Wakuu,
Leo nimekuwa nikitafakari jambo moja ambalo limekuwa sehemu ya maisha yetu kila siku – simu za mkononi.
Ni ukweli kwamba simu imerahisisha mawasiliano, biashara, elimu na hata huduma za kijamii. Lakini kwa upande mwingine, kuna maswali makubwa:
Vijana wengi sasa wamelala na simu, kuamka...
Spika wa Bunge Mohammad Bagher Ghalibaf ameunga mkono uamuzi wa kupiga marufuku matumizi ya simu za mkononi kwa wabunge, akieleza kuwa suala hilo linahusiana na masuala ya kiusalama.
"Waheshimiwa wabunge, suala la matumizi ya simu ndani ya ukumbi wa Bunge limejadiliwa na sekretarieti ya Bunge...
Wadau hamjamboni nyote. Shirika la Habari la Fars linaloshirikiana na IRGC liliripoti Jumatatu. "Israel inatumia ufuatiliaji wa simu kuwaua watu nchini Iran. Hapo awali ilimuua Ismail Haniyeh kwa njia hiyo hiyo huko Tehran," chombo hicho kilisema. Fars aliongeza kuwa hata kuzima simu za rununu...
Nokia ni kampuni ya Kifinland iliyozinduliwa mwaka 1865. Hii ni kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na mawasiliano na teknolojia ya taarifa. Makao makuu ya Nokia yako Espoo, Finland. Kampuni inafanya kazi katika zaidi ya nchi 100 na ina wafanyakazi takribani 130,000 duniani kote. Nokia...
Katika dunia ya kisasa, teknolojia imekuwa chombo muhimu katika kusaidia juhudi za usalama na utafutaji wa watu waliopotea au kutekwa. Mojawapo ya teknolojia inayotumika sana ni minara ya simu za mkononi (cell towers). Minara hii inaweza kuwa msaada mkubwa katika kufuatilia harakati za mtu kabla...
Nimenunua simu hivi karibuni kutoka duka moja hapo kariakoo. Sim nimeitumia tokea mwezi wa kumi na moja tarehe 15 mwaka jana (2024). Mwaka huu mwezi wa kwanza kwenye tarehe kama 20 hivi simu ghafla ikazima nikiwa naitumia.
Na ilizima katika hali ya kawaida tu kama imejirestart ila hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.