simba vs yanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwenye ulimwengu wa roho, Simba 1 Yanga 3

    Mechi ya tarehe 19 Ambayo itaikutanisha miamba ya Kariakoo yaani Simba na Yanga Mechi imechezwa na imemalizika tayari ampabo Yanga amefunga magoli matatu ya Prince Dube dk ya 17, Azizi ki dk 39 na Duke Abuya dk ya 76. Goli pekee la Simba limefungwa na Ngoma Tumepambana kwenye ulimwengu wa...
  2. Kama kuna siku Simba mtajuta kucheza na Yanga ni 19 Oktoba

    Hii mechi n kati ya mechi nyepesi sana ya Yanga Pengine ni zaidi ya vs Kagera Kama kuna mechi Simba atajuta kuingiza timu uwanjan n Derby ijayo. Halii si nzuri kwao mpaka sasa najua kamati inahangaika kupindua matokeo na ukweli wanajua walichoelezwa Kifupi tu yanga atashinda kuanzia goki 3...
  3. Bacca kuikosa derby?

    Kuna taarifa zinasambaa mtandaon baka kuikosa Derby Ana majerahaaa wenye ushahidi yujuzane tusipoteezee muda kwenda uwanjan kabisa
  4. Maxi Mpia Nzengeli (24) kuelekea mchezo wa Kariakoo Derby

    siku ya jumamosi ndiye namuona kama mchezaji hatari kwa Simba SC kutokana na ubora wake ndani ya uwanja, Maxi kama yupo fiti lazima atakupa mechi bora sana kuanzia nguvu hata kasi na ufanisi kwenye maeneo mengi ndani ya uwanja yameipa uhai mkubwa sana Young Africans Mechi tatu zilizopita za...
  5. Kuelekea Kariakoo Dabi, Mwigulu atoa utabiri wake - "Mechi itakuwa ngumu, Yanga unaifungaje?

    Mechi ya watani wa jadi huwa ni mechi ya wakubwa inaheshima yake na kwa ukubwa ulele huwa autabiriki. Matokeo yanapatikanaga baada ya filimbi ya mwisho ndiyo inajulikana nani ameshinda. Lakini kwa kiu najuwa Simba watakuwa na kiu kubwa sana ya kushinda mechi hiyo na kwa kweli najuwa mechi...
  6. Gamondi: Simba Wana ndoto kubwa ya kuifunga Yanga

    "Simba Sc wana ndoto ya kutufunga ili wafurahi sie tunataka kuwafunga ili tuwe mabingwa hiyo ndio tofauti" - Gamondi #FutbalPlanetUpdates
  7. Refa yupi anafaa zaidi achezeshe mechi ya Derby ya Kariakoo ya tarehe 19 Oktaba 2024?

    1. Ramadhan Kayoko 2.Herry Sassi 3.Arajiga. Kwenye hao watatu ningependa Arajiga awe mwamuzi wa kati.
  8. U

    Mzee Mwandiga adai kanuni ya asili inaipa ushindi goli zisizopungua 4 klabu ya Simba katika mechi yake na Yanga

    Wadau hamjamboni nyote? Nimekutana bila kutarajia na huyu Mzee aliyeshiba siku na uso uliojaa hekima hapa maeneo ya mwandiga tukipata chai mida ya saa tatu hivi asubuhi ya leo. Namsikia Mzee huyu kwa masikio yangu akieleza Kanuni ya Asili inaonyesha Klabu ya simba itapata ushindi magoli...
  9. Mnyama gani anafaa rasmi kwendana na timu ya Yanga?

    Embu tuweke utani pembeni. Duniani kote kuanzia vilabu hadi timu za taifa, kuanzia katika soka, basketball hadi American Football na michezo mingine ni kawaida timu kubwa kujilinganisha na mnyama fulani anayebeba mfanano wa falsafa na haiba ya ile timu. Kuna timu zimeweka mnyama wao katika...
  10. Wali kuku wenye nazi wamtia kiburi Leonel Ateba. Atamba kufanya balaa kwenye dabi Oktoba 19

    Leonel Ateba kitu pekee anachokikosa Tanzania ni chakula cha Okok ambacho ni mchanganyiko wa mboga za majani zilizosagwa zinazoliwa na mihogo. Hii Ilimlazimu kutafuta chakula mbadala cha kitanzania ambacho kitaziba pengo na hapo ndipo alipopagawa na Wali kuku nazi.
  11. Baada ya mchezo na Singida BS wanaume kimya kimya wakajifungia Avic town walipoibuka ikawa vilio kila kona

    Ninaipenda sana hii system ya ukimya wa Yanga, huwa hawaongei wala kujimwambafy linapokuja suala la michezo mikubwa, hauwezi kumkuta Max akizungumza na waandishi au Job akiwa busy na camera, labda ikiwalazimu kufanya hivyo. Utakumbuka mechi dhidi ya CRB hakuna aliyejua au kutarajia Yanga...
  12. C

    Kuna tatizo mahali kwa viongozi wa Simba, mnawezaje kuruhusu wachezaji wahojiwe na kutamba kuhusu Derby?

