singida black stars

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    Je, Mechi za Yanga na Singida Black Stars zina upangaji wa matokeo?

    Kumekuwa na mjadala mkubwa miongoni mwa wadau wa soka nchini kuhusu uhusiano kati ya Young Africans Sports Club (Yanga) na Singida Black Stars, huku baadhi ya mashabiki wakieleza wasiwasi wao juu ya matokeo ya mechi kati ya timu hizo mbili. Inafahamika wazi kwamba Yanga na Singida Black Stars...
  2. Holoholo-Baba Kijacho

    Full Time: NBC PL | Singida BS 0-3 Young Africans | Airtel Stadium | 05/03/2026

    Mchezo wa Ligi Ya NBC 2025/2026 Yanga Sc dhidi ya Singida Big STars Kipindi cha Kwanza kimekamilika Yanga wapo mbele kwa goli 2 Magoli ya Yanga yamefungwa na Prince Dube na Allan Okello. Chuma ya 3 😁 linawekwa na Mudathir Singida wanafanya mabadiliko ya wachezaji wa tatu. Dakika 56, Yanga...
  3. Waufukweni

    Pigo kwa Yanga: Pacome, Job na Damaro kuikosa mechi ya Singida Black Stars Machi 5, 2026

    Mabingwa watetezi Young Africans (Yanga SC) watashuka dimbani Machi 5, 2026 katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Singida Black Stars bila wachezaji Watatu muhimu, jambo linalopelekea pigo kubwa kwa matumaini yao ya kutetea ubingwa. Yanga watakuwa bila kiungo wao, Pacome Zouzoua...
  4. B

    🔴#LIVE MATCH: AS otoho VS Singida black Stars || Mchezo Wa Caf Confederation Cup 1 February 2026

    01 February 2026 Stade Alphonse Massamba-Débat in Brazzaville Kutoka Uwanja wa Alphonse Massamba-Débat jijini Brazzaville, katika pambano muhimu la Kundi C la Kombe la Shirikisho la CAF. Katika pambano la mwisho kati ya timu hizo mbili, lililochezwa Januari 25, 2026 nchini Tanzania, Singida...
  5. B

    Full Time: Singida Black Stars 1 - 0 Otôho d'Oyo | CafCC | 25 Januari, 2025

    25 January 2026 Amaan Stadium Zanzibar Tanzania MICHUANO KOMBE LA CAF SHIRIKISHO 2025 / 2026 Singida Black Stars SBS 1 - 0 Otôho d'Oyo ASO Singida Black Stars SBS Timu ya Tanzania leo imepambana na klabu ya Otôho d'Oyo maarufu kama Association Sportive Otohô ASO ya kutoka Jamhuri ya Congo...
  6. Just Pray

    Gamondi ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi Singida Black Stars

    Kutoka kuwa kocha mkuu wa Singida Black Stars hadi kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi ambacho ndio cheo kipya cha Miguel Gamondi ambaye kwa sasa ni kocha wa muda wa Taifa Stars. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Bodi ya Wakurugenzi wa Singida BS, leo Jumatatu, Januari 5, 2025 imetangaza...
  7. DuaZaMama

    Singida Black Stars Wapokea 'Goli la Mama' Tsh. 10M Baada ya Ushindi wa CAF Confederation Cup

    Singida Black Stars wamepiga hatua kubwa kwenye Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kushinda mechi yao ya pili mfululizo kwa kuilaza Rayon Sports ya Rwanda 2-1 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam. Baada ya ushindi huo, Rais Samia Suluhu Hassan aliwazawadia shilingi milioni 10 maarufu...
  8. Waufukweni

    Mwinyi Zahera: Yanga walitaka kumpeleka Clement Mzize Singida kwa Mkopo, Mimi nikamshauri Nabi

    Mwinyi Zahera, kocha wa zamani wa Yanga, amesema Yanga walikuwa tayari kumpeleka Clement Mzize Singida kwa mkopo, lakini yeye alimshauri kocha Nabi asikubali. Ameongeza kwamba walitaka kumtoa Mzize wakati hajaanza hata mazoezi na timu kubwa, na hata baada ya barua kutoka Marseille, bado msimamo...
  9. King Leon 1

    Tetesi: Simba sports club inataka kumsajili mshambuliaji wa singida black stars, Jonathan sowah, Je ni chaguo sahihi kwa Simba sc baada ya Yanga kumkacha?

    Apo mwanzo ilielezwa kuwa mshambuliaji uyu machachari ata timkia jangwani kwa mabingwa Young Africans sports club lakini baada ya sababu za kinidhamu wameamua kuachana na mchezaji uyo, kwa ili naipa hongera Yanga maana wamejifunza kuchukua aina ya wachezaji awa wasio na nidhamu wala adabu...
  10. Franky Samuel

    Gamondi kocha mpya Singida Black Stars

    🚨💣 UPDATES 👇 ➡️ Aliyekuwa Kocha wa Yanga Sc, Miguel Angel Gamondi 🇦🇷 amesaini mkataba wa mwaka mmoja na Singida Black Stars 🇹🇿 ✅ Gamondi anatarajia kuja Tanzania baada ya wiki mbili tayari kwa kuiandaa Singida kwaajili ya mechi za awali za CAFCC.
  11. M

