simba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Leo Presha imenipanda siwezi Kutizama Mechi ya Simba na Vipers, ila mlioko hapa mtanipa Updates

    Na kwa jinsi Presha ilivyonipanda kama Simba SC haitoshinda leo au hata ikitoka Sare/Suluhu tu naweza Kulazwa ICU. Ninaitakia tu Kila la Kheri Simba SC.
  2. JamiiForums Tanzania Saidoo na chama wakianza Basi Simba haishindi kesho. Ili mzungu afukuzwe

    Ukweli unauma lkn lazima usemwe. Kama Okra, Phiri, Israeli mwenda ndio waliofunga magoli kuipeleka Simba makundi hawachezi. Na Mgunda anamshauri mzungu awaache au amuingize mkude tusitegemee muujiza. Na Hawa wazawa Hawa akina Boko wanataka mzungu afukuzwe ili wazee wampe timu Mgunda waanze...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Simba hii ndiyo mbinu pekee itakayowapa ushindi kesho inje ya hapo mtapigwa vibaya (uchawi wa vipers huu hapa)

    Kesho timu ya Simba itashuka dimbani na Vipers sc ya Uganda! Hii mechi kwa simba ni ngumu endapo wakikurupuka lakini ni nyepesi mno wakifuata haya! Viper wataumiliki sana mpira dakika za Awali kuanzia mwanzoni hadi dakika ya 18 ya mchezo! Kutokana na hili SIMBA Waanze na mbinu ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini nawapa 100% Yanga SC kufuzu Robo Fainali CAFCC na Simba SC 200% kutofuzu Robo Fainali CAFCL?

    Tayari Yanga SC ina Alama 3 hivyo akitoka tu sare/suluhu huko nchini Mali dhidi ya Real Bamako FC atakuwa na alama 4 au 6 kama akishinda. Mechi yao ya marudiano Dar es Salaam nchini Tanzania Yanga SC akishinda atakuwa na alama 9 na hata kwa bahati mbaya akitoka suluhu bado atakuwa na alama 5...
  5. JamiiForums Tanzania Utabiri: Simba atadroo wakati Yanga atafungwa huko kwenye mechi za Kimataifa

    Simba na Yanga wote wana mechi za kimataifa mwishoni mwa wiki. Utabiri wangu kwakuwa wote wapo ugenini, Simba atadroo na Vipers wakati Yanga atapigwa goli mbili kule Mali.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Simba SC tujiandae kujenga timu ya baadae kwa sasa wachezaj wamechoka

    Ukiangalia SImba kwa nini timu haitembee. Kuna mambo mawili ya kuangalia kwanza UMRI wa wachezaji waliopo SIMBA wengi ni 30 and above, Pili SImba haipandishi vijana wa under 20 kuja timu ya wakubwa. 1. SIMBA hii imecheza CAF CL na CAF CC kwa muda wa miaka kama minne mfulululizo ikiwa na hawa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike Simba kushinda dhidi ya Vipers?

    Ili Simba ishinde ugenini Uganda itakapocheza na Vipers kwanza kabisa Robertinho atumie mfumo wa Juma Mgunda ili kuleta ufanishi kwenye timu. Mbinu zake hazifanyi kazi Simba kwa sbb ya wachezaj waliopo hawawez kukimbia sana na kucheza direct football kama liverpool kwa maana pass ndefu za...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuendelea kununua magoli ya Simba na Yanga sio uhujumu uchumi huu?

    Leo msemaji Mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema Mama ataendelea kununua Magoli ya Simba na Yanga kwenye match za kimataifa. Ina maa itakuwa ya kudumu hii, nadhani haijakaa sawa kimfumo wa fedha maana haijatamkwa kuwa ni kutoka kwenye mshahara wake au pesa zake binafsi au nini? USSR
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kocha Mkuu wa Simba Achoshwa na wachezaji Wazee

    “Attack Attack “ Nataka wachezaji washambulie muda wote,Inakuwa ngumu kuingiza mbinu za kushambulia kwa sababu kwenye kikosi changu kuna idadi kubwa ya wazee (Wakongwe) Na mimi napenda kutoa nafasi kwa wachezaji vijana.
  10. JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yawapa ubalozi wachezaji wa Simba na Yanga kampeni ya Benki ni SimBanking

    Mkurugenzi Mtenndaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (katikati), Afisa Mtendaji Mkuu wa Timu ya Yanga, Andre Mtine (wapili kushoto) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Timu ya Simba, Imani Kajura (wapili kulia) kwa pamoja wakisaini mkataba wa makubaliano wa kuwatumia wachezaji Clatous Chama, Mohammed...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hii shangilia ya Nguvu ya Kocha wa Simba SC Olivieira kila Goli likifungwa angeihamishia kwa Timu kucheza kwa Nguvu ningeona ana Akili.

