sikukuu ya pasaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Heri ya sikukuu ya Pasaka wana JF

    Niwatakie heri ya sikukuu ya pasaka wana Jf wote , sijaona au labda sijatafuta Uzi wa sikukuu ya pasaka 2026 nimeona niandike kuwatakia wote Heri ya sikukuu ya pasaka Mwokozi amefufuka , tuyatende yaliyo mema ndugu zangu dhambi zetu zimechukuliwa kila tunapotubu
  2. H

    Ofisi ya Mbunge Jimbo la Iramba Magharibi. Heri ya Sikukuu ya Pasaka

    Ofisi ya Mbunge Jimbo la Iramba Magharibi. Heri ya Sikukuu ya Pasaka.
  3. H

    Salamu za Heri ya Pasaka kutoka kwa Waziri Mwigulu Lameck Nchemba

    Salamu za Heri ya Pasaka kutoka kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba.
  4. Cute Wife

    Pasaka Mubarak kwa Wakrislam wote JF, tukumbukane kwenye mialiko, zana tunazo tayari...

    Wakuuu, Bwana Yesu amefufuka Alhamdulillah, Pasaka Mubarak kwenu wote Wakrislam. Kama ilivyokuwa kwa Merry Eid hawakuwa na jambo dogo, pilau la maana nlikula bana, sasa tukumbukane kwa mialiko kwenye hili. Uzuri waalikwaji hatuna neno, tupo kamili na zana zetu, hatukupi gharama za usafiri...
  5. L

    Rais Wetu Mpendwa Mama Samia Anawatakia Heri ya Sikukuu Ya Pasaka Wakristo na Watanzania Wote. Awaomba kuendelea Kudumisha Amani na Mshikamano

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika, komandoo Wa Vita, jasiri muongoza njia, Nyota ya matumaini na nuru ya Wanyonge. Anawatakia Heri ya Sikukuu Ya Pasaka...
  6. H

    Heri ya Sikukuu ya Pasaka - Ghati Chomete

    Heri ya Sikukuu ya Pasaka Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete anawatakia wananchi wa mkoa wa Mara na Watanzania wote kwa ujumla Pasaka njema iliyojaa upendo, amani na matumaini mapya. Anawahimiza kuendeleza mshikamano, kusaidiana na kudumisha maadili mema pamoja na...
  7. M

    Urusi yatangaza usitishaji mapigano wakati sikukuu ya Pasaka nchini Ukraine

    Raisi Vladimir Putin ws Rasia ametangaza usitishaji mapigano Ukraine kwa siku mbili nchi Ukraine kwa siku mbili kupisha pasaka Amri hii inakuja masaa machache baada ya Marekani kutishia kujiondoa kama mpatanishi ikiwa Ukraine na urusi hazito onyesha muelekeo wa kuacha uhasama Chanzo BBC
  8. nergomafioso

    Pamoja tunaweza kuwapatia tabasamu | furaha ya mtoto ipo kwenye mambo madogo sana ya kidunia

    Habari za wakati huu waungwana, natumaini Mungu anaendelea kutujaalia uzima mpaka siku hii ya leo. Natumaini humu jukwaani tupo watu wa imani mbalimbali, kwa ndugu zangu wakristo leo ni ijumaa kuu siku ambayo wanaomboleza kuteswa na kufa kwa Yesu Kristo. Hivyo basi siku ya jumapili...
  9. Spellbinder

    Ijumaa kuu ni sikukuu au ni siku ya kazi?

    Naomba kueleweshwa hapo wadau wa JF. Kwa maana nimeona baadhi ya taasisi watu hawaingii kazini siku ya ijumaa kuu. Lakini kuna baadhi ya kampuni watu wanaingia kazini kama kawaida na hawalipwi stahiki zao.
Back
Top Bottom