single mother

A single parent is a person who lives with a child or children and who does not have a spouse or live-in partner. Reasons for becoming a single parent include divorce, break-up, abandonment, death of the other parent, childbirth by a single person or single-person adoption. A single parent family is a family with children that is headed by a single parent.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Hivi baadhi ya wanaooa Single mothers wakiwa sio single fathers huwa Wana ujasiri wa aina gani?

    Habari wanajf Huwa ninashangaa kuona kijana asiye na mtoto hujitwisha mzigo mkubwa wa kiasi hicho. Mimi nimewahi kudate na single mother muda wa miaka Kama 2 hivi niliona rangi zote kwa kweli na sio single mother wa Kwanza na karibia wote wana changamoto zinazofanana. Mwaka wangu wa Kwanza...
  2. JamiiForums Tanzania Mambo ya kisheria unayotakiwa kuyajua kabla haujaamua kumuoa Single Mother

    Kwenye sheria hazitumiki hisia, kinachoangaliwa ni kile kilichoandikwa kwenye vitabu. Hivyo maamuzi yoyote utakayofanya hata kama ni kwa nia nzuri lazima ujue kuna consequences zake. Kumbuka kwenye sheria hauwezi kujitetea kwa kusema "nilikua sijui" Yafuatayo ni mambo ya muhimu kuyajua...
  3. JamiiForums Tanzania Kijana unaetaka kuanzisha familia kwa mara ya kwanza, achana na single mother

    Tusikae kimya kujifanya hakuna tatizo. Kijana wa kiume kuanza mechi tayari ashapigwa 1-0, bloodline ya ukoo inavulugika, vile vile kuna suala la co-parenting ni manyanyaso ya kihisia na chanzo cha kutiliana mashaka kwenye mahusiano/ndoa. Kuna uzi mwembamba sana unatenganisha co-parenting na...
  4. JamiiForums Tanzania Maisha hayahitaji haraka. Ukiona mtu au mfumo unakuhitaji uwe na haraka ujue umewekewa mtego wa kukuangamiza

    MAISHA HAYAHITAJI HARAKA. UKIONA MTU AU MFUMO UNAKUHITAJI UWE NA HARAKA UJUE UMEWEKEWA MTEGO WA KUKUANGAMIZA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Maisha ni mfumo wa kuishi bila pupa. Bila haraka. 2. Kila Jambo Lina wakati wake. Kufosi kuishi wakati wa mbele ni pupa. Ni kuyaharibu maisha...
  5. JamiiForums Tanzania Ongeza Testosterone zako kwaajili ya nguvu na mamlaka ya uanaume wako

    ONGEZA TESTOSTERONE ZAKO KWAAJILI YA NGUVU NA MAMLAKA YA UANAUME WAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kadiri testosterone zako zinavyoshuka ndivyo nguvu na mamlaka yako inavyodondoka chini. 2. Kutojiamini kunaongezeka. Mwanaume mwenye testosterone ndogo(zilizochini Sana) hata kiwango...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi awe single mother

    Sharti uwe na watoto kuanzia 3 kwenda mbeleeeeée. Ooh my god njoo pM
  7. D

    JamiiForums Tanzania 2026 inataka kunianzia vibaya; single mother niliyemuoa ameenda kwao bila kuniaga Huku akiniachia mtoto wake niliyemkuta nae!!

    Nina hasira hapa zisizomithilika😡😡😡 Hayo nimeyakuta jioni hii niliporudi kutoka shamba kupanda mahindi na mihogo. Kesho asubuhi na mapema nabeba toto lake nafuatana nalo Hadi kwao kuwakabidhi pamoja na talaka juu, tena tatu. Kuna wazo tofauti wanaJF?!!!
  8. JamiiForums Tanzania Ni kwamba wanaume 3-6 wanaweza kusaidiana kwa hali na mali ili kuhakikisha unakuwa single mother

    Leo Tena. Tukiwa bado na maombelezo ya vijana wenzetu nimeona si mbaya tupate vinywaji baridi kidogo. Dada yangu sisi wanaume tunapokuwa na jambo letu huwa tunasaidiana kwa hali na mali na kwa umoja uaminifu na ushirikiano mkubwa mno! Hii wewe hujiona kupendwa sana pale unapoona kuwa mshikaji...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Leo nimeamka na uchovu wa hatari baada kupelekwa mputa mputa na single mother

    Back to the topic, ile kauli ya usishindane na ulikotoka yamenikuta wakuu. Jana niliingia lodge na single mother mmoja. Huyu huwa nishawahi mlaga kama mara mbili hivi huko nyuma, najua huwa anashoo ya kibabe. Sasa jana ilizidi wakuu. Yaani huyu demu ni wale wanawake wembamba ambao huwa...
  10. JamiiForums Tanzania Athari zinazopatikana kwa mtoto alielelewa na Single mother