    Mambo 10 Niliyoyaona Yanga Ikibeba Kombe Fainali Vs Singida Black Stars

    1. Mechi ilikuwa nzuri mno na ya ushindani kuliko hata ile na Simba, kilichowaharibia Singida ni udhamini wake kwa GSM.Ukikubali kuvaa jezi yenye nembo hiyo hata ucheze namna gani lazima ufungwe tu.Wamecheza mpira mzuri na wengi tumeshangaa inakuwaje wanasajili wachezaji wazuri kuliko wa Simba...
  12. kiwatengu

    Full Time: Young Africans SC 2-0 Singida Black Stars | CRDB Federation Cup | Final | New Amaan Stadium | 29.06.2025 | Yanga Bingwa

    Match Day. #Daimambelenyumamwiko# Kikosi cha Yanga Kinachoanza. Kikosi Cha Singida Black Stars
  13. Auto-Marvelt

    FT: Simba SC 1-3 Singida Black Stars | CRDB Bank Federation Cup | Tanzanite Kwaraa | Mei 31, 2025 | Simba yatupwa nje | Singida yatinga fainali

    Wakuu, Leo inapigwa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank ni Simba SC dhidi ya Singida BS pale katika dimba la Tanzanite Kwaraa Mkoani Manyara. Mechi hii itachezwa kuanzia saa 9:30 alasiri na kuruka mbashara kupitia AzamSports3HD. Je, ni Mnyama ama Singida BS nani kumfata Mwananchi...
  14. Waufukweni

    Timu kususia mechi za Ligi, Bodi ya Ligi (TPLB) wasema hatujapokea barua ya malalamiko kutoka timu yoyote, hata Singida Black Stars

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imethibitisha kuwa haijapokea barua yoyote ya malalamiko kutoka kwa klabu yoyote inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC wala NBC Championship hadi sasa. Taarifa hiyo imetolewa na Afisa Habari wa Bodi hiyo, Karim Boimanda, ambaye amesema kuwa hata klabu ya Singida Black...
  15. Heparin

    Ubaya Ubwela watua Singida Black Stars, watishia kususia michezo iliyobaki na kuhamia ligi ya Zanzibar

    Afisa Habari wa Singida Black Stars, Hussein Massanza amezema wameiandikia bodi ya ligi kuu (TPBL) wakitaka ufafanuzi wa masuala kadhaa ikiwemo kuonewa na waamuzi wanapocheza na Simba SC. Amedai wasipopata majibu ya kuridhisha hawatashiriki michezo iliyobaki, watajitoa kwenye Michuano yote na...
  16. Waufukweni

    Singida Black Stars imewasilisha rasmi malalamiko TFF kufuatia mechi dhidi ya Simba SC

    Klabu ya Singida Black Stars imewasilisha rasmi malalamiko kwa mamlaka za soka nchini, ikiwemo Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), baada ya kutoridhishwa na mwenendo wa mchezo wao dhidi ya Simba SC uliochezwa jana Mei 28 kwenye Uwanja wa KMC Complex. Katika mchezo huo, Simba iliibuka na ushindi...
  17. W

    FT | Simba SC 1-0 Singida Black Stars SC | NBC premier League | KMC Complex | 28.05.2025

    Simba 1 - 0 Singida Black Stars (⚽ MUKWALA 42' ) LIGI: NBC premier League ⚽🏆 Game: Simba SC v/s Singida Black Stars SC Tarehe: 28-05-2025 Uwanja: KMC Complex Muda: Saa kumi jioni ni mechi ya kiporo yenye mvuto wa kipekee, Simba SC wataingia dimbani kwenye uwanja wa KMC Complex kuchuana vikali...
  18. Emilio Mzena

    Nini hatima ya timu za Namungo & Singida Black Stars baada ya Uchaguzi Mkuu?

    Wote tunajua, hizi ni timu zinazomilikiwa na wanasiasa. Nini hatima ya timu hizi baada ya uchaguzi mkuu endapo wamiliki wake hawatorudi kwenye nafasi zao?
  19. Waufukweni

    Tetesi: Benchi la ufundi Singida Black Stars ladai mishahara ya miezi miwili

    Inadaiwa kuwa benchi la ufundi la Singida Black Stars halijalipwa mshahara kwa miezi miwili hadi sasa. Taarifa zinaeleza kuwa uongozi wa timu hiyo umetoa kipaumbele kwa mishahara ya wachezaji, huku benchi la ufundi likikabiliwa na hali ngumu, hasa wakati huu wa kuelekea Sikukuu ya Eid.
  20. Dennis Robert Shughuru

    Kila Halmashauri inuwezo wa kujenga kiwanja kama cha kmc au singida black stars

    Kwa Tanzania kila Halmashauri ikiamua inaweza jenga kiwanja mfano wa kmc au singida Black stars kama wakiamua mfano Halmashauri ya ubungo, temeke, na kigamboni wanaweza kuwa na kiwanja kama kile Viwanja hivyo vitaweza kukuza michezo ndani ya Halmashauri hizo na kuwa chanzo cha mapato kwa...
Back
Top Bottom