simba

  1. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wenu haraka sana, Ni kampuni gani nzuri ya kubeti simba vs Yanga mechi ya leo kwa matokeo ya ataeshinda

    habari zenu wazee wa kuweka mizigo Nataka nibeti nusu fainali ya leo Yanga vs Simba, timu itayofuzu kucheza fainali nichague option ipi na kampuni ipi nzuri ? nipo karibu na jengo la gal sports betting, niliwahi kufungua account ya meridian bet na sporty bet
  2. JamiiForums Tanzania Je, Clouds Media Imevunja Sheria kwa Kuonyesha Simba na SportPesa Pamoja?

    Kama picha inavyoonyesha hapa chini,tunatambua kwasasa Timu hizi mbili Simba na Yanga zina wadhamini wao tofauti kabisa.Simba kwasasa inadhaniwa na M-bet na Yanga inadhaniwa na Sportpesa. Kitendo cha Clouds kupost picha huku ikionyesha timu zote mbili zinadhaminiwa na Sportpesa kitu ambacho sio...
  3. JamiiForums Tanzania Kati ya Yanga na Simba nani anapigika leo kwenye Kariakoo Derby?

    Haya Wababe wa Jangwani na Msimbazi Kariakoo leo wanazichapa nyasi za kwa Mkapa. Kila timu ina wachezaji matata, usajili mpya, jezi mpya na kila kitu ila matokeo yataamua nani anaondoka na shangwe! Kwa unavyoona maandalizi nani anamchapa mwenzake leo?
  4. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe na Nyeupe ya Simba: Yanga Inapeleka Ujumbe Gani?

    Picha za Ali Kamwe, msemaji wa zamani wa klabu ya Yanga, zimeibua mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonekana amevaa Fulana ya rangi nyeupe yenye nembo ya SportPesa, ambao ni wadhamini wakuu wa klabu hiyo. Wakati rangi nyeupe ni kawaida kwa jezi za ugenini za Simba, uamuzi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Hii Yanga ina wazee lazima ifungwe 4 bila na Simba

    Hapo vipi! Yanga ya sasa ni mbovu kwa Simba SC. https://www.jamiiforums.com/threads/yanga-sc-vs-simba-sc-semi-final-community-shield-benjamin-mkapa-stadium-08-08-2024.2243315/ Inawachezaji wazee na Simba inawachezaji vijana na wenye uwezo mkubwa. Naona yanga leo ikipigwa 4 bila na Simba SC.
  6. JamiiForums Tanzania Simba ikifungwa lawama ni za TFF

    Timu imemaliza ya tatu ...hawakupaswa kabisa kucheza ngao ya jamii...ngapi ya jamii siku zote ni wa kwanza na WA pili... Kulazimisha derby mapema wakati Simba wamesajili wapya Wengi na wanahitaji muunganiko kwanza...haikuwa sahihi... Madhara yake ni mashabiki wanaweza susa tena kwenda uwanjani...
  7. JamiiForums Tanzania Simba Vs Yanga Ngao ya Jamii 08/08/24 anakufa mtu

    Hili ni Pambano jepesi kwa Yanga. Ushindi upo wazi kabisa wala hauna ukakasi. Wa magoli mangapi ndo hatujajua. Lakini zilikuwa ziwe 3 Yanga 0 Simba. Naona mpambano bado ni mkali. Nitaendelea kuwaletea updates hapa kuanzia muda huu. Makomandoo kwa hii siku ya leo 07/08 wapo Uwanjani kurekebisha...
  8. JamiiForums Tanzania Ukweli lazima usemwe kesho Simba SC hamtoki salama

    Gamondi mjanja Sana.. ramani ya vita imefichwa kesho tarehe 8 mtu atakuja kwa matumaini.. akutane na kitu chenye ncha Kali mpaka mapepo yamtoke Yellow national 💚💛💛💛 Cc ephen_
  9. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa Simba njooni tukubaliane hili kabla ya mechi

    Mangungu anafaa au hafai? Na msibadili gia baada ya mechi.
  10. JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba: Mechi ya kesho dhidi ya Yanga ni nyepesi

    Kocha Mkuu wa Simba Fadlu Davids amesema mchezo wa kesho dhidi ya Yanga ni wa kawaida na hana presha nao na yupo tayari kuibuka na ushindi. Yapi maoni yako?
  11. JamiiForums Tanzania Kosi la Simba la 2024-25 ni kosi la UltraSound, kizazi kisicho na adabu