    Kuna baadhi ya wanawake (single mothers) ambao wao wanaamini ya kwamba wana uwezo wa kulea watoto Peke yao bila ya usaidizi kutoka kwa mzazi mwenza(baba). Na hii imekua ni sababu ya wanawake hao kukataa kuendelea kuishi kwenye maisha ya ndoa wakiamini ya kwamba wana uwezo wa Kusimama Peke yao...
  11. JamiiForums Tanzania Athari zinazopatikana kwa mtoto alielelewa na Single mother

    Kuna baadhi ya wanawake (single mothers) ambao wao wanaamini ya kwamba wana uwezo wa kulea watoto Peke yao bila ya usaidizi kutoka kwa mzazi mwenza(baba). Na hii imekua ni sababu ya wanawake hao kukataa kuendelea kuishi kwenye maisha ya ndoa wakiamini ya kwamba wana uwezo wa Kusimama Peke yao...
  12. JamiiForums Tanzania Usimpeleke single mother getoni kwako kama huna mpango wa kumuoa

    Usimpeleke au kumuelekeza single maza unapoishi usije kusema sijakwambia narudia kama huna mpango wa kumuoa huyo single maza basi pigia lodge huko Na ukijifanya husikii kuna siku atakufata hapo geto akiwa na vitu vyake vyote kwa maana ya kwamba anahamia kwako hapo na wewe huna mpago wa kumuoa...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Single Mother wanavyowatetea Baby Daddy zao wakiwa kwenye penzi Jipya

    Kama una akili nyepesi unaweza usielewe yaani ni kama anamkandia na hataki kumsikia lakini ukienda ndani zaidi unagundua anamkingia kifua asiguswe kuna mipaka anataka akuwekee ili usiwe unahoji mambo yanayoweza kufukua makaburi na maiti zilozolala. Am done with Single Mothers
  14. JamiiForums Tanzania NIKIWA RAISI NTAWEKA SHERIA MWANAUME ATAKAE OA SINGLE MOTHER AKATWE KICHWA

    Shalom shalom Niende kwenye mada Moja Kwa Moja Najua wengi watanishangaa lakin kwa mustakabali wa maendeleo wa Taifa lolote lile vijana ndo Kila kitu hasa wanaume hivo kuwatoa katika wimbi la stress zisizo na kichwa wala miguu ntaweka sheria kuwa kijana yeyote under 60 age of years hakuna kuoa...
  15. JamiiForums Tanzania Single Mother Waheshimiwa. Tyler Perry kasema nusu ya changamoto zao

    Huhitaji utajiri Wa pesa kuelewa maisha ya mwingine Bali upendo ndio daraja pekee la kuokoa maisha ya mwezako anayepitia nyakati Ngumu. Nimetazama filamu ya Straw kutoka Tyler Perry nimeona picha ya ndani wanayopitia single mothers tuache kuwakebehi kwa lolote hasa pale ambapo huwezi kumpa...
  16. JamiiForums Tanzania Story ya single mother kapanga gheto lake Mwanza

    Amepanga gheto lake, ameweka kila kitu. Kazi yake ni anazunguka mchimboni anatafuta pesa (Anafanya kazi halali) Akirudi Mwanza anakula bata wiki mbili af wiki tatu anapotea mjini.
  17. JamiiForums Tanzania Naona mapema nitashindwana na huyu Single Mother

    Ni dada ambaye nimempenda naye kanipenda.lakini ana mtoto wa miaka 5 huyu mtoto amedekezwa sana. Mimi kwangu ni kero kwa kweli. Mtoto ananyonya vidole? Mtoto anayenyonya vidole namwona ni toto jinga jinga. Akitaka kulala anaanza na kulia kwanza so mama yake anambembeleza ndo alale. Akishtuka...
  18. JamiiForums Tanzania Aina za single mother

    1. Single mother mjane. Baba mtoto amekufa. Hajatalakiana nae, hajakimbia, isipokua amekufa. Huyu mwanamke hajachagua kuwa single mother, maisha yamemlazimu. Kuna heshima jinsi anavyoubeba huo mzigo. Anapambana vita ambayo hajaianzisha na bado anailinda heshima yake. Huyu ndie single mother...
  19. JamiiForums Tanzania Reaction ya Mzee wangu baada ya kusikia naishi na single mother.

    Nimekuwa inspired na Jesca Magufuli jinsi alivyoshare moments za baba yake enzi za uhai wake kwangu imenipa fundisho kuwa uwepo wa baba una maana kubwa kwenye ukuaji regardless financial status ana pesa ama hana ila guidance yake ni muhimu. Reaction ya marehemu mzee wangu alipopata taarifa kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Wakuu sielewi hii kitu nimemleta single maza kwangu ila mtoto wake analia Ahsubui mpaka jioni nahisi kuchoka

    Wakuu sielewi hii kitu nimemleta single maza kwangu ila mtoto wake analia Ahsubui mpaka jioni. Ukimzuia kitu analia , mama yake hataki aguswe Ana miaka 2 sasa. Ila akimuacha mtoto anakaa kimya yaani anamlea kimyai mayai .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…