simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Akina "Simuelewi Fadlu" Endeleeni tu kutomwelewa!

    Kumekuwa na vijimaneno vingi Tu toka Kwa "Walimu wa makocha" au sijui niwaite "wakosoaji wa makocha" hawana zuri hata kidogo wanachokiona Kwa makocha. Wamekuwa wakimkosoa Sana Fadlu kuwa mara Hana Kikosi cha Kwanza, mara oho! Sijui sub zake hazieleweki lakini yeye anashinda Tu. Na Leo...
  2. FT: Bravos do Maquis 1-1 Simba SC | CAF Confederation Cup | Estadio 11 de Novembre | 12.01.2025

    Heri ya Siku ya Mapinduzi ya Zanzibar. Ni jumapili tulivu, Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports atashuka dimbani dhidi ya wenyeji wake Bravos ya Angola katika mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika. Katika mchezo wa kwanza, Simba akiwa nyumbani aliibuka na ushindi wa 1-0, je ataendeleza...
  3. Kibu Denis: Mwanga upo kuhakikisha kwamba Simba tunachukua ubingwa wa CAF

    Nyota wa Simba Kibu Denis anasema hawana mechi ya nyumbani wala ugenini na kuna dalili kwa timu yao kuchukua ubingwa wa michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kutokana na upambanaji wao. "Katika malengo yetu msimu huu moja ni hilo la kubeba ubingwa wa Afrika na naamini kwa uwezo wa timu yetu...
  4. Naomba kujua sababu ya Kiufundi kabisa ya Mavambo kuwa anaanzia Benchi na Ngoma kuanza First Eleven Simba SC

    Nitamuelewa tu Kocha Fadlu kama Wawili hawa wakianza pamoja, ila kwa Mimi GENTAMYCINE huyu Mavambo kuwa anaanzia Benchi kiukweli huwa simuelewi Kocha Fadlu japo namheshimu mno na nakubali Kazi yake kwani mpaka sasa katufanya wana Simba SC tusiwe busy Kutembea na Calculators (Vikokotoo) kujua...
  5. Hesabu mpya Simba ameshafuzu kwenda robo fainali

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA✍️ Najua utastaajabu kwanini nakwambia ameshafuzu. Hesabu hiko ivi:- Kwanza kabisa unapaswa kutambua kuwa simba ana point 9 huku adui yake namba moja ni blavos mwenye point 6. Simba mpaka sasa anahitaji hata sare pekee nyumbani kwa Bravos awe amefuzu moja kwa moja...
  6. Hawa ndio Wachezaji Wazawa ghali zaidi Ligi Kuu Tanzania, Vilabu vikubwa Afrika vyawatolea macho

    Feisal 'Fei Toto' Salum - Azam FC Katika dirisha la usajili la kiangazi Julai 2024, Fei Toto alihusishwa na klabu kubwa Afrika kama Mamelodi Sundowns na Kaizer Chiefs kutoka Afrika Kusini, Wydad Athletic Club ya Morocco, pamoja na Simba SC. Hata hivyo, dau lake la TSh bilioni 5.1 (kwa mujibu...
  7. K

    Semeni Kabisa Kuhusu Bravos : Msisubiri Abatuliwe Muanze Kusema 'Bomu Mochware'

    Nimesikitishwa Sana Kusikia eti Simba imeifunga timu ya Madrasa huko Tunisia CS Sfaxien...! Hawa jamaa ni Mabingwa mara nne wa michuano ya CAF miaka ya karibuni. Hawa wanaosema hivyo, ndo Wale wale Waliosema mmenunua Ugomvi na watunisia mkienda kwao Kisasi kinawahusu. Sasa toeni Kauli...
  8. Tetesi: Fei Toto apokea Ofa ya Tsh Milioni 600 kutoka Simba SC kwa Mkataba wa miaka Mitatu

    Kiungo fundi wa Azam FC, Feisal 'Fei Toto' Salum inadaiwa amepokea ofa ya Tsh milioni 600 kutoka kwa miamba ya Soka, Simba SC, ikiwa ni malipo ya kusaini mkataba wa miaka mitatu. Simba wapo tayari kulipa kwa mafungu ya Tsh milioni 200 kila mwaka. Soma: Mwigulu: Feisal ukishatoka Simba uje...
  9. M

    Simba kwenye uumbwaji

    Hapo mwanzo Simba haikuonekana timu tishio. Kila mshabiki wa Simba hakuwa na tumaini na timu yake. Ndipo Mo akasema, anarudi kwenye uenyekiti wa bodi ya wakurugenzi. Ikiwa jioni, ikawa asubuhi siku ya kwanza. Mo akamleta Camara akasaidiane na Manula, Salim na Abel. Mo akamwambia Camara, kwa...
  10. Ufafanuzi: Simba wamemfunga mwarabu toleo la mwisho

