Habari JF
Kama kichwa kinavyojieleza ninakopesha simu za mkopo aina ya Samsung.
Modeli no A06, A07,A16 na A17.
Njoo na kianzio Cha shillingi elfu50 kwa Samsung A06 na A07 Ili uanze kumiliki simu Yako.
Viambatanisho ni namba ya NIDA, leseni ya UDEREVA au kitambulisho cha mpiga kura.
Dar...
Mtaa wetu wa Nyampulukano umekuwa mtaa wa kidigitali ghafla bin vuu
Wazawa wamekopa simu kupitia makampuni ya simu za mkopo hasa hasa simu za WATU i.e samsung A05 na A06, kisha wanamtafuta Musa Mafyekeche! anatindua mikopo hiyo, watu wanaendelea kujimwaya mwaya kama kawaida
Swali linakuja...
Wakuu,
Kiufupi ukifatilia wimbi la "simu za mkopo" hususan kutoka makampuni makubwa ya mawasiliano ya simu za mikononi utagundua mteja akimaliza mkopo basi kalipia karibu simu mbili za cash. Mteja anakopa Samsung Galaxy A15 (kwa cash ni Tshs 450K) tuseme kwa mwaka. Kila siku anakatwa Tshs 2200...
Wadau habarini? Kuna watu wasema wanamiliki simu za mikopo kutoka kampuni ya Airtel. Lakini kwa siku mbili zilizopita hawapati huduma. Wanalipa pesa lakini hawafunguliwi.
Wakipiga simu kutaka kujua tatizo nini, simu zao zinakatwa. Sasa wanasema bora wakaziflashi tu ili waendelee kupata huduma...
Habari wakuu,
Nina goli langu moja la simu, sasa wateja wanaulizia sana simu za mkopo.
Nimejaribu sana kuulizia ninapoweza pata simu za mkopo kwa bei ya Jumla nimekosa.
Mwenye connection anijuze wakuu
Baada ya simu yangu ya tecno kuharibika sikuona haja ya kupoteza hela kuipeleka kwa fundi kwa sababu nilikuwa nimeitumia kwa miaka mitatu hivyo nikaona ni bora tu nikatafute simu nyingine mpya ya kutumia...
Habari zenu wana jamiiforums, nilinunua simu ya mkopo kama mwezi mmoja umepita kwa sababu sikuwa na pesa za kutosha kuniwezesha kununua simu mpya. Ila sasa nimejipata, nataka niache kuilipia hiyo simu maana deni ni kubwa. Hivi nikiacha kuilipia kuna shida yoyote nitapata, ukiachana na simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.