 1.unafahamu chanzo cha yeye kutengana na mzazi mwenzake 2.ushawahi kupata nafasi ya kuzungumza na mzazi mwenzie akupe story zake kiundani mpka walifikia hatua ya kutengana 3.jina la mtoto wake...
  8. JamiiForums Tanzania Msichana huyu Single Mother ana nyota kali sana. Juzi nimekutana naye jana nimeingiza sales Milioni 27 dukani kwangu Kariakoo

    Kuna watu watasema " oooh mods Uzi huu upelekeni jukwaa la intelligence kwa sababu Una madini mazito Sana" Haya Bana. Nianze kwa kusema Singo mazas sio wabaya kihivyo Kama tunavyo jaribu kutaka Ku uaminisha Uma. Pili niombe radhi kwa Singo mazas wote walio kwazika na threads zangu za nyuma...
  9. JamiiForums Tanzania Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Binafsi nimekuzwa na kulelewa na mzazi mmoja ambaye ni mama, sijawahi pata hata mapenzi ya baba nilipokuwa mwana. Kulea mtoto binafsi bila msaada wowote ilikua ngumu sana kwa mzazi wangu lakini alijifunga shuka kiunoni na kutosalimu amri ya uvivu. Kwakweli malezi ya mzazi mmoja pekee yana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…