simba

  1. JamiiForums Tanzania Kuna namna wasanii wanafaidika nyimbo zao kupigwa katika Simba Day na Yanga Day? Matamasha yanaingiza pesa nyingi

    Nauliza tu, hasa baada ya kusikia nyimbo za Chidi Benzi, zimepigwa jana na leo, na matamashi haya are worth billions, na chidi anatembea kwa miguu hapo Dsm akiwa hana maisha
  2. JamiiForums Tanzania Ghafla Shomari Kapombe ndiye mchezaji mzee kuliko wote Simba

    Football mchezo wa muda mfupi sana. Sasa shangaa Shomari Kapombe ambaye wakati anajiunga Simba aliwahi kupewa tuzo ya mchezaji bora chipukizi na bodi ya ligi. Ni jana juzi tu lakini kwa sasa pale kambini anapewa shikamoo na wachezaji karibia 20 kasoro Mzamiru na Shabalala, wengine wote ni...
  3. JamiiForums Tanzania Simba hii bado haina muunganiko, kataeni mnavyokataa ila ndio ukweli

    Naelewa Mashabiki wa Bongo issue kwao huwa ni matokeo tu wakipata magoli au ushindi ila Team inacheza hovyo wao ni kwishaa. Na hapa sipo kuwaambia kuwa tarehe 8 mtafungwa. Pitia saiv Youtube pale kuna Interview zinatembea mashabiki wanatoa hadi machozi wanasema hii simba waliyosajiliwa ya...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba vaeni jezi za timu yenu kama hamuwezi vaeni za Yanga.

    Jana tarehe 3/8/2024 ilikuwa ni siku ya Simba day. Ni siku ya pekee kwa wapenzi wa Simba katika kutambulisha wachezaji wapya, bench la ufundi, jezi n.k. Tunajuwa viongozi siku zote wanakuwa mfano, ila hapo unyamani kuna baadhi ya viongozi hawosomeki sijuwi ni hawataki kuonyesha utambulisho wao...
  5. JamiiForums Tanzania Mashabiki Simba wanatamani supu pia, wanashindwa kusema

    Wewe shabiki wa timu kama usipopewa supu unywe na timu Yako upata nini kutoka kwenye timu Yako? Hasara mwanzo mwisho. Kama timu zinarejesha kwa jamii kwanini iwe shida kurejesha kwa wanachama na mashabiki? Yanga wako sahihi sana kunywa supu kutoka kwenye club yao baada ya kununua jezi, kutoa...
  6. JamiiForums Tanzania Yanga SC mbona Kimya si tayari Simba SC tumeshawaachieni mliyekuwa mnamtumia Kutuumiza Kipa Aishi Manula, mtamtangaza lini Kumchukua awasaidieni?

    Kudadadeki unachezea Simba SC Wewe wakiamua lao. Si alikuwa anadhania tunatania? Kabipu Watu wamempigia.
  7. JamiiForums Tanzania Simba tumewaona. Naweza kusema mjiandae kisaikolojia, kupaki basi dhidi ya Yanga ndio njia itakayowanusuru Agosti 8

    Siku zote mpira ni sayansi na sio propaganda Wala mipasho, bado Simba wanayo kazi ya ziada kuijenga timu yao! Muunganiko na uwezo wa wachezaji waliosajiliwa bado ni mdogo sana, yule Joshua mutale anayesifiwa ni mchezaji machachari na sio mchezaji hatari. Hana tofauti na kisinda aliyekuwa yanga...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa hili la Kibu Denis viongozi wa simba mtaendelea kupandwa vichwani na wachezaji

    Viongozi wa Simba wanaendelea kufanya makosa yale yale Kila mara na awabadiliki! Kibu Denis kwa kitendo alichokifanya alistahili adhabu ya maana na asingeruhusiwa kujiunga na wenzake kwenye mazoezi, angetumikia kwanza adhabu yake ili liwe fundisho kwa wengine, lakini Cha ajabu kibu anaonekana...
  9. JamiiForums Tanzania Kama uongozi wa Simba utamwamini kocha Fadlu David. Leo leo lazima Tutapigwa na APR na kocha atakuja na Maneno ya matumaini tu

    Washabiki tuko Siliasi sana kutokana na Simba ilivyojipaga kwenye Media msimu huu. Kwa cv ya Fadlu David ilivyo. Ni kocha flan ivi kama Julio. Maneno mengii matokeo 0. Kama uongozi haujaongea lolote na APR basi leo tunaenda kutia aibu alafu kocha atakuja na maneno mingi mingi tu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwigulu awatakia heri Wanasimba siku ya Simba day. Naona anatafuta uungwaji mkono kuelekea uchaguzi Mkuu ujao 2025

    HAPPY SIMBA DAY Mnajua mimi sio mwanasimba; Lakini buana, 1) Simba wameasisi hii mambo ya Matamasha ya Vilabu- hili ni jambo zuri. 2) Wameset viwango vya mechi na mafanikio Kimataifa na Mimi ni Shabiki wa SIMBA ya Kimataifa. 3) Simba haipati tabu kujaza uwanja iwe tamasha au mechi ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Azamu Hawaoneshi Simba Day?