    Nimesikitishwa na kuona mahojiano ya mchezaji wa Simba anayetamba eti ni lazima aifunge Yanga na kwamba haamgalii mabeki walio nao. Jambo hili linasikitisha sana ukizingatia kuwa hizi ni tabia za wachezaji wa timu ndogo kutamba tamba lakini hatimae hufungwa tu. Wakatazeni wachezaji wasiongee...
  13. Tizi la Mnyama Simba wakijiandaa na mechi ya dabi dhidi ya mtani wao wa jadi Yanga SC

    Tazama sehemu ya mazoezi ya Simba wakiwa kambini kwao Mbweni Jijini Dar es Salaam. Kumbuka leo ni siku maalum ya waandishi wa Habari (Media Day) kufanya mazungumzo na viongozi, wachezaji na benchi la Ufundi la Simba.
  14. K

    Yanga jipangeni kisaikolojia, Oktoba 19 kipigo hakiepukiki

    Mashabiki wa Kandambili mkae mkijua mechi ya Oktoba 19 kipigo kinawasubiri, LUNYASI tupo tayari, tumejipanga ipasavyo kutoa kipigo Cha mbwa Mwizi. Siku hiyo mtatoka Lupaso vichwa chini, Utopolo mtutusamehe, mtasambaratika. Kipigo hicho kitaleta matokeo Hasi kwa Yanga, hatimaye timu itasuswa na...
  15. Nani bigwa Ligi kuu msimu wa 2024/2025 kati ya Simba Vs Yanga?

    Piga kura yako hapa
  16. Simba Vs Yanga

    Timu ipi itabeba taji la ushindi wa Ligi kuu Tanzania msimu huu 2024/2025 kati ya Simba na Yanga? 1. YANGA 2. SIMBA Piga kura yangu tuone ipi itabeba ubingwa
  17. L

    Mambo 15 niliyoyaona Simba vs Yanga Ngao ya Hisani jana

    1.Timu yetu ina wachezaji wazuri na wenye uwezo wa kutuletea mafanikio msimu huu, jana kwangu naona upangaji wa kikosi haukuwa mzuri, kwa mfano Yanga wameonekana wakomavu kwa sababu wanategemea sana kuchezesha viungo kama Simba ile ya akina Yussuph Macho, Shekhan Rashid. Yanga kama kawaida yao...
  18. G

    Nahitaji msaada wenu haraka sana, Ni kampuni gani nzuri ya kubeti simba vs Yanga mechi ya leo kwa matokeo ya ataeshinda

    habari zenu wazee wa kuweka mizigo Nataka nibeti nusu fainali ya leo Yanga vs Simba, timu itayofuzu kucheza fainali nichague option ipi na kampuni ipi nzuri ? nipo karibu na jengo la gal sports betting, niliwahi kufungua account ya meridian bet na sporty bet
  19. Simba Vs Yanga Ngao ya Jamii 08/08/24 anakufa mtu

    Hili ni Pambano jepesi kwa Yanga. Ushindi upo wazi kabisa wala hauna ukakasi. Wa magoli mangapi ndo hatujajua. Lakini zilikuwa ziwe 3 Yanga 0 Simba. Naona mpambano bado ni mkali. Nitaendelea kuwaletea updates hapa kuanzia muda huu. Makomandoo kwa hii siku ya leo 07/08 wapo Uwanjani kurekebisha...
  20. Elly SaSii kuchezesha Kariakoo Derby Agost 8, 2024

    Hapo vip!! Ndio jamaa huyo hapo Hapo atambeba nani? --- Mwamuzi Elly Sasii amechaguliwa kuchezesha mechi ya nusu fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Yanga sc dhidi ya Simba Sc itakayopigwa Agosti 8, 2024 katika dimba la Mkapa. Aidha Mwamuzi Ahmed Arajiga atachezesha mechi ya Azam Fc dhidi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…