    Na wala huhitaji Akili Kubwa kujua kuwa kwa Shangilia ile ya Kocha wa Simba SC ni kama vile anawajibu Maadui zake ndani ya Klabu ( hasa Uongozi na baadhi ya Wachezaji ) hivyo kuhitimisha hili linalosemwa kuwa kuna Mgawanyiko mkubwa ndani ya Kikosi cha Simba SC ( Wachezaji ) na Uongozi ( Viongozi...
  12. JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Simba imepungua ubora

    “Simba imepungua ubora kidogo, lazima tuwe wakweli. Kwanza kuna nyota wetu ambao ubora wao umepungua kidogo kwa sababu ya kuchoka, wamefanya kazi kubwa kwa miaka 5, wamecheza sana kwa miaka yote hiyo michuano ya kimataifa, Ligi kuu na michuano mingine” Ahmed Ally
  13. B

    JamiiForums Tanzania Simba tutatoboa kweli makundi mwaka huu 2023?

    Kwa mpira wa jana je Simba tutatoboa makundi kweli? Naiona simba ikistruggle sana chini ya Robertinho. Saido na Chama mmoja awe anaanzia benchi baadae Saido ndio aingieee. Tuwe na timu ya mgunda full stop.
  14. JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Mgunda ndiyo mtu wa kwanza anayefaa kulaumiwa kwa matokeo mabovu Simba

    Kama unajua Mpira, unajua fitina za Mpira utajua wazi kuwa Mgunda ndie anayemshauri vibaya Mbraziri ili aharibu timu, kifupi anaharibu timu kwa tamaa za muda mfupi. Falsafa alizokujanazo Mbrazili toka mechi ya kwanza ni kasi, kutumia wachezaji wote, kufanya sub mapema sana akiona anakosea, ila...
  15. JamiiForums Tanzania Kutoka kwa Ahmed Ally msemaji wa Simba SC

    Katika mechi nzuri kila upande umepata unachostahili japo tulitamani kupata zaidi lakini haikua hivyo!!! Well done boy’s 👏 jasho lenu limevuja kuipigania Simba lakini mambo yamegoma Hongereni mashabiki wetu ambao hii leo pia mmeendelea kutuunga mkono🙏🙏
  16. JamiiForums Tanzania Kwa kilichotokea leo uwanja wa Mkapa, uongozi wa Simba walikurupuka

    Leo Robertinho kaonesha waziwazi kuwa hajui cha kufanya (kaishiwa mbinu) na kumuomba Mgunda ushauri. Hatua ya kwanza camera zikamnasa kuomba ushauri na kisha akaonekana Baleke kuingia nafasi ya Boko. Kadri muda ulivyozidi kwenda alionekana yupo frustrated na hajui afanye nini. Camera kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Viongozi hutumia mafuta ya simba

    ...Mafuta ya simba yana kazi kubwa sana katika maisha ya wawindaji waishio uko msituni (wamasai wanayatumia sana kwa kuweka ulizi wa mifugo yao na kujipaka ili kupata moli . • Mafuta ya simba-uondoa uoga kabisa na kuwa na roho ya kikatiri pale unapochukia ,unaweza kuwa mkali misili ya simba ...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Sababu za Simba SC kufungwa na Raja

    Sababu kubwa ya Simba kufungwa na RAJA ni kwa sababu uwanja wa MKAPA ulishikwa na UTOPOLO kiasi kwamba ushindi wa uto ulikuwa wa SIMBA. Wazee wa YANGA walifanya umafia uwanja ukalogwa sana. So wana simba mechi ijayo ya SIMBA nyumbani dhidi ya Vipers tujiandae kisaikolojia tena kwa sababu Yanga...
  19. JamiiForums Tanzania Angalizo: Simba ili iendelee kaeni mbali na viongozi wa CCM

    Hii mada nilikuwa nataka niielezee kwa upana ila nadhani kwa ufupi itajitosheleza. Timu za Simba na Yanga zimebeba mioyo ya asilimia kubwa ya Watanzania. Wote tunajua inayosemekana ni historia ya Yanga katika siasa za nchi hii. Sitaingia sana huko ila uthibitisho upo na ni mkubwa kuwa mpaka...
  20. JamiiForums Tanzania FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

    Karibu kwa updates za moja kwa moja kutoka uwanja wa Hayati Benjamin William Mkapa.🏟 Mpira utaanza saa moja kamili usiku, saa za Afrika Mashariki. Karibu. 00 refa anaanzisha mpira kwa kupuliza filimbi, 02 Goool Azam wanapata goli Prince Dube anaunyamazisha mji wa Dar, Simba kimyaaaa 20 Simba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…