    Wakuu kuna mwenye Taarifa kwanini Azamu hawaoneshi Simba day? Maana Channel zote za Sports ni nyeusi, hazioneshi chochote
  12. JamiiForums Tanzania Matamasha ya Simba Day na siku ta wananchi yanaogopesha makocha na wachezaji wa kigeni

    Ile nyomi na shamrashamra kisaikolojia huwa inawatoa wachezaji na makocha kweny focus yao maana hudhani hizi timu ni kuuubwa na ziko serias,mwishO wa siku hukosa kujiamini. Subiri zicheze na na timu za kawaida kama Jkt ,namungi etc ndio ukweli udhihirika kuwa hakuna timu
  13. JamiiForums Tanzania Kuelekea kilele cha simba day, mchezaji mpya kutambulishwa leo

  14. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Simba walianza kuuza Tiketi na Jezi wiki 5 nyuma. Yanga watumia wiki 1 tu kwa mujibu wa Manara

    Kwenye hii video Manara anadai kuna Fact ambayo haisemwi kuwa Simba ilianza kuuza jezi na tiketi wiki 5 nyuma. Yanga wametumia wiki 1 tu kuuza tiketi na jezi na zimeisha, huku akisema kuna propaganda ambazo yeye alikuwa anatumia huenda ndio Simba wametumia kuonesha wamemaliza tiketi zao( Sold...
  15. JamiiForums Tanzania Prediction: Simba vs APR; Yanga vs Green Arrow; Yanga vs Simba

    For the upcoming match between Simba SC (Tanzania) and APR (Rwanda) on August 3, 2024, let's consider the current form, previous performances, and other relevant factors to make a predictive score. Given that Simba SC is one of the top teams in Tanzania and has a strong squad, while APR is also...
  16. JamiiForums Tanzania Kibu Denis leo amefanya mazoezi na wachezaji wenzake kuelekea Simba Day

    Mchezaji wa Simba SC Kibu Denis leo ameonekana katika mazoezi na timu yake akiendelea kujiweka sawa kuelekea katika kilele cha Simba day itakayo fanyika kesho. Kibu awali hakuoneka akijiunga na wachezaji wezake wa Simba wakati wakijiandaa na msimu mpya. Na tetesi zilizokuwepo ni kuwa alikiwepo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kipa mpya wa Simba

    Simba SC yamtangaza kipa wake mpya ambaye ni Moussa Camara akitoka Guinea katika clabu ya AC Horoya kipa huyo atakua anaidakia timu ya Simba SC kwanzia sasa.
  18. JamiiForums Tanzania Tafadhali Uongozi wa Simba SC muonyeni Dogo Kipa Ali Salim aache tabia yake mpya aliyoirithi kwa Rafiki yake wa KMC FC ya 'Kutuumizia' Makipa Wetu

    Alikuwa ameanza vizuri tu, ila nae sasa kawa Mpuuzi wa kupenda yale mambo yetu ya Kienyeji / Kuroga kwa Kuumiza Wenzake. Mwambieni huyu aliyekuja Leo yaani Kihistoria tu nchi aliyotoka kama hujui Kuroga / Kupuliza hupewi ng'o 'Passport' ya kwenda nje ya hiyo nchi nikimaanisha kuwa amekuja akiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Simba sc yatambulisha goli kipa mpya

    πŸ“ πŽπ…π…πˆπ‚πˆπ€π‹: Klabu ya Simba Sc imemtangaza nyanda Moussa Pinpin Camara kama mchezaji mpya klabuni hapo akitokea klabu ya Horoya AC ya Guinea. Camara (25) raia wa Guinea πŸ‡¬πŸ‡³ mwenye urefu wa sentimita 185 amesaini mkataba wa miaka miwili utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2026 na tayari yupo...
  20. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC na wa wana Simba SC wote tafadhali tuwaangalieni kwa Jicho la Umakini sana hawa akina Ommy Dimpozi na Hamisa Mobeto

    Mimi binafsi hata iweje kwa kujijua Kwangu ni mwana Simba SC kamwe siwezi kuwa na Ukaribu wa Mashirikiano ya aina yoyote yale na Mtu wa Yanga SC. Sasa inakuwaje Watu kama akina Ommy Dimpoz na Hamisa Mobeto ambao hadi naambiwa hata huwa na Ukaribu na Watu muhimu tu na wakubwa ndani ya Simba SC...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…