    Simba ya miaka hii miwili ya nyuma ilisuffer kutokana na kukosa wachezaji wanaoweza mpira wa kasi. Tulikuwa na kina Chama wanaopoozesha mashambulizi, tulikuwa na kina Saido wanaopoteza mipira hovyo. Kiufupi timu ilikosa sense of speed and style. Ultrasound ni teknolojia inayotumia katika...
  12. JamiiForums Tanzania Binafsi naona Yanga Ina mashabiki wengi wanawake kuliko Simba

    Kwa utafitu mdogo niliofanya kupitia Simba Day na Yanga Day nimegundua timu ya Yanga Ina mashabiki wengi wengi wanawake Tena warembo hasa ukilinganisha na Simba. Hata waliongalia kwenye TV watakuwa mashuhuda siku ya Yanga day mahudhuliaji wanawake walijitokeza kwa wingi sana ukilinganisha na...
  13. JamiiForums Tanzania Baada ya Simba Day na Yanga Day Kutamatika, Ni Zamu ya Watani Kukutana – Uchambuzi wa Kitaalamu na Utabili wa Matokeo

    Baada ya Simba Day na Yanga Day kutamatika, sasa ni zamu ya watani wa jadi kukutana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa tarehe 8 Agosti 2024. Mechi hii itakuwa ya kuvutia sana kwa sababu ya historia na ushindani mkali baina ya timu hizi mbili kubwa za Tanzania. Chanzo: Mitandaoni Timu ya Simba SC...
  14. JamiiForums Tanzania Tusipende kufananisha matamasha ya Simba day na kilele cha week ya wananchi

    Watu wanalinganisha ubora wa haya matamasha, ambalo ndo jambo baya zaidi. Haya matamasha ni tofauti kabisa. Sisi Yanga tuna utamaduni wetu tofauti na ule wa mtani. Watu wa Yanga ni watu wa burudani, wana pesa na wanajitoa Kwa team Yao tofauti na upande wa pili Simba hawana furaha team Yao haina...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa uongozi wa Simba day na Yanga day, swala ni muhimu kuliko Simba day na Yanga day

    Ujumbe huu kwa uongozi wa Simba Day & Yanga wenye imani ya dini ya kiislam (Wasiokuwa waislam haiwahusu) Mapambio yanaaza ynaanza saa 9 hadi saa 5 usiku. Swala ya Alaasiri Swala ya Magharibi Swala ya Isha hizo swala zote zinakosekana Tunajua madhara ya kuacha hizi swala kwa swala la michezo...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni: Je, Yanga ni CCM na SIMBA ni CHADEMA? Ninashawishika kuamini hivyo kwa rangi za bendera zao

    Nimetafakari na kuona mwelekeo ulivyo na pia vitendea kazi kufanana kama vile bendera zao je nikisema Yanga ni CCM na Simba ni Chadema nitakosea Naomba maoni.
  17. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awabubujisha machozi ya furaha wana Yanga, awapigia simu Uwanja wa Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna Mwanadamu anapendwa na Kukubalika kuliko Binadamu wote Barani Afrika, basi Binadamu huyo ni Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan. Mama anapendwa mpaka watu wanatokwa na kububujikwa na machozi ya furaha. Mama...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna namna wasanii wanafaidika nyimbo zao kupigwa katika Simba Day na Yanga Day? Matamasha yanaingiza pesa nyingi

    Nauliza tu, hasa baada ya kusikia nyimbo za Chidi Benzi, zimepigwa jana na leo, na matamashi haya are worth billions, na chidi anatembea kwa miguu hapo Dsm akiwa hana maisha
  19. JamiiForums Tanzania Ghafla Shomari Kapombe ndiye mchezaji mzee kuliko wote Simba

    Football mchezo wa muda mfupi sana. Sasa shangaa Shomari Kapombe ambaye wakati anajiunga Simba aliwahi kupewa tuzo ya mchezaji bora chipukizi na bodi ya ligi. Ni jana juzi tu lakini kwa sasa pale kambini anapewa shikamoo na wachezaji karibia 20 kasoro Mzamiru na Shabalala, wengine wote ni...
  20. JamiiForums Tanzania Simba hii bado haina muunganiko, kataeni mnavyokataa ila ndio ukweli

    Naelewa Mashabiki wa Bongo issue kwao huwa ni matokeo tu wakipata magoli au ushindi ila Team inacheza hovyo wao ni kwishaa. Na hapa sipo kuwaambia kuwa tarehe 8 mtafungwa. Pitia saiv Youtube pale kuna Interview zinatembea mashabiki wanatoa hadi machozi wanasema hii simba waliyosajiliwa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…