    Waarabu mliowafunga ni toleo la mwisho kabisa, punguzeni kelele na nyie Makolo Baada ya kuifunga goli MOJA timu mbovu wameanza kupiga kelele mara ooh tumewafunga waarabu kwao ..... Kiuhalisia ....Simba wamewafunga waarabu Koko ( toleo la mwisho) sio pure waarabu
  11. Machache yaliyoonekana Simba ikishinda ugenini dhidi ya waarabu CS Sfaxien

    1.Simba imecheza vizuri sana mpaka ilipokuja kuvurugwa na kocha dakika ya 76. 2. Elie Mpanzu aongezewe muda wa kucheza ni mashine ya boli. 3. Simba ni imara zaidi golini na inabebwa na mlinda mlango wake Mousa Camara, hili eneo litaifikisha mbali Simba. 4. Kuna namna lionel ateba anaanza...
  12. Leo ni gusa anguka, tupate penati, tutegemee lolote

    I salute you, kinsmen, kwa jina la “Gusa Achia Twende Kwao. Baada ya jana wanaume kufanya kazi ya kiume na kuheshimisha nchi kwa pira “Gusa Achia Twende Kwao,” sasa leo tutashuhudia wale wavuta bange wa Kariakoo wakikatika mauno huko Uarabuni. Tegemea yafuatayo: 1. Gusa, anguka, tupate...
  13. Haji Manara: Makolo hawatotufunga hadi 2030, Samia atoke Madarakani

    Mashaki wa Mnyama, Simba mmemsikia msemaji wenu wa zamani?, Haji Manara akiwa Wasafi Fm amesema Makolo hawatotufunga hadi 2030, Samia atoke Madarakani "Naomba Watu waelewe Ule wimbo wa 'Yanga inafungwaje' haujaimbwa kwaajili ya Tabora au Timu nyengine ule umeimbwa kwaajili ya 'Makolo' kwahiyo...
  14. N

    Sababu ya timu ya Yanga kutumia kauli mbiu ya "Daima mbele nyuma mwiko"na timu ya Simba kutumia kauli mbiu ya "Nguvu moja"

    Historia inaonyesha Simba fc ilianzishwa mwaka 1936,ikitumia jina la queens,baadaye ikabadilika kuwa eagle,kisha Sunderland kabla ya kuitwa mnyama Simba mwaka 1971. Klabu hii ilianzishwa na wanachama waliotoka katika klabu ya Yanga kutokana na kutokubaliana na mambo fulani fulani yaliyokuwa...
  15. Songoro: Hatujapokea barua ya Simba SC kutaka kuondoka KMC Complex

    Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe. Songoro Mnyonge amezungumza na kituo cha Redio, E Fm kufuatia taarifa za Simba kutaka kuhama katika Uwanja wa KMC Complex. Soma, Pia: Klabu ya Simba SC ipo mbioni kuhamishia mechi zake uwanja wa AZAM complex- Chamazi mara baada ya Yanga kuhamia KMC complex
  16. I

    Leo Ndo Mtajua maana ya Ubaya Ubwela

    Kwema? Leo Dakika chache Mtajua kauli ya Ubaya Ubwela inakwenda kudhihirika huko Singida Pale Wananchi watakapo toka Uwanjani Wakisonya na kutukana na Kuongea peke yao Baada ya matokeo wasiyoyatalajia Ni hayo kwa sasa Kutoka Hapa Liti Singidani. Baadae jamaani!
  17. FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

    Mtanange mkali Leo. Kinyanganyiro: Ligi Kuu Tanzania Bara - NBC Mwenyeji: Singida Black Stars ya Singida Vs Mgeni : Simba SC ya Dar es salaam Uwanja: CCM Liti Singida. Muda : Saa 10Jioni. Tukutane saa 10 Jioni kwa Maelezo ya mchezo huu. VIKOSI VYA LEO. Updates... 00' Mpira umeanza...
  18. Kibu Denis arejea na kusafiri na Kikosi cha Simba SC kuwafuata Singida Black Stars

    Kibu Denis ni miongoni mwa wachezaji walioungana na kikosi cha timu yao jioni hii kuelekea Singida kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Black Stars. Kibu alikosa michezo miwili ya awali dhidi ya Kagera Sugar na JKT Tanzania kufuatia safari ya kushughulikia matatizo ya...
  19. Ahmed Ally: Dodoma Jiji amefungwa magoli ya uongo na Yanga

    Ameandika Afisa Habari wa timu ya Simba @ahmedally_ [emoji116] "Dodoma Jiji jana kafungwa magoli mawili ya Uwongo, Moja la Offside na pili Penati ya uongo lakini Kocha wao hajalalamika kuonewa wala kudhulumiwa zaidi amesema AMESTAHILI KUFUNGWA Rejea mechi ya Dodoma Jiji Vs Simba, baada ya sisi...
  20. Makazi ya Magori wa Simba Sc kijijini kwao Rorya: Wanangu tutafute hela

    Msisitizo kwamba Tutafute hela ni wa kweli. Cheki makazi ya maana kabisa. Sio wewe unaenda kujenga kijijini kwenu huko Singida bado unaenda kubanana karibu na sokoni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…